Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

hamjambo JF. nimeobserve issue ya dini tofauti na mahusiano na kuona some couples ambao wameweza kuwa pamoja na kuishi vema huku wengine wakisambaratika kutokana na pressure ya wazazi/ndugu...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamii wenzangu nafikiri ni wazima wa afya, Mimi ni member mpya ila nilikuwa napenda kusoma sana matukio ya watu nikapenda nami nijiunge nanyi. Nisiwachoshe mimi ni kijana wa...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Naombeni tusaidiane kutafsiri nini maana ya mapenzi,maana kwa upande wangu naona ni ujinga tu yanaishia kuniumiza hakuna unafuu wowote ule zaidi ni kuishia kugombana kufikiriana vibaya kupeana...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
leo ni siku yangu ya kuzaliwa kalou...nimependa kuwashirikisha wanajukwaa wote..happy birthday to me...hah hah hah.. Heaven on Earth...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari zenu wana jukwaa. Nimekuwa msomaji wa jukwaa kwa muda mrefu sasa na kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume kuwa wanawake wamekuwa ombaomba sana. Lakini napenda kusema kuwa kuna...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
mimi ni mwanamke nina miaka 30 NIKO LONELY SANA JAMANI I WISH NIWE NA RAFIKI WA KUINJOY JAMANI.AWE SIRIAS JAMANI ninatafuta rafiki wa kiume sio mpenzi wa mambo yafuatayo 1-jmosi tunaenda mlimani...
10 Reactions
236 Replies
22K Views
Habari/ wanajf, natumai muwazimaa! Naitaji mawazo yenu kunusuru ndoa hii ya kaka yangu iliyodumu Miaka 13,shemeji yangu alifumaniwa wiki iliyoisha na akapewa kichapo na akakimbilia kwa Mama...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Huyu first born wangu nilimpata nikiwa bado nasoma, nilikaa nae kwa muda mfupi tu kisha nikampeleka kwa bibi yake ili niweze kuendelea na masomo. Alhamdulillah nimemaliza masomo yangu nimeamua...
1 Reactions
59 Replies
7K Views
SIKU chache baada ya Mtangazaji wa Runinga ya ITV, Ufoo Saro kuruhusiwa hospitalini alipokuwa amelazwa baada ya kudaiwa kupigwa risasi na mzazi mwenzake, marehemu Anther Mushi, ameibuka na kula...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wanajamvi wasalaam! Rafiki yangu wakuu amezua mpya ya mwaka baada ya mkewe kujifungua mapacha wasiofanana ambapo mmoja ni copy right na babake wakati mwingine si mama wala baba wanaefana sasa...
0 Reactions
37 Replies
11K Views
Jamani msaada wenu tafadhal!nina mpenzi wang kabila lake mtusi(baba mtusi+mama mhangaza),ninampenda sana sana yani tuna miaka kama 3 ktk uhusiano lakini sifikirii kumfuata mdada mwingine.Binti...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
jamani wanaume natafuta mchumba wa kunioa mbona hamnipm?
5 Reactions
53 Replies
8K Views
Wanaume tuwe waangalifu sana tunalea watoto wasiokuwa wetu.Kuna dada mmoja tunafanya naye kazi yeye ni mjamzito alikuwa anadili na jamaa wawili, huyu jamaa wa kwanza ana mke na mke wake yuko mbali...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Naandika nikiwa na ushahidi kabisa.. jamani kwa wajasiliamali wenzangu, wenye kampuni au wanaojihusisha na biashara.. siku hizi bwana msidanganyike sana na wanaojiita wasomi, wame graduate sijui...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, kwa heshima na taadhima naomba msaada wenu wa kinawazo ktk kunisaidia tatizo langu. Mm ni kijana wa miaka 28 na ni mwajiriwa wa taasisi fulani, nimefikiria swala la kuoa lkn...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Miaka minne iliyopita...., rafiki yangu kipenzi alipata msala ambao mpaka leo hii umemuharibia kabisa future ya life lake...! nakumbuka kipindi hicho tulikuwa tunasoma shule moja ya...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Unakuta mda mwingi inabidi umuelekeza na kumsimamia ukimuacha tu afanye peke yake lazima atakosea.Hivi vichwa vyao vikoje? haichagui awe amesoma au hakusoma
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Npo ktk mahusiano na msichana na tuna mpango wa kufanya utambulisho lakin mama ake na binti hanitak kwa sababu kuna kijana alikuwa anampenda na alitaka amuoe binti yake lakin msichana alimkataa...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
WANAWAKE wakiwapenda wanaume hubaki na mateso mioyoni mwao. Hii ni kwa sababu ni vigumu kumtokea mwanaume moja kwa moja kumwaga sera kuwa unataka ‘akung’oe’. Ni kweli kwamba, hata...
5 Reactions
33 Replies
13K Views
....kuwa kuanzia sasa natulia na mpenzi wangu ndipo wale uliowatokea na wakakutolea nje wanajileta wenyewe? Aaagh!
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom