Shetani kukusukuma kufanyaa maovu ngono na mengineyo

Justin Dimee

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,145
Reaction score
250
Nilikua nasikilizaa aya maneno kwambali watu walikua waki jadiliana ikabidi nicheke ?tu
eti unavyo angaika kumfukizia mkee wamtu au wew mume wa mtuu una toka ndoani kwako nakwenda kufanya ulijualo sasa inapo fika hatua mpaka unalipa chumba gesti nini na kilakitu uyo nishetani tu anaye kusukuma kufanya ivo? Ilee mmefika kitandani tu nakuzima taa mmelala shetanii ana wa achaa kama mlivoo ndo palee mnapo aanza kujibu nishetani kanipitia baada ya kutokea litokealo mmh shetani kweli anazo nguvu kwani apa sasa kila mtuu itakuwa nishetani anafanya awe ivoo?
 
hahahahaa..au wanaosema ''shetani kaniptia'' kwani alikuwa anatoka wapi anaelekea wapi? mmh! na huyo anayesema amesukumwa na shetani.. lol! picha ninayoipata......!
 
Nilikua nasikilizaa aya maneno kwambali watu walikua waki jadiliana ikabidi nicheke ?tu
eti unavyo angaika kumfukizia mkee wamtu au wew mume wa mtuu una toka ndoani kwako nakwenda kufanya ulijualo sasa inapo fika hatua mpaka unalipa chumba gesti nini na kilakitu uyo nishetani tu anaye kusukuma kufanya ivo? Ilee mmefika kitandani tu nakuzima taa mmelala shetanii ana wa achaa kama mlivoo ndo palee mnapo aanza kujibu nishetani kanipitia baada ya kutokea litokealo mmh shetani kweli anazo nguvu kwani apa sasa kila mtuu itakuwa nishetani anafanya awe ivoo?

Hizo ni tamaa tu huwazonga na kuwaponza na wakishaharibu na kurudi kwenye hali ya kawaida, hujifariji kuwa ni shetani ndo kawasababishia. Ni excuse mbaya ambayo mi siku zote huwa siikubali.
 
Who Is Shetan Ni Ubwege Tu Wa Mtuhumiwa Kwenye Ruala Kama Hila Mhusika Wa Kitendo Hiki Ndiye Shetan Mwenyewe Hakuna Kumzingizia Shetan Kwa Tamaa Za Watu.
 
Kwa nin mtu aache aptiwe na shetan?Ukimkabdh Mungu maisha yako kamwe shetan wala tamaa za kjnga haziwez kukuptia,only Mungu atakuptia kla cku.
 
Eti mkishaa ingia tu ndani ana kuchaa mwenye shetani gani sasa uyo watu bwana ndoo maana huwaga na chekagaa nikisikia izi alinachaa?
 
Umenikumbusha stori moja eti mama mmoja mwanae alipata mimba,so akawa anawaomba wazazi wake msamaha kwamba wamsamehe ni shetani tu alimpitia,mama akasema,''Pumbafu ,Huyo shetani akija tena mwambie atumie condom.''
 
jamani shetani kakusukuma kuandika kitu kisichoeleweka .....
 
Nilikua nasikilizaa aya maneno kwambali watu walikua waki jadiliana ikabidi nicheke ?tu
eti unavyo angaika kumfukizia mkee wamtu au wew mume wa mtuu una toka ndoani kwako nakwenda kufanya ulijualo sasa inapo fika hatua mpaka unalipa chumba gesti nini na kilakitu uyo nishetani tu anaye kusukuma kufanya ivo? Ilee mmefika kitandani tu nakuzima taa mmelala shetanii ana wa achaa kama mlivoo ndo palee mnapo aanza kujibu nishetani kanipitia baada ya kutokea litokealo mmh shetani kweli anazo nguvu kwani apa sasa kila mtuu itakuwa nishetani anafanya awe ivoo?

involvement ya shetani inakuja automatically kwani technically wandamu wote tumekufa kwa kupoteza ule utukufu wa Mungu na nguvu ya kushinda dhambi na hii ilitokana na kuvunja amri ya Mungu kutoka kwa ancestors wetu ambapo sasa tunashinda dhambi kwa ku-strugle kinyume na ilivyokuwa awali kutokana na udhaifu wa mwili ambapo kiini ni shetani ingawa ktk circumstances zingine anaonekana innocent ila si kweli alishapandikiza upungufu ndani yetu tangu mwanzo
 
Back
Top Bottom