Cyprus Crisis. . .

Cyprus Crisis. . .

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
35,987
Reaction score
24,234
Jamani, kule business na economic watu si wengi, kwa hiyo sijakosea jukwaa.

Hivi, hii cyprus crisis ndio imekuwaje? Kukaywa 6.76 percent ya savings mbona kiama?

Anyway, thank God bunge lao limekataa.
Natamani kuelewa ila mie ni mchumi wa pesa zangu, ikishakuja hizi economic intergrations nachanganyikiwa.

Nisaidieni waungwana
 
Enzi za kibubu zimerudi........kibubu hoyeeee......
 
Unajua wacongoman hela zao wanaweka benki kwa nadra sana. Mobutu alikuwa akifilisika anakomba hela za watu walizoweka bank....
 
Kwa kweli ni bora hilo bunge limekataa - maana ungewekwa mfano mbaya mno. Preta: vibubu na udogo wake kweli vitawafaa wazee wa vijisenti? Au ingebidi yabuniwe mabubu?
 
Asilimia 10% kwa wenye akiba zaidi ya dola 130,000/-. Na below ndio asiloimia 6,hii inatokana na mabenki kupata hasara kwa sababu mikopo ilikuwa hailipwi sababu watu wanapunguzwa kazi na wanashindwa kuliopia mortgage etc na pesa za savings huku tunaita nssf ama ppf serikali ilikomba zote na hakuna kitu sasa njia ya kuongeza kipato ambapo walipewa option na EU kuwa waondoke ktk jumuiya ama wakate tax ya savings coz kulikuwa kuna pesa nyingi sana za warusi,na inawezekana ikawa ni pesa chafu kwa iyo wakaammrishwa kila pesa ipigwe tax.soma kitabu walichoandika donald trump na robert kiyosaki kinaitwa why we wat you to be rich kiliandikwa kama mwaka 2004 kama sikosei ila aya yote ya financial crisis ndio yanayotokea.kwa maswali zaidi kuhusu word economy ama numbers zikikuchanganya just tell me
 
Bank zinafunguiwa alhamisi mpaka ijulikane sheria kama itapitishwa ama la


Jamani, kule business na economic watu si wengi, kwa hiyo sijakosea jukwaa.

Hivi, hii cyprus crisis ndio imekuwaje? Kukaywa 6.76 percent ya savings mbona kiama?

Anyway, thank God bunge lao limekataa.
Natamani kuelewa ila mie ni mchumi wa pesa zangu, ikishakuja hizi economic intergrations nachanganyikiwa.

Nisaidieni waungwana
 
Financial crisis inabidi itokee ili kumuandalia mazingira ne global leader anayeandaliwa ama christians wanamwita antichrist
 
Kwa nini financial crisis? Nchi ambazo zamani ukisikia mtu kaenda marekani ama uingereza basi una admire but sa hv hali ni tofauti kwa nini?kwa nini wamarekani zaidi ya millioni 42 wanategemea misaada ya serikali ili waisi kwa kuwa hawana kazi,kwa nini marekani rate ya unemployement ipo juu toka tetemeko la uchumilililosababishwa na fannie mae na freddie mac .
Kwa nini idadi ya wanaopunguzwa kazi inazidi kuongezeka na unajua ni kwa nini ma kuna siri gani ambapo serikalio badala ya kutoa foigure haloisi ya unemployment wanatoa oina percentage ilhali idadi inaongezeka?je unajua kuwa baby boomers hao ni wamarekani waliokuwa wanatakiwa kustaafu toka mwaka 2010 mpaka 2015 wengi wao wameongezewa muda wa kufanya kazi na sio kustaafu?simple savings zao hazipo,serikali ilitumia now wakistaafu wote kwa pamoja wakidai pesa yao it will be a financial crisis.
 
Chimbuvu, why cyprus only? Na wale wengine wanne hawajakatwa mbona?

Nilikuwa naona spain, germanyn France na ugiriki sijui?

Anguko la EU?
 
Last edited by a moderator:
Mie natengeneza bank humu ndani, kibubu cha maana

Bora nikachukue nssf yangu mapema, maana hiyo 2015 tusije tukaletewa mapichapicha

Unajua wacongoman hela zao wanaweka benki kwa nadra sana. Mobutu alikuwa akifilisika anakomba hela za watu walizoweka bank....
 
Mie natengeneza bank humu ndani, kibubu cha maana

Bora nikachukue nssf yangu mapema, maana hiyo 2015 tusije tukaletewa mapichapicha

Umeona heee...watu hawana mana na hawaoni aibu. Wanaweza kuja na mastori wakati hela imeshayeyuka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom