Nampenda but yeye anichukulia kama kaka....!

ze jj

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
522
Reaction score
630
Habari zenu wana jf, mimi ni kijana wa miaka 23 niko mwaka wa kwanza muhimbili nachukua shahada ya udaktari, kuna mdada nimemzoea sana na nimetokea kumpenda sana na natamani awe mpenzi wangu, tatizo ni kwamba yeye anichukilia kama rafiki wa kawaida na ukaka ndani yake, ni fanyeje ili aanze kuwa na hisia za kimapenzi kwangu? Kifupi nmfanyeje aanze kunipenda ili nikimtongoza iwe rahisi kumpata?
 
Soma kwanza kijana, unadhani hapo alipo huyo dada hana mpenzi!
Think twice, kumbuka wote mmekutana shambani kulima...ooooh!!
 
Habari zenu wana jf, mimi ni kijana wa miaka 23 niko mwaka wa kwanza muhimbili nachukua shahada ya udaktari, kuna mdada nimemzoea sana na nimetokea kumpenda sana na natamani awe mpenzi wangu, tatizo ni kwamba yeye anichukilia kama rafiki wa kawaida na ukaka ndani yake, ni fanyeje ili aanze kuwa na hisia za kimapenzi kwangu? Kifupi nmfanyeje aanze kunipenda ili nikimtongoza iwe rahisi kumpata?

naomba namba yake ya simu ...then nitakupa feedback baada ya wiki moja
 
first i suggest u change ur name ze keke!!?? what the hell man!!
 
Kwa style hii utatibu mgonjwa apone kweli kama jambo dogo hivi linakuumiza kichwa
 
Dk ze keke! Kweli umeshindwa kujua tatizo la mgonjwa wako kweli!!,
 
Last edited by a moderator:
mfanyie operation ya kichwa badala ya mguu.... Ndugu yangu ukiona ivyo ujue ana wake anayempenda kimapenzi, nyie mnaolazimisha sana ndo mnatendwa vibaya sanaa...
kama hana boyfriend mbinu ya kumpata ni kupunguza mazoea kwa muda alafu jipange then umfwate upya.. sawa kaka..
 
Shtuka kabla hajakuzoea zaid akkuzoea zaid hesabu imekula kwako mm mwenyewe imemtokea jamaa angu lakn mzgo anakula mwngne jamaa amebak kumdss dada na kumbwela tu!CHA KUFANYA fanya utaft anapenda nn alafu tafuta cku mwambie akusindkze sehem mpeleke moja kwa moja Gest mwambie kuna mambo sekret unataka kumwambia,akiingia tu rock mlango ufunguo ufche anza kumshushia mistar akzngua Noma na iwe noma komalia zgo,mgegede heshma itakuja ukmpanda tu bas huyo atakuwa wako.FARAS ULIYEMPANDA HAKUTISH KWA MIONDOKO MWENYEWE UTASIKIA NA KESHO NATAKA TENA,lakn ukimbwela huji kumpga na kuwa na mahusiano
 
Fanya mambo ambayo yatamuoneshe kuwa unamjali (epuka kujali kwa kikaka na kidada).

Wanawake hupenda sana attention na kusikilizwa, hivyo hakikisha usiwe kwazo kwake.

Unaweza fanya naye mitoko ya kwenda sehemu ambazo ni tulivu, kwenye kumbi za sinema.

Jitahidi uwe mtanashati, unayejali wakati na kujua hobbies zake ili wakati mwingine muwe mnazifanya pamoja n.k

Mwisho usiache kumnunulia vijizawadi vidogo vya hapa na pale kama maua, choc's n.k

Wengi watakao kuponda ila umri uliofikia ndio umri sahihi kwa mwanaume kuanza kuangalia ni mwanamke gani anapaswa kuwa naye maishani.
 
Utadisko wewe?
Umeshasoma ile mikate yote???

Mwaka wa kwanzo hadi wa 5 mtakuwa wote tu???

usiniache hoi bro, mpaka nafika hapo najitambua vizuri, sema maisha siyo kusoma tu, socializing with people ni muhimu sana na njia moja wapo nikujua jinsi ya kumtreat mwanamke umpendae, acje liwa na wenzio we upo tu!
 
Shtuka kabla hajakuzoea zaid akkuzoea zaid hesabu imekula kwako mm mwenyewe imemtokea jamaa angu lakn mzgo anakula mwngne jamaa amebak kumdss dada na kumbwela tu!CHA KUFANYA fanya utaft anapenda nn alafu tafuta cku mwambie akusindkze sehem mpeleke moja kwa moja Gest mwambie kuna mambo sekret unataka kumwambia,akiingia tu rock mlango ufunguo ufche anza kumshushia mistar akzngua Noma na iwe noma komalia zgo,mgegede heshma itakuja ukmpanda tu bas huyo atakuwa wako.FARAS ULIYEMPANDA HAKUTISH KWA MIONDOKO MWENYEWE UTASIKIA NA KESHO NATAKA TENA,lakn ukimbwela huji kumpga na kuwa na mahusiano

Unampa njia ya kwenda segerea kirahisi hivyo?
 
Fanya mambo ambayo yatamuoneshe kuwa unamjali (epuka kujali kwa kikaka na kidada).

Wanawake hupenda sana attention na kusikilizwa, hivyo hakikisha usiwe kwazo kwake.

Unaweza fanya naye mitoko ya kwenda sehemu ambazo ni tulivu, kwenye kumbi za sinema.

Jitahidi uwe mtanashati, unayejali wakati na kujua hobbies zake ili wakati mwingine muwe mnazifanya pamoja n.k

Mwisho usiache kumnunulia vijizawadi vidogo vya hapa na pale kama maua, choc's n.k

Wengi watakao kuponda ila umri uliofikia ndio umri sahihi kwa mwanaume kuanza kuangalia ni mwanamke gani anapaswa kuwa naye maishani.

this is the best advice have ever come accross with, but hiyo mitoko si boom langu litaisha? Board ya mkopo yenyewe unaona inavyozingua!
 
Hata mimi hiyo user name nimejikuta nacheka sana kwa tafsri ya lugha yangu
majina mengine twajipa tu, hata hatujui nyuma ya pazia kuna nini, nambie maanake nisije jiintroduce ukweni ikawa noma!
 
edit halafu Ka-print hii barua....then umtumie lazima ataingia kingi mwenyewe.....

View attachment 87495
attachment.php
 
Hivi kuna dawa ya kuongeza hisia kwa mtu?
Kama ipo, na mimi naombeni mnipatie angalau 4 tu.
kitaalamu dawa zipo but sikushauri utumie, coz siyo parmanent na mwenza akigundua ndo mwisho wenu.
 
edit halafu Ka-print hii barua....then umtumie lazima ataingia kingi mwenyewe.....

View attachment 87495
attachment.php
duh hujanielewa kaka, cjifunzi kutongoza nahitaji kumconvince rafiki awe mpenzi bila kunsumbua, nkimtumia hyo c ntaachwa siku hiyohiyo kwa level yake ya elimu, ni pharmacist mwaka wa pili ,
 
Back
Top Bottom