housegirl wangu.......sijamwelewa kwaakweli

housegirl wangu.......sijamwelewa kwaakweli

genltesoul

Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
30
Reaction score
8
wanajf nisaidieni mawazo...nina hg kutoka iringa ana wiki ya pili tu tangu nimemlipia elfu sitini kumleta tanga.....
nilimsikia akitoa harufu kali sana mwilini nkajua huwa haogi mchana....kwa vile sishindi hom nakuwa kwa job kila nikirudi namkimbizia bafuni....lkn kuja kugundua kumbe ameoza bwana sehemu za siri nligundua hili kwa bahati mbaya nliingia rm kwake ucku bila hodi......nikaenda kumpima urine....tukaambiwa ni fungus....naanza kumtibu hilo kapigwa na mkanda wa jeshi wa hatari(moto wa mungU) hapa hom anashinda na watt wangu aged 5 na 2 sasa huyu hata simwelewi atakuwa hajjathirika kweli.....na km ndivyo ss itakuwaje na hii habari ya kutoka na giza na kurudi na giza......naombeni msaada na nikimpima hiv akijua ameathirika hataambukiza wanangu maxudi kweli?????
 
aisee....kusoma sawa hujui, lakini hata picha huoni?kazi kwelikweli!! Stuka!!
 
mmh ni ngumu kwa kweli,ingawa kwa upande mwengine ni kama kumnyanyapaa.na upande mwengine kama haupo nyumbani hujui watoto wako atakaa nao vipi.fanya kile moyo wako unapenda.kwanza kampimishe,kama ni positive amua mwenyewe
 
Si kwamba ni unyanyapaa, ila ni vema hao wasaidizi wa ndani muwapimage afya zao kabla hawajaanza kazi.

Ona sasa unavyopata shida..! Kampime Afya na akigundulika ameathirika mrudishe kwao..!
 
Amridishe tu hata bila kumpima.
 
Weweeee! Unachosubiri kumvungashia virago ni nini? We mrudishe sahivi! Ukimpima alafu ukamrudisha atapata roho ya kisasi kuwa umemrudisha sababu ya Majibu Mabaya. Bora umtafutie sababu mapemaaa umtoe!

Hata hivo unavompimapima itakuwa keshahisi kitu kama ndo mzee wa kucheza rafu!

MCHUMA JANGA HULIA NA WA KWAO!!!!!!! Dalili za mvua mawingu! Haya sasa shaurilo!
 
pole sana, hakuna haja hata ya kumpima, maana kupima ni hiari na si lazima na yeye ana haki ya kukubali au kukataa, we usiangalie gharama, maana ukianza kupiga mahesabu itakucost, angalia future ya familia yako i.e watoto wako, we msaidie matibabu akiwa anatumia dawa tayari yupo kwenye gari anarudi iringa. mrudishe kwao bwana mungu atakupa mwingine, maana hata kama ukimpima na akiwa +ve hutakuwa na amani juu ya watoto wako, ila usirudie tena, ukimchukua housegirl hakikisha unajua afya yake kwa ujumla yaan umuweke wazi kuwa lazima apime hiv, na upate taarifa kwa wazaz au ndugu kama ana tatizo lolote la kiafya kama kifafa,n.k., tuliza akili yako fikiri kile ambacho unaona ni cha muhimu kwako kukifanya juu ya huyo msichana kwani maneno yetu tunayokuandikia humu ni ziada ya kile ulicho nacho moyoni mwako
 
niliwahi kuwa katika hii situation so nakuelewa sana una hali gani!
SSS mpaka mwili umekufa ganzi!
 
wanajf nisaidieni mawazo...nina hg kutoka iringa ana wiki ya pili tu tangu nimemlipia elfu sitini kumleta tanga.....
nilimsikia akitoa harufu kali sana mwilini nkajua huwa haogi mchana....kwa vile sishindi hom nakuwa kwa job kila nikirudi namkimbizia bafuni....lkn kuja kugundua kumbe ameoza bwana sehemu za siri nligundua hili kwa bahati mbaya nliingia rm kwake ucku bila hodi......nikaenda kumpima urine....tukaambiwa ni fungus....naanza kumtibu hilo kapigwa na mkanda wa jeshi wa hatari(moto wa mungU) hapa hom anashinda na watt wangu aged 5 na 2 sasa huyu hata simwelewi atakuwa hajjathirika kweli.....na km ndivyo ss itakuwaje na hii habari ya kutoka na giza na kurudi na giza......naombeni msaada na nikimpima hiv akijua ameathirika hataambukiza wanangu maxudi kweli?????

Siku hizi famili zenye watoto,inashauriwa kupima Afya wafanyakazi ....simnajuwa Mara nyingine house girl akilisha mtoto uji anaipooza na kijiko hicho acha risk nyingine..za hewa na contact.

Watoto wetu wa Kiume Kama mjuavyo wanajifunzia wanawake hapo hapo kwa house girls......

Pia uliza historian wengine Kama wamepata kufanya kazi kwenye familia ...zenye waadhirika na kujikuta wametembea na wenye nyumba.....house girl anaweza kuwauwa nyumba nzima .....,
 
Hata houseboy wAnapimwa ...hawa hodari sana kwa watoto wa getini...Mimi wangu alimtia Mimba house girl ...nikagundua alikuwa hajui condom...! Mikamuambia hapa ni mjini...utakufa...mikamfundisha matumizi ya condom....
 
Mrudishe ila mtibu kwanza hayo unayoweza.

Ila waajiri wanashauriwa kutonyanyapaa? Ila tena watoto wa 2 and 5 ni wadogo sana.
Unaweza kukuta hata anajua afya yake.
 
bora lawama kuliko fedheha ,mtibu fungus na mrudishe unyalukoloni akalime nyanya
 
sielewi inakuaje mtu unaingia kwa housegirl bila kupiga hodi na ukaweza hadi kuona mbunye, alikua ameanika hiyo mbunye???

Anyway kiushauri (kama hii story ni kweli)... mrudishe kwao haraka sana
 
Gentlesoul, kama huwezi kuendelea naye, tumia hekima ndogo. Mnunulie dawa za kutosha na umpe pesa za mfukoni na mwambie arudi nyumbani kwao apumzike kwa miezi miwili kwa kuwa hatakiwi kufanya kazi wakati akitumia dawa.
Akiondoka kwenda kwao, ndio imetoka. Huenda amefika kwako ili apate msaada, mtendee wema, fanya kama kwa BWANA.
 
nilikuwa sija log in siku nyingi, nimekuwa just nikisoma thread mbalimbali bila ku log in, BUT hii thread yako imeni touch mpaka nimeamua kulog in, kwa kifupi hizo conditions alizonazo huyo house girl tunaziita AIDS DEFINING ILLNESS,kuna 100% sure kuwa ameathirika, please, mrudishe kwao for the sake of your children and entire family as well, kama utampima na kukuta ameathirika, still hutajua ameupataje,labda alibakwa, au maisha magumu yalimfanya akaishia huko. watu wa namna hiyo huwa wanakuwa na SPIRIT OF REVENGE, fo anyone atakayekuwa mbele yake,SIO WOTE WAKO HIVYO,BUT YOU SHOULD NOT PUT THY FAMILY INTO TRIAL OR REHARSAL. THANK YOU
 
yaani ni kwa neema ya Mungu tu watoto wetu wanakuwa, otherwise hawa mabint cjui wanafanza vitu gani na gan kwa wanetu
 
Kama umemtoa iringa makete basi haina hata haja ya kupima, we mrudishe kwao tu maana possibility ya kuwaambukiaa wanao ni kubwa.
 
wanajf nisaidieni mawazo...nina hg kutoka iringa ana wiki ya pili tu tangu nimemlipia elfu sitini kumleta tanga.....
nilimsikia akitoa harufu kali sana mwilini nkajua huwa haogi mchana....kwa vile sishindi hom nakuwa kwa job kila nikirudi namkimbizia bafuni....lkn kuja kugundua kumbe ameoza bwana sehemu za siri nligundua hili kwa bahati mbaya nliingia rm kwake ucku bila hodi......nikaenda kumpima urine....tukaambiwa ni fungus....naanza kumtibu hilo kapigwa na mkanda wa jeshi wa hatari(moto wa mungU) hapa hom anashinda na watt wangu aged 5 na 2 sasa huyu hata simwelewi atakuwa hajjathirika kweli.....na km ndivyo ss itakuwaje na hii habari ya kutoka na giza na kurudi na giza......naombeni msaada na nikimpima hiv akijua ameathirika hataambukiza wanangu maxudi kweli?????

Mpe hela na nauli arudi kwao akatibiwe na tafuta hg mwingine. Halafu hivi nyinyi hamchaguagi mnaagiza tu hg?, sisi kwetu huwaga tunachagua wasafi wenye mwanga angalau hata akija mgeni hawezi kumtambua kama ni hg.Magonjwa mengine ni rahisi kuwaambukiza watoto na hutaweza kujua wanaumwa nini kwa urahisi utaanza kuwatibu malaria, typhoid, kumbe wana ugonjwa mwingine kabisa usioudhani mpaka kuja kushtuka mtoto keshadhurika sana.
 
Back
Top Bottom