kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
HAYA NDO MAISHA: Unamnunulia mke wako SIMU,mwanaume mwenzako anamnunulia VOCHA, Huo ni mgawanyo wa majukumu.Unamlipia mkeo ADA ya chuo, Mwanaume mwenzako anamlipia kodi HOSTEL, Huo ni mwingiliano wa majukumu. Unamnunulia mke wako CHUPI Mwanaume mwenzako ANAMVUA, Huu ni mgawanyo wa mapenzi. Unamwomba mke wako mfanye SEX japo kwa dakika chache, mwanaume mwenzako anabembelezwa na mkeo wakalale mpaka asubuhi pindi unaposafiri.HAYO NDIO MAPENZI HALISI