Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Msaada wana JF Nimemtorosha binti wa miaka 20 na kabila lake ni mjita. Nimeamua awe mke wangu na leo ni siku ya 7 tangu nimtoroshe. 1. Natakiwa ndani ya siku ngapi ndio niende kujitambulisha...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Kutokana na mada moja iliyotangulia hapoawali kutumia neno taulo la hoteli limeleta mjadala mrefu,sasa je taulo la hotel lina sifa zipi,au lina ubaya gani?
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Wanajamvi naomba mnisaidie kuoa mwanamke ambaye ameachika kuna madhara gani kwa mwanaume au uhusiano
1 Reactions
40 Replies
14K Views
Siku za nyuma, wanaume walijali zaidi uzuri wa sura na mwili wakati walipokuwa wanatafuta mke. Lakini utafiti uliofanywa duniani kote unaonesha kwamba, wanaume hivi sasa wamebadili mitazamo na...
19 Reactions
122 Replies
12K Views
#...Before sex, you help each other get naked. After sex, you dress only yourself.. Moral: In life no one helps you, once you're fuc*ked !!
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari wana JF! Mimi ni mwanaume, nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi (mchumba na mali nimetoa kwao) na mdada mmoja hivi kwa muda wa miaka mitatu sasa, yeye ni mwanachuo hapo UDSM na kwa sasa ndo...
3 Reactions
58 Replies
6K Views
habar jf: ni mara yangu ya kwanza kujiunga jf naamini mtanisaidia kwa haya niliyonayo moyoni kwan cjui nifanyeje kwa hili. nilikuwa na boyfriend wangu ambaye tulipendana na nikaamin ndo...
3 Reactions
40 Replies
7K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Naona jukwaa halina upako kabisaa jumapili mada nyingi zimekaa kisodoma na gomora wakati leo siku ya Bwana!!!!!! Waanzisha mada na wajadili mada mshindwe na...
5 Reactions
135 Replies
11K Views
Jaman habarini wapendwa.naombeni mnijuze juu ya hili kwamba mnawezaje kuzungumzia suala la umri ktk mapenzi.yan je kuna madhara yoyote ikiwa mwanaume na mwanamke wataoana wakiwa wana umri sawa? Au...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wana mmu, poleni na majukumu ya maisha yanayowakabili, baada ya kimya kifupi cha kukabiliana na shuhuli za kuingiza shekeli kule bandarini weekend hii nilikutana na kioja hiki nikaona...
1 Reactions
34 Replies
12K Views
:: Tuwapendao sana Ndio watuumizao sana. :: Tuwapao siri zetu kwa kudhani ndio msaada wetu Ndio watumiao siri zetu kuja dhidh ya upendo wetu. :: Tuwaaminio sana ndio watuangushao sana...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Mara nyingi huwa sio mchangiaji sana kwenye jamii forum, ingawa huwa napenda sana kusoma mada zenu na kuona jinsi zinavyochangiwa kwa ustadi mkubwa. na wakati mwingine hata mabishano makali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Najitokeza katika safu hii kwa mara ya kwanza kutafuta msichana ambaye baadae tutakuwa familia.Nina miaka 26 nafanya kazi,mweupe,mnene wastani,mrefumwislam na mchapakazi. Msichana ninayemhitaji...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani mimi sijui kama ni ushamba wangu ama ni ugeni wa mambo lakini kwa vyovyote vile naomba nitakapokosea nikosolewe na nitakapoteleza nisahihishwe bila jaziba na matusi. Leo naongelea wanawake...
21 Reactions
94 Replies
10K Views
msikieni SOPHY My name is Sophy. Been going out this guy for 3 months now. He is a very caring and nice guy and we love each other so much. But there are some things he does that really...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
1. Ignorance 2. Love 3. Being alone 4. Losing someone special 5. Being heartbroken 6. Waiting for someone 7. Getting infected with an incurable viral disease
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Waungwana. Mimi ni Mkristo. Nina ndoa. Miaka 10. Kila ndoa ina tatizo. Haikosi. Ninampenda sana mke wangu mpaka nahisi najipendekeza kwake. Namuombea sana kwa Mungu ili abadilike. Siwezi kukata...
2 Reactions
22 Replies
8K Views
Kwako mpenzi wangu wa zamani, ambaye ulinifikisha uliponifikisha kupitia utapeli wa kimapenzi ambao ulinifanyia. Kwako niliamini kabisa kwamba, nimepata mpenzi wa kweli na wa kuaminika, kumbe...
13 Reactions
60 Replies
5K Views
Heshima zenu wadau naombeni ushauri wenu kuna mpenzi wangu na mpenda sana lakini kila nikitaka kuonana naye anaanza maneno na mipango ambayo haina maana sana na mahusiano yangu na yeye papo hapo...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
HESHIMA MBELE WAKUU, HII NIMEIKUTA MAHALI, NIKAONA NI VYEMA, NIKASHARE NA WANA JF HAPA, ILI NISIKIE NA NYINYI MNASEMAJE .." Wapendwa dada zangu katika mapenzi na mnaopenda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom