Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naitwa Rajj nipo nipo Chuga, nina umri wa miaka 25. Natafuta binti wa kiarabu umri kati ya miaka 18-24 kwa ajili mya kumuandaa kuwa mke wangu. Nitumie meseji no 0766341701 au email...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Dear JF Ladies, Here is a good read for all of you in relationships. An early Christmas gift from Karucee. If you believe you still have it in you to fight for your relationship, read marriage...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna watu jamani wamezidi.Especially hizi nchi za nje tunazoishi. Utakuta mtu anamsema mwenziwe kisa anafanya kazi ya vizee.kwani si anafanya yeye, wewe imekuhusu nini. Ati mie hata nipewe bure...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini za leo ndugu zangu! Jamani kuna suala hili nimekuwa nikijiuliza bila kupata usahihi au ubaya wake. Kwenye ndoa, eti ni lazima au sio lazima kumuonesha mwenzako kipato chako unachoingiza...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Wadau habari zenu..? Leo naomba nielezee kwa uchache uzoefu na utafiti wangu wa miaka takribani 7+ kuhusiana na baadhi ya WACHUNGAJI NA WAZEE WA MAKANISA kuhusika moja kwa moja na ukuhadi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni story ya kusikitisha sana usiombe yaje yakukute.Nilikuwa nafanya kazi bandarini kipato changu hakikuwa haba.Nilikuwa mnywaji sana wa pombe na mvutaji wa sigara,kwa siku ningeweza kuvuta hata...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Utafiti uliofanywa nchini Kenya umeonesha taifa hilo litashindwa kufikia dira yake ya maendeleo ya mwaka 2030 kutokana na wingi wa watu na sasa linataka kuanzishwa sera ya mwanamke kutozaa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni mfanyabiashara, nimemuoa mke wangu miaka tisa iliyopita kabila lake mkulya.Mke wangu ni mkali sana mpaka kwa wafanyakazi wetu wanaotusaidia kazi kiasi kwamba imebidi muda mwingi niwe nakaa...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
1-Kutumia nguo nzuri au taulo la mwilini kufutia gari. 2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa 3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo...
20 Reactions
173 Replies
18K Views
hii post imejipost yenyewe !!
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Jana nimewakuta wazee wakibishana kuhusu "Kuzaa" Issue ilianza hivi katika wale wazee alipita mtoto wa mmoja wa wale wazee, akawatambulisha wenzie kuwa huyu ni binti yangu nimemzaa mwaka 1999...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
When Sir Mix-A-Lot burst onto the music scene declaring "I like big butts and I cannot lie" - he may not have been simply commending a curvy aesthetic, but nodding to greater intelligence and...
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Mpenzi wangu, Nikupendaye kwa dhati kutoka moyoni mwangu, Nakusalia salamu ya huba iliyoambatana na busu motomoto. Mpenzi wangu nianze kwa kukushukuru sana kwa barua yako iliyojaa huba ambayo...
0 Reactions
12 Replies
11K Views
Wanabodi Wasaalam Aleyikum! Kuna jambo moja nimelifanya leo kwa nia njema tu lakini baada ya kukaa ofisini nimekuwa kama nimejishtukia ..hebu naombeni uzoefu wenu katika hili.... Issue yenyewe...
11 Reactions
163 Replies
12K Views
Natamfuta mwanadada Swabahi Asunga.. Mara ya mwisho tulikuwa Shule b Ya Msingi Mlimani,pale UDSM mwaka 1997. Nilisikia walihamia mkoani Lindi. Kwa yeyote anayemfahamu mwanadada...
1 Reactions
3 Replies
971 Views
Nimejaribu kutafiti katika mazingira tofauti kusikiliza katika vyombo vya habari kusoma magazeti kuwauliza watu na shahidi mbalimbali kutoka kwa marafiki zangu lkn wakati mwingine kuona kwa macho...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Na kwa wewe mwenye mpenzi basi ufunue biblia yako kitabu cha wimbo ulio bora, nawe utapata kuona mashairi mazuri yanayomfaa mpenziwe.......... yanavutia mno... Unadhani ni kiasi gani utamvutia...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Habari ya wakati huu wanajamvi..? Nina imani wote mwaendelea vizuri na shughuli za kila siku.. Kuna swala nimekutana nalo nikaona niwashirikishe wadau mchangie maoni na ushauri kwa...
0 Reactions
99 Replies
9K Views
Habri wanajamvi. Mimi ni kijana aged 25 na miezi kidogo. Nimebahatika kuwa katika mapenzi na msichana mmoja hivi wa age ya 22 kwa sasa na tunapendana sana.Tulibahatika kupata mtoto wa kike ambaye...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom