Wakuu! Msaada wa mawazo.

Wakuu! Msaada wa mawazo.

Craig

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
1,676
Reaction score
3,143
Msichana huyu nillkutana naye mazingira yangu yakazi. nimrembo kiasi chake. kwa image ambayo mimi naihusudu. mrefu kiasi maji yakunde, kifua saizi ya kati. hali kadhalika yale mambo yetu ya akiba ya chakula yapo(wowowoo0). kwa sasa ndiyo nipo naye mjengoni. ila ilinichukua miezi mitatu kabla yakukutana naye kimwili na alikuwa akionesha msimamo mkali mno. Mtoto msafi anapika vizuri akivaa anapendeza ni muajiriwa. Siku aliyonipa unyumba ndipo niliamini vizuri vina kasoro/ Barabara ndefu haikosi kona. Mzee mzima kabla ya kuzama nilitaka kwenda chumvini. ile kupima oil. Duuuuu! nagundua kuwa hakuna kinembe na mimi ndiyo ugonjwa wangu. Ikabidi nimchukue maelezo akadai kuwa alikatwa alipokuwa mdogo kutokana mila zao, Wakuu naomba mnishauri nifanye nini? juu ya huyu binti. kiukweli mpaka sasa tuna miezi sita pika na kupakua. sioni kipya kwake. kiasi kwamba kwa mwezi huwa nakutana naye mara moja. kinachonikera ni Nonsense. Yaani hata usugue vipi anakukata. jicho kama anasoma gazeti.Lakini cha ajabu tangu nianze mapenzi sijawahi kukutana na mwanamke muadilifu kama huyu. natamani kumuacha leo kesho JE NIFANYEJE?
 
sikilza xana mawazo ya jirah itasaidia,bt feelin zako ndo kiongz mkubwa ktk mapenz
 
Sasa! mkuu bila kudhini itakuwaje? Siatanidharau?
 
Msichana huyu nillkutana naye mazingira yangu yakazi. nimrembo kiasi chake. kwa image ambayo mimi naihusudu. mrefu kiasi maji yakunde, kifua saizi ya kati. hali kadhalika yale mambo yetu ya akiba ya chakula yapo(wowowoo0). kwa sasa ndiyo nipo naye mjengoni. ila ilinichukua miezi mitatu kabla yakukutana naye kimwili na alikuwa akionesha msimamo mkali mno. Mtoto msafi anapika vizuri akivaa anapendeza ni muajiriwa. Siku aliyonipa unyumba ndipo niliamini vizuri vina kasoro/ Barabara ndefu haikosi kona. Mzee mzima kabla ya kuzama nilitaka kwenda chumvini. ile kupima oil. Duuuuu! nagundua kuwa hakuna kinembe na mimi ndiyo ugonjwa wangu. Ikabidi nimchukue maelezo akadai kuwa alikatwa alipokuwa mdogo kutokana mila zao, Wakuu naomba mnishauri nifanye nini? juu ya huyu binti. kiukweli mpaka sasa tuna miezi sita pika na kupakua. sioni kipya kwake. kiasi kwamba kwa mwezi huwa nakutana naye mara moja. kinachonikera ni Nonsense. Yaani hata usugue vipi anakukata. jicho kama anasoma gazeti.Lakini cha ajabu tangu nianze mapenzi sijawahi kukutana na mwanamke muadilifu kama huyu. natamani kumuacha leo kesho JE NIFANYEJE?

Upendo haubagui, haujivuni,hauhesabu mabaya! Upendo huvumilia.

Yapo mambo ambayo yapo nje ya uwezo wa kuamua kwa mtu muhusika. Kwa mfano: wewe ulizaliwa ukiwa govinda, endapo katika kukuwa kwako, wazazi/walezi kwa mila na tamaduni zao ilibidi wakukate hilo dubwana lako bila uelewa au ridhaa yako kwakuwa pengine ulikuwa mdogo na hivyo kutoelewa au kuhusishwa katika kuamua hilo, sasa ukakuwa na kujua ulichofanyiwa kina negative impact miongoni mwa watu wa jamii inayokuzunguka na kitendo ulichofanyiwa ni IRREVISIBLE, Ungefanya nini?:dizzy:

Yeye anazo sifa zote kama mwanamke tena umesema kuhusu uadilifu yeye ndo wa kwanza kwako kukutana na hali hiyo(Achilia mbali kama umekata utepe au la), unahitaji nini zaidi ikiwa yeye hana analoweza kufanya kuhusu hilo? Je, hutamnyanyasa kwa jambo ambalo hata wewe usingeweza kulizuia kama ingekuwa ni upande wako? Embu rudisha Govinda lako kama unaweza.

Ndoa ni zaidi ya ngono kwa ufahamu wangu.

Think twice mkuu.
 
Me Love U Mingiiiii!!!!!!!!!! Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah! Wana uume wote wangekuwa wanawaza hivi mbona wanawake tunge nenepa? I can feel the sisters pain! Soo Sad!
 
Daaaah i second you!

Upendo haubagui, haujivuni,hauhesabu mabaya! Upendo huvumilia.

Yapo mambo ambayo yapo nje ya uwezo wa kuamua kwa mtu muhusika. Kwa mfano: wewe ulizaliwa ukiwa govinda, endapo katika kukuwa kwako, wazazi/walezi kwa mila na tamaduni zao ilibidi wakukate hilo dubwana lako bila uelewa au ridhaa yako kwakuwa pengine ulikuwa mdogo na hivyo kutoelewa au kuhusishwa katika kuamua hilo, sasa ukakuwa na kujua ulichofanyiwa kina negative impact miongoni mwa watu wa jamii inayokuzunguka na kitendo ulichofanyiwa ni IRREVISIBLE, Ungefanya nini?:dizzy:

Yeye anazo sifa zote kama mwanamke tena umesema kuhusu uadilifu yeye ndo wa kwanza kwako kukutana na hali hiyo(Achilia mbali kama umekata utepe au la), unahitaji nini zaidi ikiwa yeye hana analoweza kufanya kuhusu hilo? Je, hutamnyanyasa kwa jambo ambalo hata wewe usingeweza kulizuia kama ingekuwa ni upande wako? Embu rudisha Govinda lako kama unaweza.

Ndoa ni zaidi ya ngono kwa ufahamu wangu.

Think twice mkuu.
 
my lito bro Craig nimekupenda kwamba umekuwa mkweli na najua unapopita na unataman nini. but hebu niambie wewe mwenyewe umesema hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro sasa wategemea umkute yupi aiyeakmilika??

huyu binti ni muhanga wa FGM na sio kosa lake and i cna imagine the pain she is going thru as a result ya kuwa stigmatized kwasababu ya kosa ambalo yeye hana jinsi nalo wala hakuwa na namna ya kujitetea. naamini ingekuwa anafanyiwa mkubwa angekataa ila ilikuwa ni tofauti na hivyo.

wapo wanaume wengi sana wanaish na wahanga wa FGM lkn hawajawaacha, pengine hata dada zako ama mama zako ama bibi nao ni miongoni mwao how do you know??

kwangu mimi ningekushauri so long as ni mzuri na ni mwadilifu just learn to love her usije ukamuumiza na nani anataiwa awe mume wake kama sio wewe??

yapo maeneo mengi unayoweza kuyatumia kumpa raha binti umejaribu sehem nyingine za mwili wake?? miguu, tumbo, nyonyo,kitovu, nyuma ya goti G-spot?? hebu jifunze bana jst be creative

so far uko unakotaka kwenda hutofika as kila utakaye kutana nae atakuwa na kasoro. furaha ya ndoa si tendo la ndoa tu, manake hata tendo bila heshima na uadilifu lina maana gani??
 
Last edited by a moderator:
Muwekee kinembe cha bandia ikisgindikana Mpige 0652
 
Jf is never boring .. Shikamoo The Boss!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Dada gsonwin napenda ushauri wako,nakupenda Pia tena sanaaa
 
Last edited by a moderator:
::
Kila ndoa ina siri yake
Kubeba siri hizo kunahitaji hekima.
::
Najua ungetamani tukushauri umuache
Lakini ushauri wangu ungejua siri ya kila ndoa ungejua yako ni ndogo.
::
La msingi
< Muandae vya kutosha,mapenzi ya mwanamke huanzia moyoni.
<Clitoris inapoondolewa humuathiri mlengwa kiakili,,jaribu kuwa faraja yake.
<Kilele cha tendo la ndoa la mwanaume ni pale anapo-ejaculate,,ukifikia hatua hiyo utumie muda huo kumsafirisha mwenzio kutoka Sekenke hadi Kilimanjaro..mfikirie yeye sio udhaifu wake.
<Maneno machache yaliyopakwa rangi yawapo chumbani ukiyatumia vema ni silaha bora itakayombalisha haraka
::
USIMTUPE Mungu ameona wewe utalishinda hilo.Kumbuka wapo wanaolia mioyoni wampate hata wa hivyo ila hawana na wanamhoji Mungu kwa hilo
=
 
Dada gsonwin napenda ushauri wako,nakupenda Pia tena sanaaa

Mwalimu gfsonwin nakupenda (napenda mwandiko wako na busara zako).

Cc.. SnowBall.. Haha haaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

dah! am really humbled by your compliments dears.

yaani najiona kama vile napaa vile lol!

nami nawapenda sana sana wapenzi wangu, mu watu muhimu sana kwangu, mu wadogo zangu wapenzi..................... lord i love these pple.
 
Chobisssss
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom