LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 20,003
- 37,908
Natamfuta mwanadada Swabahi Asunga.. Mara ya mwisho tulikuwa Shule b Ya Msingi Mlimani,pale UDSM mwaka 1997. Nilisikia walihamia mkoani Lindi. Kwa yeyote anayemfahamu mwanadada huyu tafadhali naomba ani pm. Zawadi nono itatolewa kwa atakaye toa taarifa zitakazo nisaidia kukutana na mwanadada huyu.