Dawa ya wachunaji

Dawa ya wachunaji

notifeki

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
402
Reaction score
283
Jana nimepata nanba ya simu ya demu moja hiv nikiwa maeneo flani.
Leo asubuhi kanitumia msg nimsaidie vocha. Nikamtumia 2000. Kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie nauli anaenda town hana kitu. Nimemtumia buku tano kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie hela ya kula mchana maana hajala kitu tangu jana.
Nimeamua nisitume maana naona kila ninapomtumia anaomba zaidi.
Nisaidieni dawa ya kudili na watu kama hawa maana nimesikia wengine wakileweshwa na kubakwa kisha kuuawa kwa tabia zao hizi kuchuna wanaume.
 
wewe kwa nini ulimtumia mtu umepata tu namba yake hata hamjuani? kuna watu wapo kazini.. shauri yako...
 
wewe sio mwanaume wa kweli kabisa....yani hela yako inaliwa bila kumgegeda demu!!!!
 
Jana nimepata nanba ya simu ya demu moja hiv nikiwa maeneo flani.
Leo asubuhi kanitumia msg nimsaidie vocha. Nikamtumia 2000. Kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie nauli anaenda town hana kitu. Nimemtumia buku tano kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie hela ya kula mchana maana hajala kitu tangu jana.
Nimeamua nisitume maana naona kila ninapomtumia anaomba zaidi.
Nisaidieni dawa ya kudili na watu kama hawa maana nimesikia wengine wakileweshwa na kubakwa kisha kuuawa kwa tabia zao hizi kuchuna wanaume.
una umri gani rafiki?
 
tuma tuma tu kwani we si zipo!!! a.k.a alwatan ridhiwani tuma ndugu!!!!
 
kweli kuna tofauti kati ya mtu mwenye roho nzuri na falaa... we ni falaa...
 
jibu unalo..unadili na mtu ambaye yeye ndo kazi yake..yuko town kwa ajili ya kazi hiyo
 
Jana nimepata nanba ya simu ya demu moja hiv nikiwa maeneo flani.
Leo asubuhi kanitumia msg nimsaidie vocha. Nikamtumia 2000. Kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie nauli anaenda town hana kitu. Nimemtumia buku tano kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie hela ya kula mchana maana hajala kitu tangu jana.
Nimeamua nisitume maana naona kila ninapomtumia anaomba zaidi.
Nisaidieni dawa ya kudili na watu kama hawa maana nimesikia wengine wakileweshwa na kubakwa kisha kuuawa kwa tabia zao hizi kuchuna wanaume.

Hiyo kitu hainaga dawa...!!!!!!!!
 
DAWA YAKE MPE notifeki AKISHATIWA RUMANDE HATAKUWA NA SIMU YA KUKUTUMIA TENA SMS.
 
Last edited by a moderator:
Jana nimepata nanba ya simu ya demu moja hiv nikiwa maeneo flani.
Leo asubuhi kanitumia msg nimsaidie vocha. Nikamtumia 2000. Kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie nauli anaenda town hana kitu. Nimemtumia buku tano kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie hela ya kula mchana maana hajala kitu tangu jana.
Nimeamua nisitume maana naona kila ninapomtumia anaomba zaidi.
Nisaidieni dawa ya kudili na watu kama hawa maana nimesikia wengine wakileweshwa na kubakwa kisha kuuawa kwa tabia zao hizi kuchuna wanaume.
Nadhani uko kwenye EVOLUTION ya kuwa kafataki kama si lifataki!! unatuma tu hata hujui kama ni jini???????
 
Yaani elfu saba tu unapaniiiiiiiiik, we hujaona watu wanahonga mabenzi nini. Hebu kuwa bana na wewe, usipomuhudumia mrembo wako unatakaje sasa? Unataka wewe umpe za vocha nauli apewe na mwingine? kula alishwe na mwingine wewe umle tu?
 
Kwani mi babaake?
 
Yani uhonge benz kwa ajili ya K? huu ndio ulimbukeni wa grade A. Yaani dunia nzima kuna K zaidi ya bilioni 3 halafu wewe uhonge benz kwa ajili ya K moja tu? #uzuzuatbest
 
Jana nimepata nanba ya simu ya demu moja hiv nikiwa maeneo flani.
Leo asubuhi kanitumia msg nimsaidie vocha. Nikamtumia 2000. Kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie nauli anaenda town hana kitu. Nimemtumia buku tano kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie hela ya kula mchana maana hajala kitu tangu jana.
Nimeamua nisitume maana naona kila ninapomtumia anaomba zaidi.
Nisaidieni dawa ya kudili na watu kama hawa maana nimesikia wengine wakileweshwa na kubakwa kisha kuuawa kwa tabia zao hizi kuchuna wanaume.
Anakuchuna..... mchezo? m-delete haraka
 
Yani hii thread imenichekesha sana kwakuwa kila noti inahitaji noti.
Raisi alikwambia ukitaka kula lazima nawe uliwe kidogo usikate tamaa endelea kutuma hahaha
 
jana nimepata nanba ya simu ya demu moja hiv nikiwa maeneo flani.
Leo asubuhi kanitumia msg nimsaidie vocha. Nikamtumia 2000. Kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie nauli anaenda town hana kitu. Nimemtumia buku tano kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie hela ya kula mchana maana hajala kitu tangu jana.
Nimeamua nisitume maana naona kila ninapomtumia anaomba zaidi.
Nisaidieni dawa ya kudili na watu kama hawa maana nimesikia wengine wakileweshwa na kubakwa kisha kuuawa kwa tabia zao hizi kuchuna wanaume.

mbaya zaidi hata kuonana hamjaonana, wala sauti yake hujaisikia, usikute ni dume fulani hivi lafanya utapeli . Ama kweli wajinga ndio ugali wao
 
Back
Top Bottom