Lulu michael alikumbuka penzi la steven kanumba.....

Lulu michael alikumbuka penzi la steven kanumba.....

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,108
Reaction score
34,933
LULU MICHAEL ALIKUMBUKA PENZI LA STEVEN KANUMBA.....

Wakati zikiwa zimebaki wiki chache tu hadi kifo cha Stephen Kanumba kitimize mwaka mmoja, aliyekuwa mpenzi wake, Elizabeth Michael aka Lulu kwa mara ya kwanza leo ameandika ujumbe kuhusiana na jinsi anavyomkumbuka.
​

Lulu aliachiwa kwa dhamana mwezi January mwaka huu baada ya kukaa mahabusu kwa takriban miezi minane kufuatia kukamatwa kwa kuhusika na kifo cha Kanumba.
Lulu ambaye hivi karibuni amekuwa akitweet mara kwa mara ameandika:

“Ulikuwa zaidi ya baba,kaka,mpenzi,mume,ndugu,rafiki….sitoacha kukulilia katika maisha yangu yote!!R.I.P daddy angu STEVEN KANUMBA.”

Akiambatanisha na picha ya Kanumba, Lulu ameongeza, “I will alwayz love u daddy angu!”

​

Unaweza kumfollow Elizabeth Michael ‏Twitter kwa jina la hotlulumichael.

Last edited by a moderator:
Kwan ktk hiyo msg ana umalaya gani labda? Tusiishi kwa mazoea jaman.
Akijamba oh harufu asipojamba oh kavimbiwa!!
Haah af nyie wenyewe ukute hata robo hawafikii kwa mitabia meusi tii ya roho zenu.
Aggghhh
ndio anaupuuzi lakin sio ndo kila akipumua mnae nyie hamna ndugu wa kike ambao ni malaya???
Au ndo wote wana mbawa nyeupe kama malaika!!???
Em kule!!!!
 
Swts
Upo? Miss u
 
Last edited by a moderator:
huyu malaya ana vituko kweli yaani kuja uraiani tutasikia na kuona mengi sana

hivi unapomtusi mtu ambaye hata umwona hujawah unajiskiaje??
hivi tuseme huko kwenu dada zako wote ni clean sana hadi ufikie hapa pa kumtusi huyu binti??

afterall mwenzenu kwa ku tweet tu kesha jiingizia siku nyiemnabakia kumbwela mbwela tu hapa.

hakuna sheria inayomkataza kusemea anavyojisia na hisia zake ziheshimiwe. wewe tukifungua page yako ya tweeter ama b ama emails zako tutakuta umeandia tungo za mapenzi kwa watu wangapi?? je tufungue na simu yako tuone sms za mapenzi ulizoandika kwa uwapendao??

heshimu uhuu wa mwenzio.
 
Back
Top Bottom