Niliamua kuoa sababu nina miaka 28 na nina kipato cha kutosha tu. Nikapata mchumba, yeye anafanya kazi bank (yeye ni banker). Nikaonyesha niya yangu ya dhati kuwa mimi si mpitaji.
Nipo mbali na kwetu, yeye anafanya kazi mkoani kwetu tena wilayani kwetu. Huyu mchumba ni mvivu saaana! Hajui kazi yoyote ya ndani hasilini! Ni mdhaifu na mchafu sana, nguo hafui, hapigi deki wala kufanya usafi ndani na wala hapiki. Yeye anamfanya kazi wa ndani ambaye ndiye mtumwa wake wa kila kitu.
Mchumba wangu huyo amekuja kunitembelea akiwa na mdogo wangu (yaani dada yangu). Sasa huyo ndiye anafanya kila kitu na kazi zoote! Nipo njia panda. Nifanyeje?