Wanawake ni viumbe wakatili kuliko wanaume.

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,664
Wanawake.

Mtoto kachomwa moto na mama yake kisa kadokoa vijisenti.

Mtoto anapolelewa na mama wa kambo anakuwa katika wakati mgumu sana kuliko akiwa na baba wa kambo.

Housegirls huwa wanapata mateso sana kutoka kwa mama wenye nyumba.

Mwanamke anafanya starehe zake, akipewa ujauzito asiotarajia either atamuua mtoto akiwa tumboni au atamzaa kisha atamfunga kwenye mfuko wa rambo kisha anamtelekeza.

Wanawake kwa nini mnakuwa wakatili kiasi hiki?

Nini kinasababisha mnakuwa hivi?
attachment.php
 
Attachments

  • mtoto.jpg
    mtoto.jpg
    24.3 KB · Views: 922
In God we trust...Ni mama zetu lakini akili zao sijui waliazima wapi hawa watuu....
 
Ndivyo walivyo umbwa nizaifusana hasa wa AFIRIKA. hongera wazilimkuu wa ujeruman kwa kukataa kuishi ikuru kwa kumheshimu mmeo asikose uhuru wa kukuonya unapo kosa, mnamkumbuka aliyewahikuwa makamo wa raisi uganda aliyetoa taraka kwa mmewe kisa kofi
 
Wanawake ni wa kuogopa sana, maana ndiyo waliomshawishi Adam akatenda dhambi.
 
ngumu kuchangia
kuna ile moja dent lahangaika kutoa mimb wewe haijatoka ikafika 9 months akazaa katoka hospital mtoto akamuweka kwenye ndoo kusudi ili afe na aisahau kwenye bus hapo wanatoka kibaha Mungu akisema hapana ni hapana tu basi kufika njiani abiria wkashtukia issue.
nachoweza kusema kuna watu wana roho ngumu balaa na si wanawake tu mpaka wanaume leo hii wanaume wangapi wanawabaka watoto wao??
wangapi wanawatoa mimba kinguvu wanawake zao??
Mungu tuepushie na hili balaa
 
Kuna kitu kama nataka kuzungumza hivi ... halafu kinakwama ........
Hebu ngoja, nitarudi!
 
ngumu kuchangia
kuna ile moja dent lahangaika kutoa mimb wewe haijatoka ikafika 9 months akazaa katoka hospital mtoto akamuweka kwenye ndoo kusudi ili afe na aisahau kwenye bus hapo wanatoka kibaha Mungu akisema hapana ni hapana tu basi kufika njiani abiria wkashtukia issue.
nachoweza kusema kuna watu wana roho ngumu balaa na si wanawake tu mpaka wanaume leo hii wanaume wangapi wanawabaka watoto wao??
wangapi wanawatoa mimba kinguvu wanawake zao??
Mungu tuepushie na hili balaa
Ukatili wa wanawake unasababishwa na wanaume...
-Kama mama wa kambo anawatesa watoto, mwanaume kachangia kwa sababu hakuweka msimamo juu ya malezi ya watoto

-Kama mama anamtesa msichana wa kazi, mwanaume kachangia kwa sababu wakati mwingine ni maudhi ya baba husababisha mama kuhamishia hasira kwenye shabaha dhaifu na kama si watoto, ni laizma msichana wa kazi atakiona cha moto, lakini pia kama mume anaonekana kumtamani binti wa kazi, mama anaweza kuwa mkali ili kufikisha ujumbe kwa binti kwamba akithubutu tu atakiona cha moto, kwani hawezi kumkabili mume.

-Kama binti katoa mimba au kutupa mtoto, ni lazima mwanaume atakuwa aliukataa huo ujauzito

Je unafikiri ni wapi mwanaume ataepuka sehemu ya lawama hizi.
Ni lazima na sisi tukubali kuwajibika kwani tunachangia hata kama ni kwa asilimia ndogo tu, lakini tuna mchango katika jambo hilo..........
 
acha kupotosha mimba inatolewaje na mwanaume wakati ipo tumboni kwako
 
mtambuzi nimependa point zako bila shaka ww ni baba bora have never seen,big up tambuzi;5939701]Ukatili wa wanawake
unasababishwa na wanaume...
-Kama mama wa kambo anawatesa watoto, mwanaume kachangia kwa sababu
hakuweka msimamo juu ya malezi ya watoto

-Kama mama anamtesa msichana wa kazi, mwanaume kachangia kwa sababu
wakati mwingine ni maudhi ya baba husababisha mama kuhamishia hasira
kwenye shabaha dhaifu na kama si watoto, ni laizma msichana wa kazi
atakiona cha moto, lakini pia kama mume anaonekana kumtamani binti wa
kazi, mama anaweza kuwa mkali ili kufikisha ujumbe kwa binti kwamba
akithubutu tu atakiona cha moto, kwani hawezi kumkabili mume.

-Kama binti katoa mimba au kutupa mtoto, ni lazima mwanaume atakuwa
aliukataa huo ujauzito

Je unafikiri ni wapi mwanaume ataepuka sehemu ya lawama hizi.
Ni lazima na sisi tukubali kuwajibika kwani tunachangia hata kama ni kwa
asilimia ndogo tu, lakini tuna mchango katika jambo
hilo..........[/QUOTE]
 
Mtambuzi uliyosema yana ukweli.. Lakini hayamkwepeshi mwanamke na dhambi hizi/matendo hayo maovu..

Mfano kwa ishu ya kutupa mtoto hata kama baba kamkataaa...je hiyo ndo option pekee anaweza kuichukua????

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ukatili wa wanawake unasababishwa na wanaume...
-Kama mama wa kambo anawatesa watoto, mwanaume kachangia kwa sababu hakuweka msimamo juu ya malezi ya watoto

-Kama mama anamtesa msichana wa kazi, mwanaume kachangia kwa sababu wakati mwingine ni maudhi ya baba husababisha mama kuhamishia hasira kwenye shabaha dhaifu na kama si watoto, ni laizma msichana wa kazi atakiona cha moto, lakini pia kama mume anaonekana kumtamani binti wa kazi, mama anaweza kuwa mkali ili kufikisha ujumbe kwa binti kwamba akithubutu tu atakiona cha moto, kwani hawezi kumkabili mume.

-Kama binti katoa mimba au kutupa mtoto, ni lazima mwanaume atakuwa aliukataa huo ujauzito

Je unafikiri ni wapi mwanaume ataepuka sehemu ya lawama hizi.
Ni lazima na sisi tukubali kuwajibika kwani tunachangia hata kama ni kwa asilimia ndogo tu, lakini tuna mchango katika jambo hilo..........

HONGERAAAAAAAAAA! IMARAAAAAAAAAAAAAA! WAAAAAAAAAAAAAAAAA! Nimekupendaje sasa! Mwaaaaaaaaaaaaah! You are a great thinker indeed!!!!!!!!
 
Wana roho nzuri na huruma ila on the other side ni wakali kama simba jike mwenye watoto na roho mbaya as chui
 
Ukatili wa wanawake unasababishwa na wanaume...
-Kama mama wa kambo anawatesa watoto, mwanaume kachangia kwa sababu hakuweka msimamo juu ya malezi ya watoto

-Kama mama anamtesa msichana wa kazi, mwanaume kachangia kwa sababu wakati mwingine ni maudhi ya baba husababisha mama kuhamishia hasira kwenye shabaha dhaifu na kama si watoto, ni laizma msichana wa kazi atakiona cha moto, lakini pia kama mume anaonekana kumtamani binti wa kazi, mama anaweza kuwa mkali ili kufikisha ujumbe kwa binti kwamba akithubutu tu atakiona cha moto, kwani hawezi kumkabili mume.

-Kama binti katoa mimba au kutupa mtoto, ni lazima mwanaume atakuwa aliukataa huo ujauzito

Je unafikiri ni wapi mwanaume ataepuka sehemu ya lawama hizi.
Ni lazima na sisi tukubali kuwajibika kwani tunachangia hata kama ni kwa asilimia ndogo tu, lakini tuna mchango katika jambo hilo..........

Asante Mtambuzi kwa kuwa mkweli. Wanaume wengi huishia kumwaga lawama kwa mwanamke bila kuangalia ukatili huo umesababishwa na nini.
 
Last edited by a moderator:
Ukatili wa wanawake unasababishwa na wanaume...
-Kama mama wa kambo anawatesa watoto, mwanaume kachangia kwa sababu hakuweka msimamo juu ya malezi ya watoto

-Kama mama anamtesa msichana wa kazi, mwanaume kachangia kwa sababu wakati mwingine ni maudhi ya baba husababisha mama kuhamishia hasira kwenye shabaha dhaifu na kama si watoto, ni laizma msichana wa kazi atakiona cha moto, lakini pia kama mume anaonekana kumtamani binti wa kazi, mama anaweza kuwa mkali ili kufikisha ujumbe kwa binti kwamba akithubutu tu atakiona cha moto, kwani hawezi kumkabili mume.

-Kama binti katoa mimba au kutupa mtoto, ni lazima mwanaume atakuwa aliukataa huo ujauzito

Je unafikiri ni wapi mwanaume ataepuka sehemu ya lawama hizi.
Ni lazima na sisi tukubali kuwajibika kwani tunachangia hata kama ni kwa asilimia ndogo tu, lakini tuna mchango katika jambo hilo..........

Mtambuzi yani hapa nakupa 100/100
 
-Kama binti katoa mimba au kutupa mtoto, ni lazima mwanaume atakuwa aliukataa huo ujauzito

Chifu, si lazima. Kuna wakati mwingine binti utoa mimba hata kama mwanaume aliyempa ujauzito yupo tayari kwa matunzo. Kuna mambo mengi yanayoweza sababisha hivyo:

1. Binti kuogopa adhabu kutoka kwa wazazi - binti anatoa mimba kwa sababu anafahamu fika kwamba wazazi wake wakifahamu atakumbana na mkono wa chuma. Kama anasoma, ada na msaada wa kishule utasitishwa; anaweza kufukuzwa kwao n.k.

2. Binti hana mpango wa muda mrefu na mwanaume huyo - hapa binti anatoa mimba kwa sababu haoni kama kuna haja ya yeye kuwa na mahusiano ya muda mrefu na mwanaume huyo. Kumbuka, mtoto huyo akizaliwa, atawaunganisha watu hawa daima, hata kama hawataoana. Hii mara nyingi mimba inakuwa iliingia kwa bahati mbaya, hivyo binti anakuwa hana jinsi zaidi ya kuitoa.

3. Binti kuona hayuko tayari kuwa mama - kuna mabinti wengine ambao bado hawapendi kutoa na kuumaliza "ubinti" wao. Hivyo wapatapo mimba, uona ni njia ya kuumaliza ubinti huo. Hivyo hata kama mwanaume atakuwa tayari kutunza mimba na mtoto, binti ataona njia ya kuendelea kutunza ubinti huo ni kutoa mimba hiyo.

N.k.
 
Ni tabia ya mtu tu haijalishi ni mwanamke au mwanaume.
 
Ukatili wa wanawake unasababishwa na wanaume...
-Kama mama wa kambo anawatesa watoto, mwanaume kachangia kwa sababu hakuweka msimamo juu ya malezi ya watoto

-Kama mama anamtesa msichana wa kazi, mwanaume kachangia kwa sababu wakati mwingine ni maudhi ya baba husababisha mama kuhamishia hasira kwenye shabaha dhaifu na kama si watoto, ni laizma msichana wa kazi atakiona cha moto, lakini pia kama mume anaonekana kumtamani binti wa kazi, mama anaweza kuwa mkali ili kufikisha ujumbe kwa binti kwamba akithubutu tu atakiona cha moto, kwani hawezi kumkabili mume.

-Kama binti katoa mimba au kutupa mtoto, ni lazima mwanaume atakuwa aliukataa huo ujauzito

Je unafikiri ni wapi mwanaume ataepuka sehemu ya lawama hizi.
Ni lazima na sisi tukubali kuwajibika kwani tunachangia hata kama ni kwa asilimia ndogo tu, lakini tuna mchango katika jambo hilo..........
respectfully object to this. mama ana akili na utashi wa kutambua jema na baya. hii inaonesha mama anatafuta mnyonge wa kumuonea bcoz yeye kaonewa na mumewe instead of kutafuta soln juu ya mumewe. i dont support uonevu kwa wanyonge bcoz wewe umeonewa na mkubwa wako, hatuwezi kuishi tukifuata philosophy hiyo
 
Mwarobaini wa kumaliza manyanyaso ya watoto iwe mhusika ni mama au baba ni kuacha tabia za uhuni na umalaya.....Kama huna mpango wa kulea na kutunza familia ni wajibu wa kila mmoja kufanya mapenzi salama na kwa wenye uwezo kusubiri hadi upate mwenye malengo ya kulea kama nawe unayo.

Mwanamke anakuwa mpokeaji wa lawama moja kwa moja kwa sababu yeye ndiye mchezaji wa mwisho na hekima na busara zake ndizo zinaweza kuokoa roho na manyanyaso kwa viumbe wasio na hatia. Sambamba na hilo hamna salama kwa mwanamme anayemtelekeza mwanamke baada ya kujaza mimba hata kama mapenzi yalikuwa ya hit & run.....

Wajibu wetu sote ni kuwaonea huruma hawa viumbe wa mungu wasiokuwa na nguvu za kujitetea, fikiri kama sisi tungenyanyaswa au kuuwawa tungali wachanga ni uchungu kiasi gani ungetufika... Hatuna budi kuelewa pamoja na udhaifu wao ila wana kila ambacho tunacho sisi na minguvu yetu na kwa sababu tumeumbwa kwa sura na mfano wa mungu ni kwamba tunaua roho kama ilivyo ya mtu mzima.......It makes me feel uncomfortable.
 
Back
Top Bottom