Je hii ni haki?

Je hii ni haki?

Inyogote

Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Binti mmoja anafukuzwa na mama mkwe wake heti hana sifa za kuishi na mtoto wake wakati huyo binti ana mtoto mchanga, na amejifungua kwa opration(kwa kisu) mm nikiwa kama jirani yake roho inaniuma sn sijui ninyi wana jf tutamsaidiaje huyu binti.ili hapate haki zake za msingi.
 
Kwani mme wake yuko wapi asimtetee mke wake?

Au ndiyo wale wanaooa wakiwa kwa wazazi wao, alafu wazazi wao hawawapi uhuru wa kujichagulia nini wafanye.
 
Back
Top Bottom