Do some of you men really stay with a woman ONLY because she's good in bed? Not because you love her, or because she stimulates your mind, but because she gives good head? Are there men out there...
HAYA NDO MAISHA: Unamnunulia mke wako SIMU,mwanaume mwenzako anamnunulia VOCHA, Huo ni mgawanyo wa majukumu.Unamlipia mkeo ADA ya chuo, Mwanaume mwenzako anamlipia kodi HOSTEL, Huo ni mwingiliano...
Jamani, kule business na economic watu si wengi, kwa hiyo sijakosea jukwaa.
Hivi, hii cyprus crisis ndio imekuwaje? Kukaywa 6.76 percent ya savings mbona kiama?
Anyway, thank God bunge lao...
Mimi namshangaa huyu mke wangu! nimezaa naye mtoto mmoja ila alijifungua kwa njia ya upasuaji miaka miwili iliyopita. kwa sasa mtoto keshakuwa mkubwa maana ana umri wa miaka miwili na mimi...
Kwa wale ambao wanakaribia kufikisha umri a miaka 50 au wamepita, watakuwa wameshasikia au wamapitia kwenye kipindi cha msongo wa mawazo juu ya maisha yao na wenzi wao kwa ujumla. Kumekuwa na...
Wapendwa dada zangu katika mapenzi na mnaopenda kuangalia tamthilia za Kimexico na Kifilipino,
Mnaona jinsi Alejandro anavyomjali Maria Clara?
Mnaona jinsi anavyomuangalia machoni kwa upendo...
Grooms' sex-rota in one-room shack
Clan ... Rajo Verma with Jay and, l-r, Sant Ram, Bajju, Gopal, Guddu and Dinesh.
A YOUNG mum told last night how she has five husbands - who are all...
Jana nimepata nanba ya simu ya demu moja hiv nikiwa maeneo flani.
Leo asubuhi kanitumia msg nimsaidie vocha. Nikamtumia 2000. Kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie nauli anaenda town...
MKE KAMZIDI MSHAHARA MUME...hivi mnadeal nayo vipi hii....ile desturi ya kuwa Mwanamme ndo provider wa familia inakuwaje hapa.....!! na Je mahitaji yako yanakuwaje as Mwanamke, utahudumiwa au...
Heshima wanajamvi,
Jana nilikwenda kituo cha afya kupima damu baada ya kuhisi naumwa wakati nasubiri kupimwa kaingia Ustadhi na vijana wawili mmoja mwanaume na wapili mwanamke kajifunika mwili...
Habari zenu wana jf, mimi ni kijana wa miaka 23 niko mwaka wa kwanza muhimbili nachukua shahada ya udaktari, kuna mdada nimemzoea sana na nimetokea kumpenda sana na natamani awe mpenzi wangu...
Mwanaume ninae ishi nae nilikutana nae chuoni na alinisaidia sana kuanzia kimasomo mpaka matumizi yote.Hatujafunga ndoa. Baada ya chuo tuliajiriwa kwenye mashirika tofauti kazi ambayo naifanya...
I need a God fearing man to be my hubby soon after knowing n undestanding each other. He should be of 30-38 years of age,atleast a first degree holder who is working or doing business, A good...
Mimi nina mke na tuna mtoto mmoja. Lakini tangu nimemuoa huyu mwanamke maka mitatu iliyopita hajawahi hata siku moja kunikaribisha kwenda kuoga maji bafuni kwa adabu ambazo mimi nimekuwa nikiziona...
Unaweza ukafia palepale!!
Inaogopesha zaidi baada ya kuona zile movement za waathirika wanaochukua ARV's
Kwa wale waliopima naomba kushea nao experience hapa,mwenzenu nimepata hard time ambayo...
Samahani kama nitakuwa nimerudia mada.
Najaribu kuangalia, je kuna umuhimu wa kuoana watu wa kabila moja ama tamaduni zinazoshabihiana?
Kuna migogoro mingine katika ndoa huchangiwa tu na...
Niliamua kuoa sababu nina miaka 28 na nina kipato cha kutosha tu. Nikapata mchumba, yeye anafanya kazi bank (yeye ni banker). Nikaonyesha niya yangu ya dhati kuwa mimi si mpitaji.
Nipo mbali na...
Kutokana na hali ya maisha ya sasa kwa kweli tunakoseana sana. hasa kwa walioko kwenye ndoa na wale wanaojiandaa kuingia kwenye ndoa.
Post nyingi humu ukiangalia utaona watu wanalalamika...
Leo nimekereka sana.
Nina familia ya mke na watoto wawili. Kwa sasa, kikazi niko Mbeya, ila familia iko mkoa wa Kilimanjaro. Huyu mke wangu nilimfahamu kwa mara ya kwanza akiwa kwa shemeji yake...