Nimegundua hii inatokea kwenye familia nyingi sana. Familia yangu pia ipo, ingawa siyo kwa niliozaliwa nao, ila imetokea kwa mtu ambaye yupo close sana na mimi, yaani ni jukumu langu.
Utakuta...
Wana mmu habari zenu,mie nimefanya karesearch na nimegundua kuwa moja ya sababu tena kubwa inayowafanya wanaume kutoka nje ya ndoa zao ni hii,wanawake wengi huwa wanaonyesha mapenzi sana kwa waume...
Habari ni gani wana jf,yes,yes,yeah,well,mmmh,yes,kuna kitu kinaitwa ulevi na uvutaji sigara,hivi vitu nimevianza nikiwa bado kinda coz,ktk watu ambao Mungu aliwajalia kupata kazi ktk umri mdogo...
mimi ni kijana natamani sana niwe na mpenzi lakini kila ninae mpata anaishia kunichuna nikiwaomba mambo wananipa sababu zisizo na msingi mfano mmoja nilimpata tukaingia mpaka gest jamaa akadai...
wanaume wamekuwa wakizidiana kwenye maujuzi ya kutonzonga, wapo domo zege na wapo wenye maneno akiongea huchomoki! sasa najiuliza hii ni sayansi au sanaa? itafaa zaidi kama wahadhiri wa vyuo...
Men beware!!!
Hii ni baada ya mwanaume kugundua kuwa mwanamke alikuwa amefanya plastic surgery, so ile sura yake haikuwa rahisi,kwani mtoto aliyezaliwa hakuwa ana fanana na baba yake wala mama...
WANACHUO WA KIKE WAJIUZA CHUO CHA UALIMU SUMBAWANGA.
Na mwandishi wetu
Taharuki imetanda katika Jamii ya mji wa Sumbawanga baada ya kuzagaa kwa taarifa za wanachuo wa kike kutoroka chuoni...
Mambo zenu Wadau mlio jukwaani
Nahitaji Marafiki tunaoweza kuchat,kufahamina,nakubadilishana mawazo mbali mbali ya michakato ya maisha
ikiwezekana hata kupeana namba za mawasiliano.
Alie tayari...
Natafuta garlfriend naejiheshim
sifa zake km ifuatavyo
1, hawe anajiheshim sana
2, hawe mpole asiwe mwingi wa mambo.
3, hawe mwelewa
4, hawe na heshima kwa watu
5, hawe na akili...
nimeishi kwa muda mrefu sasa bila kuwa na girlfrnd ... cha kushangaza kila ninapofikiria kutafuta nakutana na mademu wenye kupenda sana chapaa, yan kitendo tu cha kufahamiana tu , kasha anza...
Wadau nipo njia panda naombeni ushauri wenu, nimefanya kosa kubwa na nalijutia
Tafadhali naomba ushauri badala ya kunituhumu
Mwezi nilikuta na demu mmoja tulisoma naye chuo kitambo alikuwa demu...
ulimpenda akakupenda,ulizidisha mapenzi akakuzidishia mapenzi,wakati mapenzi yamekolea kwenye chorus,ghafla bila mategemeo anakutamkia kuwa sasa hakupendi tena,hakutaki tena.
Hiki ndiyo kitu...
Habari za asubuhi wana JF, natumani mu wazima. Naombeni msaada na ushauri wenu katika hili:
Mimi ni msichana wa miaka 26, nina mchumba tuliyedumu miaka 2 sasa kuanzia 2011 tulipomaliza chuo...
HATA SIKULAZIMISHI USOME, IKIBIDI HATA USISOME BE.....
eti mmeachana unalalamika ohoo kanipotezea muda wangu, kupotezewa muda unalalamika? -------- kweli wewe, kuna watu wamepotezewa mpaka...
Wapendwa amani kwenu. Ni msichana imetokea tumependana kwelikweli.
Yeye ameokoka, na ana msimamo kweli. Ananipenda na mimi nampenda. Huwa tunaongea tu kawaida kama wapenzi mambo ya maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.