Tujadili: About the love life

Tujadili: About the love life

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
12,529
Reaction score
13,502
Hasa kwa wasio kwenye ndoa, ingawa wenye ndoa wanakaribishwa kutoa uzoefu wao.

Are you an ATTRACTOR (some one whom people get attracted easily)
A KEEPER (some one whom is not easily dumped)
Both A and K au
None of the above.(ni ngumu kumpata mtu na pia kudumu naye).

Tujadili quality zipi zinamfanya mtu kuwa ATTRACTOR and a KEEPER ziwe za kuzaliwa (which there is nothing we can do about) au za ku-acquire (of which we can learn from).

Wanaofanya vizuri kwenye ndoa na mahusiano mtusaidie.

Karibuni.

SUMMARY on HOW to be KEEPER as per wachangiaji.
snowhite
  • Be real, your self
  • A way to man's heart is thru his tummy, so cook him yummy food
  • A smile is magic
  • Usijibanie hisia zako
  • Be a bedroom slut
Asnam
  • be respectifu
  • be confident
  • patient pays
  • give much much love
  • be accountable
  • PRAYER, PRAYERS and PRAYERS
Blaine
  • Be honest to your partner and yourself
  • Be reliable
  • have some empathy (vaa viatu vyake)
  • be compassionate
  • be dependable
  • loyal
  • and muwazi
neggirl
  • ridhika naye
  • endelea kujifunza sanaa ya mapenzi
  • maintain mazuri yako na jifunze kuacha mabaya yako
  • fanyia kazi muonekano wako (kimavazi, usafi etc)
Gaga
  • ignorance is the key (usimng'ang'anie sana, mpe nafasi na mfanye aukose uwepo wako)
 
Kaunga dah umetoa angalizo inabidi niwe makini kuchangia
Ila kwangu mimi nafikiri nyie wadada ndo mnawez akusema siwezi kujisemea mwenyewe au nachemsha aise
 
Last edited by a moderator:
Kaunga dah umetoa angalizo inabidi niwe makini kuchangia
Ila kwangu mimi nafikiri nyie wadada ndo mnawez akusema siwezi kujisemea mwenyewe au nachemsha aise

Are you married Rocky? Apart from ur wife's attraction ni nini kilichangia hadi uombe hifadhi ya kudumu?
 
Last edited by a moderator:
Hii topic imenigusaje?ila mi nakosa cha kusema ngoja nijifunze kutokana na comments za wengine.
 
ahahahahahhaha rev mother naomba nitoe angalizo!
kimfano kwa sisi tulio kwenye ndoa lakini ni makeeper na maattractor
tunaruhusiwa kutoa uzoefu!
manake kuna mazombie yapo tu maeneo yanasubiri mkono udondoke( cc FP )
af kuna maaatracted wapo tu mradi nao wapate nusu hasara ,
hapo nimesaidia kudadavua?
:A S 39:manake na mi si wanijua wakati npo shule labda nilikuwa testa wa bhange!
 
Nadhani unaelewa ni kwa nini nimemuuliza swali hilo Kaunga... unakumbuka nilichokwambia?
 
Last edited by a moderator:
respect,confidence,patient,much love,accountability etc etc and prayers bcoz only God knows when and where i will get what i need

mmmhhhh!!!!!!!!! real? isiishie hmu kwenye keyboard tu
 
ahahahahahhaha rev mother naomba nitoe angalizo!
kimfano kwa sisi tulio kwenye ndoa lakini ni makeeper na maattractor
tunaruhusiwa kutoa uzoefu!
manake kuna mazombie yapo tu maeneo yanasubiri mkono udondoke( cc FP )
af kuna maaatracted wapo tu mradi nao wapate nusu hasara ,
hapo nimesaidia kudadavua?
:A S 39:manake na mi si wanijua wakati npo shule labda nilikuwa testa wa bhange!
ndo maana ukawa mlongo wangu......
yaani wakati nasoma post ya Kaunga nilikuwa najiwazisha sana haya maswali yako, lol!
maana wengine ni balaa tupu......
na kufuli vidoleni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ndio hasa ninyi nawataka ili mtoe darasa. How did you manage to keep ur man hadi akaapa mpaka kifo kiwatenganishe?

Unajua nini; kuna watu kupata mpenzi sio shida lkn hadumu sana nao.
Na kuna wengine ambao hajawahi kuachwa maishani, yeye ndio mara zote heart breaker.
ahahahahahhaha rev mother naomba nitoe angalizo!
kimfano kwa sisi tulio kwenye ndoa lakini ni makeeper na maattractor
tunaruhusiwa kutoa uzoefu!
manake kuna mazombie yapo tu maeneo yanasubiri mkono udondoke( cc FP )
af kuna maaatracted wapo tu mradi nao wapate nusu hasara ,
hapo nimesaidia kudadavua?
:A S 39:manake na mi si wanijua wakati npo shule labda nilikuwa testa wa bhange!
 
Last edited by a moderator:
Are you married Rocky? Apart from ur wife's attraction ni nini kilichangia hadi uombe hifadhi ya kudumu?
Kaunga yes married na ndo maana nikatoa angalizo
Wakati mwingine vyote vinaaply kw amtu mmoja huyo huyo yaani unakuwa keeper na attractor kwa wakati mmoja sasa hapo sijui unatuweka kwenye kundi gani
Ila naomba nisiwe mchangiaji Kaunga nisome kwanza
 
Last edited by a moderator:
I think so, nimeona watu ambao ni very attractive na attribute zote za kuvutia na watunzaji wazuri wa mahusiano yao. So yes l guess.

inawezekana mtu akawa hivyo but akapata mwenza mwenye sifa ya kuwa attractive but not keeper au keeper but not attractive... itakuaje?
 
ndo maana ukawa mlongo wangu......
yaani wakati nasoma post ya Kaunga nilikuwa najiwazisha sana haya maswali yako, lol!
maana wengine ni balaa tupu......
na kufuli vidoleni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ni kweli kabisa mkubwa mwenzangu,

Nadhani ni muhimu kuwa both, ila pia kutoa ujumbe usio na utata kwamba you not available for hire....

Unakuwa na sifa zote kwa mteule tu...Kwangu mimi huyo ni Bibi tu....lol!!

Babu DC!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom