No one is like my Mother

No one is like my Mother

wazawa

Senior Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
184
Reaction score
58
utakuta mtu baada ya kutendwa na kuteswa na mtu ambaye pengine yy hakumuamin na kushindwa kujitahidi kuyatumikia mapenzi kwa uadilifu na stahili yake au kukutana na mtu asiye na mapenz ya dhati na kumrubuni
huishia kuishi na kuthamini matokeo ya mapenzi kama mtoto au kufuta maono kwa mapenzi na ladha ya maisha katika muktwadha wa kupenda au kupendana kama kuona mwenye mapenz ya kweli ni mama tu..
zaidi kuondosha ladha ya mahusiano
mtu una miaka 19 unaanza kuyakatia tamaa mapenzi kisa yule bwana mlaghai mwenye miaka 59 ailyekurubuni kwa maneno na hila za pesa.
au kisa yule dada ambaye kaanza mapenz na miaka 6 kafumaniwa mara kumi na kuhaidiwa kuolewa mara 15..vp awe mfasirivwakati hadi miaka 25 wew humjui mtu

vp uumpe nafasi tule tu dada aluyekutoa usingizin kwa umbo lake na rangi yake na kumbe ana mabwana kibao wanamlipia ada,kodi na matumizi ya kumjini kwa simu moja ya njoo na kutumika huku akiwa anakosa ladha halisi aliyoiona kwako...

achilia mbali huyu jamaa aliyejifanya bosi wa tra na kukurubuni na kuku laghai kwa muenekano wa viwalo na magari vya kuazima na atm isio na kitu

mapenzi na mahusioano n kitu adhimu daima usiruhusu kiumbe au viumbe wachache kwa kutokukua kwako au tamaa na ushamba au kushoboka kwako ndio wana nafasi ya kutafsiri na kushikila furaha yako..
 
Back
Top Bottom