KAMPALA - A man is still recovering from shock after learning that his wife is married to another man.
On Sunday a story run in the Bukedde newspaper [a sister publication to New Vision] of a...
Hasa kwa wasio kwenye ndoa, ingawa wenye ndoa wanakaribishwa kutoa uzoefu wao.
Are you an ATTRACTOR (some one whom people get attracted easily)
A KEEPER (some one whom is not easily dumped)
Both...
WanaJF mnalichukuliaje hili suala la kuoa kwenye familia ambazo zinajulikana kuwa ni washirikina?
Ukizingatia kuwa sheria za ushirikina unamtoa sadaka rafiki/ndugu yako wa karibu!
Wengi wa...
Kama uko namba moja ujue kwamba Hali yako si shwari na hautaweza kumpenda mtu yeyote, ni Mungu tu anaweza kukunusuru na hayo maumivu na kidonda cha Milele.
Namba mbili unaweza kupona lakini ilo...
Habari zenu wana jf....
Mimi n mwanaume mwenyeji wa Arusha ila nipo Dar kwa mda.......
Natafuta msichana wa kuchat (girl friend) na baadaye Mungu akipenda awe mke wang......
Napenda...
Je kuwa na mpenzi bila kufanya mapenzi au kuwa na mpenzi unayefanya naye mapenzi kabla ya ndoa... Yupi mwenye mapenzi ya dhati? Anaye subiri au anaye gegeda?
LULU MICHAEL ALIKUMBUKA PENZI LA STEVEN KANUMBA.....
Wakati zikiwa zimebaki wiki chache tu hadi kifo cha Stephen Kanumba kitimize mwaka mmoja, aliyekuwa mpenzi wake, Elizabeth Michael aka Lulu...
Happy Valentine all,
Poleni na mzunguko wa maisha wa miaka nenda miaka rudi.
Naomba kuwasilisha swala lifuatalo.......Huu sio utani ni swala muhimu sana.
Kuna kijana ni tapeli wa...
Mimi ni kijana wa miaka 20 nimekuwa so mpweke for long time but sasa nimeamua kufunguka ili mnisaidie kama wana JF,
sirious nataka mpenzi wa kike ambae yuko tayari kuwa mke wangu, na nataka awe...
Assaallam alleikum kwa ujumla wana-jf, jamani naomba mnipe MTAZAMO WENU juu ya hili:
Kuolewa na mwanaume ambaye haujawahi kufanya nae MAPENZI kuna HASARA gani?
Nazo faida ni zipi?
Hayo ni mamaneno aliyoniambia mme wangu baada ya kuitrafiana na shemeji na wifi zangu.
Kwamba yeye na ndugu zake wameshare blood, lakini mimi na yeye ni pete na ubani siku ya harusi.
Nisiseme...
1 Wakorintho 7 1 Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe. 2 Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na...
Habari wana JF,
Kati ya mke msomi sana (mwenye degree moja na kuendelea) na mke mwenye elimu ya kawaida (diploma na kushuka chini) yupi anajuwa kutimiza majukumu yake katika ndoa?
Uzoefu wangu...
Kama ilivyo kawaida yangu, baada ya shughuli za Shamba hapa kijijini, huwa napenda sana kutulia nyumbani wakati mwengine wanakijiji wenzangu tukijumuika kwa maongezi ya jioni pia kuangalia moja...
Wanawake.
Mtoto kachomwa moto na mama yake kisa kadokoa vijisenti.
Mtoto anapolelewa na mama wa kambo anakuwa katika wakati mgumu sana kuliko akiwa na baba wa kambo.
Housegirls huwa wanapata...
Msichana huyu nillkutana naye mazingira yangu yakazi. nimrembo kiasi chake. kwa image ambayo mimi naihusudu. mrefu kiasi maji yakunde, kifua saizi ya kati. hali kadhalika yale mambo yetu ya akiba...
Mke wangu alifariki kama mwaka na nusu hivi umepita, alifariki kifo kibaya sana maana aliniachia mtoto mchanga wa wiki tatu. Baada ya kuhuzunika sana sikuwa na jinsi, nikamuomba Sister wangu...
Habari wana jamvini kunadada mmoja jirani yetu imekua kero kwa mme wake baada ya kumlazimisha mme wake aoe mke wa pili baada ya kuona kua yeye hawezi kumhimili kua jamaa anaweza kumgegeda kuanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.