John champhene
Member
- Mar 16, 2013
- 31
- 4
Jirani yangu kanywa sumu,jana kisa kamkuta mke wake na jibaba lime mkumbatia
Jirani yangu kanywa sumu,jana kisa kamkuta mke wake na jibaba lime mkumbatia
Jirani yangu kanywa sumu,jana kisa kamkuta mke wake na jibaba lime mkumbatia
Kukumbatiana tu, labda class mate wake jamani!
Huyu mkaka alikuwa na matatizo . bora tu ametangulia angeweza kuua familia nzima.
inawezekana ni mambo ya mda mrefu na washagombana au kuhisiana maana mleta mada ameleta kwa ufupi tu, ingawa bado maamuzi aliyotumia ni makubwa lkn amefanya uamuzi mzuri kuliko angewazuru hao wengine, Pia hili ni somo kwa huyo mwanamke na JF's kuwa hata atakapoanza maisha yake kuwa ukiamua kuolewa au kuoa basi tulia na wako na kama umeona mda wa starehe bado unauhitaji ni vizuri kusubiri kwanza.