wanapozungumza"uwe unamjali" wanamaanisha hivi wanawake!!

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,475
Reaction score
21,046
1393504_555636451175830_91333967_n.jpg

hii post imejipost yenyewe !!
 
1393504_555636451175830_91333967_n.jpg

hii post imejipost yenyewe !!

kama ndiyo hivyo, basi wanawake wengi hawatujali kwani ni nadra sana kwa mwanamke kumfanyia hayo yote mume/mpenzi wake. Binafsi siamini katika mapenzi na sijali kama utanipenda au la, najibidiisha sana kutafuta mkwanja tu, ukiwa na mkwanja wanajileta wenyewe kugegedwa bureeee!!
 
hahaaaa nimecheka aisee....we unauliza baby umekula....

wenzako wanatupiamo kwa Mpesa then wanakwambia nenda kale LOL
 
kama ndiyo hivyo, basi wanawake wengi hawatujali kwani ni nadra sana kwa mwanamke kumfanyia hayo yote mume/mpenzi wake. Binafsi siamini katika mapenzi na sijali kama utanipenda au la, najibidiisha sana kutafuta mkwanja tu, ukiwa na mkwanja wanajileta wenyewe kugegedwa bureeee!!
kula gwara man....!
 
[h=5]AIV LEO TOKA KWENE UWANJA WA MAOMBI:

MDADA: E Bwana tuma malaika wako wanisaidie nipate mume mapema, lakini vunja vunja nguvu zote za giza zitakazosababisha nipate mume mfupi, tengua mipango yote ya adui kuniletea mume mfupi....
(Jirani kulikuwa na bwana mfupi sana nae anaomba.)

JAMAA: E Bwana asante kwa kunifanya bilionea asante sana Bwana sasa naomba mke, naomba mwenza wa kutumia nae mali hii uliyonipa..

(mdada baada ya kusikia sala hiyoo nayy akarejea maombi tenaa)

MDADA: Bwana naona umesikia ombi langu, nisamehe kwa kujidai nachagua mume, hata huyu jirani atanifaa tu, asante sana[/h]
 
Unamfanyiaga hivo?yule wa kwenye chitchat?

hizo ni tabia za kademu ka mizinga.
mke wangu Heaven on Earth hana makuu coz anajua changu chake chake changu.hivyo vigezo ulivyo weka havizingatii upendo. tunaviita vishawishi. siku zote ni vya muda mfupi. lengo linapotimia wanaingia mitini. ndo maana kila siku madada wanalalamika kuachwa. nikiwa nahitaji kukuchoma natekeleza yote nikishakuchoma naingia mitini.chezea baba lao weye!. mia
 
Last edited by a moderator:
Waambie hao, il hayo maswali ya umekula mara unafanya nini siyapendi huwa naona uzushi tu!
 
kama ndiyo hivyo, basi wanawake wengi hawatujali kwani ni nadra sana kwa mwanamke kumfanyia hayo yote mume/mpenzi wake. Binafsi siamini katika mapenzi na sijali kama utanipenda au la, najibidiisha sana kutafuta mkwanja tu, ukiwa na mkwanja wanajileta wenyewe kugegedwa bureeee!!
Fanya hivyo uone utakavyopendwa!!
 
[h=5]AIV LEO TOKA KWENE UWANJA WA MAOMBI:

MDADA: E Bwana tuma malaika wako wanisaidie nipate mume mapema, lakini vunja vunja nguvu zote za giza zitakazosababisha nipate mume mfupi, tengua mipango yote ya adui kuniletea mume mfupi....
(Jirani kulikuwa na bwana mfupi sana nae anaomba.)

JAMAA: E Bwana asante kwa kunifanya bilionea asante sana Bwana sasa naomba mke, naomba mwenza wa kutumia nae mali hii uliyonipa..

(mdada baada ya kusikia sala hiyoo nayy akarejea maombi tenaa)

MDADA: Bwana naona umesikia ombi langu, nisamehe kwa kujidai nachagua mume, hata huyu jirani atanifaa tu, asante sana[/h]
Lol... Hiyo sala ni ya mpenda fedha,njaa kali!!
 
hizo ni tabia za kademu ka mizinga.
mke wangu Heaven on Earth hana makuu coz anajua changu chake chake changu.hivyo vigezo ulivyo weka havizingatii upendo. tunaviita vishawishi. siku zote ni vya muda mfupi. lengo linapotimia wanaingia mitini. ndo maana kila siku madada wanalalamika kuachwa. nikiwa nahitaji kukuchoma natekeleza yote nikishakuchoma naingia mitini.chezea baba lao weye!. mia

Fedha mbolea ya mapenzi,anza kutoa M-pesa,uone utakavyo ambiwa baby sorry hujaumia-uki pass flutters?lete nione!!pesa bana!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahhaa..beb umekula cjui umefanya nn yani huwa nachoka mm hata kujib af inakuja hiyo mbona kimya...khaaa em niache mie nimezimia njaa cna ela ya kula..hahaa
 
Mapenzi jaman ni upofu.....!!
 
Mapenzi yalianza toka enzi za mababu tusiogops ila pesa ni mbolea mtake msitake mmeze mteme
 
Back
Top Bottom