juzi juzi nilianza kazi hivyo ikabidi niishi na girlfriend wangu nwa siku nyingi kama mke na mume nyinyi wenyewe si mnajua ndoa za mjini mjini ukimkwapua kwao tu ndio ushaoa hivyo.
sasa tabu...
Naelekea Uzeeni sasa!
Ni miaka 16 sasa tangu nifahamiane naye, alikuwa ndio kwanza amemaliza kozi yake ya uhasibu na kuajiriwa katika taasisi ya misaada ya mmojawapo ya nchi za Ulaya hapa nchini...
Mimi ni mvulana mwenye miaka 31 sasa nimempata huyu demu wangu mkali na mlimbwende anaitwa Abraa,kwao ni magomeni mapipa na asili ya kwao ni Mombasa na tanga na alishawahi kukaa huko,mtoto wangu...
Soma kichwa cha habari hapo juu, nataka mtoto mzuri awe anajua kungonesha, na awe anaishi tarime, nimechoka ku daty na vicheche, kama upo tarime pls kuwa serious tuwasiliane, atakayebahatika...
Nimewahi kuandika mada kadhaa humu JF kuhusu kutojiamini kwenye uhusiano. Wataalamu wanaamini kwamba, watu wasiojiamini, wanakuwa na matatizo makubwa na magumu au mabaya zaidi wanapokuwa kwenye...
Tumsifu Yesu Kristo.....
Natumai wengi wenu mmekwisha toka makanisa kwa ajili ya Misa ya Jumatano ya majivu
Si vibaya kama tukashare kile ambacho mmejifunza katika misa hiyo...
Kwaresma...
hello!
Natafuta mdada yeyote mwenye umri kati ya miaka 20-25, ambaye ni jasiri asiyeogopa maisha anayejua haki za mwanamke na maana ya mwanamke, elimu angalau kidato cha, ama awe na elimu ya...
Habari zenu wadau,hapa sihitaji ushauri bali nataka kushare tu yaliyonikuta.
Mimi ni mkristo mkatoliki lakini nimetokea kuangukia kwenye mapenzi na binti mmoja mzuri,mtamu,mstaarabu sana wa...
Kuna wakati ambapo, wanawake wanajikuta wakikabiliwa na swali la, je, mwanaume huyu ananipenda kweli? Hii hutokea pale anapokutana na mwanaume ambaye, huenda amevutiwa naye. Pengine mwanaume naye...
Mtu una chati naye mwezi mzima kila mara anajifanya yuko safarini mara yupo bize. Then anakutafuta eti amekumisi anataka mkutane. Unamwambia kama mambo atakupa anasema ndiyo. Then anakuambia...
Vijana wengi wamejikuta katika mahusiano na hata ndoa na watu wasiowataka wala kuwapenda kwa sababu hawakujipa muda wa kuheal baada ya mahusiano ya mwanzo kuvunjika.
Mara baada tu ya kuvunja...
Darling Kaunga, these words are for you to carry to they are meant for.
Baby you gat me doing things I thought I would never do,
It must be because of the way you make me feel........
How you...
Psychologically humans are not capable of being just friends with members of the opposite sex.
Source : Men and Women Can't Be "Just Friends": Scientific American
1. Huna muda wa kushinda na mpenzi wako kutwa nzima mkipiga stori za mapenzi
2. Ukihitaji kufanya mapenzi mahali unakokufikiria ni kitandani
3. Unaanza kujaza friji lako kwa vyakula zaidi...
Siku kama ya leo tar.17/3/2011 baba yangu aliaga dunia.
Alikuwa ni mume mzuri kwa mama yangu,baba mzuri kwa sisi wanawe,mtani mzuri kwa wajukuu zake na watu wengine na mshauri mzuri kwa jamii...
Habari ya jumapili wadau,poleni na kwaresma,Namshukuru Mungu san asana kwa siku hii ya leo,na somo la leo.Basi yesu akawaambia na asie na dhambi kati yenu aanze kumpiga mawe,hakuna alie jaribu...
In China, a man divorced and sued his wife for $120,000 for being ugly and won the case.
Source : ASIA - Chinese man who sued wife for being ugly awarded $120,000
::
Kosa lako la kwanza ni wewe kuniacha.
Kosa lako la pili ni kunipa nafasi nijue naweza kuishi bila wewe.
Asante kwa kosa lako la pili
::
Kosa lako la kwanza ni wewe kunizoeza maneno matamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.