heee makubwa jamani. Mwanamke wa huku hapendi kufadhiliwa na mwanaume. yeye anapenda kumpiga mwanaume masuprise kem kem na akipigwa yeye anafurahi ila atafanya kila njia arudishe fadhila kwa...
ni kisa cha kusikitisha ,(kisa cha kweli)
Jamaa mmoja mfanya biashara alikuwa mgonjwa taabani baada ya figo zake kufeli kufanya kazi, ilibidi aende india kwa matibabu zaidi ambapo aliambiwa figo...
Hili ni jambo ambalo nimelishuhudia zaidi ya maeneo matano lakini nimeambiwa pia kuhusu maeneo mengine ya Uswazi nako ni hivyo hivyo.
'
Ni kwamba asilimia 80 ya maeneo mengi ya Uswazi wanawake...
miaka mingi nimekuwa nasikia kwamba mtu akioa mchaga lazima atajenga kwanza uchagani, je kuna ukweli kuhusu hii hoja.kama kweli basi dada zetu wanajua mapenzi.
Inawezekana kabisa unazunguka na bahasha yako mjini kila siku ukitafuta kazi hadi soli ya kiatu imeisha..,lakini huu ni mwaka wa tatu au wa nne toka umalize chuo but no job.......dont worry be...
Am male, with university education level, self employed i need a gal to be my wife with the following x'stics, age between 20-26, education more than form four, any color, good behavior with with...
FREE ADVICE TO ALL SINGLE LADIES FROM MICHELLE OBAMA
"Don't look of that man's bankbook or tittle" becouse you will end up disppointed
Look at his heart,look at the soul ,look at how the...
Ni mara ngapi umeshawahi kusikia malalamiko au hata kuvunjika kwa ndoa kutokana na ugunduzi wa wanawake kwamba waume zao walishazaa nje bila kuwajulisha wakati wakioana? Jibu bila shaka litakuwa...
tulizoea kuona alama inayoelezea penzi /mapenzi /upendo ikiwa imechomekwa mkuki hapo awali ila sasa alama hii haina mkuki unayoichoma kama zamani , je hali iliyokuwa sababisha mkuki ule uwepo...
Wanaume wenzangu, Umeshawahi kupata Msichana, mnadate lakini yeye ana sheria kama anaishi Europe wakati wazazi wake wanakaa NGALE LO O?? Msichana anaku-ektia maisha hadi wewe Boyfriend wake wakati...
Kuna aina ya mtu katika maisha,ukimpata akawa mpenzi wako,unasema asante Mungu, umenipa zawadi hii,he/she is a man and a half,ni kama wewe ni Chips umekutana na Fried Chicken with Mayonnaise,ni...
1. Write a love poem about each other and read it out.
2. Call a radio station and dedicate a love song. Make sure he or she is listening!!
3. Write '143' in lipstick on the mirror and...
Kuna mganga mmoja wa jadi nilipanda nae daladala(huku Mwanza tunaziita Hiace).Kwenye usafiri huo kulizuka ubishi ni nani kati ya wanaume na wanawake ni nani hajiamini zaidi na mapenzi.Kama...
hellow great thinkers.......
naamini katika mahusiano yetu ya kimapenzi tunakutana na watu wenye tabia mbalimbali,kuna wenye kuongea haswa na wawazi katika kila jambo,yaani wao ndio waanzisha...
Bazazi kwa kipindi cha takribani wiki mbili hakuwepo mtandaoni;
Ni maisha tu yalikuwa yanamtatiza.
Katika hangaika yake alifika katika wilaya ya Mpwapwa.
Katika Jimbo la Mpwapwa, Tarafa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.