Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

^^ Mwanasaikolojia John Powel katika kitabu chake cha "Why I am afraid to tell you Who I am" anaeleza hatua tano ambazo wapenzi au wanandoa huzirudia rudia na hatari zake! Angalia mwenyewe kisha...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Kwa Wadada: Kwa dada zangu wote wa kizazi hiki chetu: Sababu zinazoweza kukufanya ukose mchumba ukabaki singo muda mrefu au maisha yote huku unalialia: 1. Kutokuwa na hofu ya Mungu. Binti huendi...
5 Reactions
26 Replies
5K Views
MMU members nimekuwa nikirikifikira sana jambo hili na mwishowe nikafikia tamati kuwa thamani ya uzuri wako wewe mwanaume au mwanamke nikumpata anayekupenda kwa dhati na kuuthamini uzuri wako...
5 Reactions
58 Replies
6K Views
Nimeikuta hii kwenye pm yangu. Huyu anaomba ushauri. Niliolewa 2005 na kubahatika kupata watoto 2. Ndoa yangu ilikuwa tamu sana, tatizo mume wangu alipata ajali kazini, yeye fundi kwa...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Wadau, Kwa kuanza tu niseme nimefanya mapenzi yasiyo salama na wanawake wengi sana na mnamo mwaka 2006 nilikutana na mmoja wa ma-ex wangu ambaye tulikuwa hatujaonana kwa kadri ya mwaka mmoja...
9 Reactions
87 Replies
13K Views
Ni heri kuwa na mtu anaye-bring the good and bad in you or the best and worst? Ukilinganisha na bad, worst ni chungu kama shubiri! Best, ukilinganisha na good, ni tamu kama asali! Heri uchungu na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Bila shaka mko poa.... huku chuoni kuna program inaendelea ya kugawa kondom buree kabisa..... hii mambo iko poa but tatizo ni kwamba wagawaji wanaonekana hawako siriaz kabisa... wanatoa kondomu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Have you ever been kissed….. Have you ever been Kissed…. Mpaka you deeply feel and say to your self that… “If only I just could have this KISS Forever…..” Or Do you Kiss Mpaka the one you KISS...
33 Reactions
615 Replies
37K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka ishirini na sita sasa nilikuwa na rafiki yangu wa kike yaani mchumba tuna mwaka na nusu lkn sijawahi kukutana naye kimwili maana nilitaka awe mchumbawangu...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Umealikwa jioni na Mvulana(New Lover) Kwani ni lazima mje wanne na mbaya zaidi wote wanakunywa Savana na mmoja mwenye dozi yeye anakunywa Red Bull kwani lazima unywe Savana au Red Bull wakati kwa...
11 Reactions
91 Replies
12K Views
Katika dunia hii iliyojaa watu wengi na vitu vingi kama hivi , nimeamini na nitaendelea kuamini kwamba wewe ndio mkweli kwa sababu tumekuwa wote kwa kipindi hichi kirufu siwezi kusema kwa muda...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Nifanye nini Ili niondokane na mawazo ya wanawake,plz nisaidieni
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Bado sijapata majibu kuhusu namna watu wanavyoambukizwa VVU wakati wanajua kuwa kuna ugonjwa wa ukimwi na kwamba asilimia kubwa ya maambukizi yake hupitia kwa njia ya zinaa(sex), na unakuta mtu...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Si vibaya kuomba ama kupewa ushauri na mtu humu jukwani, ninachotaka kusema ni kuhusu aina ya ushauri unaoupata! humu jukwaani kuna watu ambao ambao wanaweza kukupa ushauri bila ya wawe kumuelewa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
''Nampenda sana mke wangu, ni miezi sita tu toka tufunge ndoa!!! sitaki kumuudhi wala kumkera kwa lolote, namtimizia kila kitu ili mradi tu asipate vishawishi vya kutoka nje ya ndoa! toka tuanze...
1 Reactions
91 Replies
9K Views
nawasalimu wana JF kuna kitu nimekisikia ni ivi eti kuna madhara gani wakati mwanamke anapokuwa mjamzito na mwanamme kutoka nje ya ndoa kwa kipindi icho? niayo tu.
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Stolen: Kwa kawaida Wanawake tunadondoka kimapenzi haraka zaidi kuliko wenzetu. Huenda Mwanaume akawa amevutiwa na Muonekano wako, Uzuri, Uwezo kiakili, Sauti, Utembeavyo n.k. Mkaanza au...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimekuwa kwenye urafiki na nesi flani kwa muda mrefu,nikiwa na kawaida ya kumtembela nyumbani kwake tunapiga story,mwisho ikataokea uhusiano flani hivi usio rasmi...
10 Reactions
128 Replies
15K Views
Swali kwa dada zetu... ni nini kinachomvutia binti kuwa na uhusiano na baba mtu mzima old enuf to be baba mzazi..lets discuss more sababu besides the obvious reason ya MKWANJA.. madada zetu...
1 Reactions
251 Replies
63K Views
Nilikua nasikilizaa aya maneno kwambali watu walikua waki jadiliana ikabidi nicheke ?tu eti unavyo angaika kumfukizia mkee wamtu au wew mume wa mtuu una toka ndoani kwako nakwenda kufanya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom