Mioyo ya watu humu MMU!

Mioyo ya watu humu MMU!

lachicaguapa

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
269
Reaction score
72
imagejpeg


Kama uko namba moja ujue kwamba Hali yako si shwari na hautaweza kumpenda mtu yeyote, ni Mungu tu anaweza kukunusuru na hayo maumivu na kidonda cha Milele.



Namba mbili unaweza kupona lakini ilo kovu lita kuwa linakukumbusha mabaya uliyotendewa. Hutaamini katika mapenzi ila ukiamini unakuwa Namba tano na kovu lako Kwisha kabisa.

Namba tatu Hauko salama Kwani hujui unaumizwa na hayo mangumi unajipa moyo yatakwisha lakini hayaishi! Usipoangalia utaenda namba mmoja!


Namba nne uko kwenye mapenzi ila ya kawaida kiasi kwamba utamwona mwenzio ni Kama dada au kaka yako vile...! Munapendana kwa sababu ya watoto tu!



Namba tano Huko kwenye mapenzi ya kweli, sio tu ya kweli Bali halisi, na ya moyoni, unampenda mtu Kama alivyo, hata asipokuwekea maji bafuni huoni ni shida, hata ukinyimwa unyumba mwaka mzima, wewe umeng'ang'ana tu hapo, kwasababu unajua katika wooooote Huyu Ndie humpendae na hakuna Kama yeye.....hata ukimwona mdada mwenye lishepu Hilo.. Au mkaka handsome hatariiiiii...huoni kabisa na unamfungia milango.....

sasa ufanyaje ili huweze kuwa na Upendo wa namba tano?

1. Kuwa na Imani kuwa Hapa duniani kuna MUNGU, Na yote yanawezekana..
2. Usikubali kushindwa kwamba ndoto zako haziwezi kutimizwa. Huku ukitimiza namba 1.



Unaweza kuongeza zingine au kuCHALLENGE....!
 
shost mbona picha haionekani weka vizuri
 
Namba moja ya wapi tena mkuu?mbona napewa karatasi ya kujibia lakini ya mashwali sijapewa?
 
mapenzi bana kila kona yanajadiliwa,
mapenzi yangekuwa mtu yangekuwa tajiri
maana mapenzi yanapewa heshima sana
kuanzia fukara hadi tajiri, mwanafunzi hadi mfanyakazi
kiwete hadi kilema, kipofu hadi kiziwi n.k
 
mapenzi bana kila kona yanajadiliwa,
mapenzi yangekuwa mtu yangekuwa tajiri
maana mapenzi yanapewa heshima sana
kuanzia fukara hadi tajiri, mwanafunzi hadi mfanyakazi
kiwete hadi kilema, kipofu hadi kiziwi n.k

Na ni kwasababu yanaleta Amani bila mapenzi, tungeishije dunia hii ya vituko, na maudhi? Ni kweli yangu kuwa tajiri si utani.
 
Namba tano Huko kwenye mapenzi ya kweli, sio tu ya kweli Bali halisi, na ya moyoni, unampenda mtu Kama alivyo, hata asipokuwekea maji bafuni huoni ni shida, hata ukinyimwa unyumba mwaka mzima wewe umeng'ang'ana tu hapo, kwasababu unajua katika wooooote Huyu Ndie humpendae na hakuna Kama yeye.

Hapo kwenye BLUE, yani mwaka mzima ukunyime halafu bado ung'ang'anie tu? Atanieleza yeye anazimaliza na nini.
 
Hapo kwenye BLUE, yani mwaka mzima ukunyime halafu bado ung'ang'anie tu? Atanieleza yeye anazimaliza na nini.


Jamani mkuu, labda unamuumiza....alafu anaogopa kukuambia kwasababu unamabavu!
 
Hapo kwenye BLUE, yani mwaka mzima ukunyime halafu bado ung'ang'anie tu? Atanieleza yeye anazimaliza na nini.


Jamani mkuu, labda unamuumiza, ila anaogopa kukuambia kwasababu ya mabavu uliyonayo..
 
Unapenda kweli mwenzio awe na moyo wa nne, ila wewe moyo wa tatu?
 
Back
Top Bottom