Jamani yamenikuta nifanyeje wanajamii ushauri please.

Jamani yamenikuta nifanyeje wanajamii ushauri please.

Joined
Jan 7, 2012
Posts
61
Reaction score
7
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka ishirini na sita sasa nilikuwa na rafiki yangu wa kike yaani mchumba tuna mwaka na nusu lkn sijawahi kukutana naye kimwili maana nilitaka awe mchumbawangu hivyo nilihitaji kwanza tuchunguzane tabia lakini cha kushangaza demu kumbe ana kajamaa kingine siku moja alikuwa naye nikapiga simu naye akampa raiki yake aongee nami anidanganye hayupo , nikaja kupata fununu kuwa ana kajamaa kingine nikaomba namba yake nikaipata tukaongea jamaa akakubali kwamba ni kweli, basi mimi nilichofanya ni kumpigakibuti maana ni mwizi au mnaonaje wanajamvi
 
Mbona stori hii hakuna inapochekesha au kusikitisha!

Ukitaka demu asiydm na mtu miaka hii labda umchonge wa kimakonde.
 
Hata kama ukioa, hayo kuna kiasi kikubwa cha kuyakuta, kwa leo hii wanawake wamepoteza mwelekeo..,katika kipindi cha uchumba, wasichana wengi huwa na zaidi ya mmoja..hapo ndipo hucheza bingo yake, mmoja kati ya hao yawezekana asipewe nafasi ya kukutana kimwili hata siku moja kwa kisingizio cha kutunza ubikira au heshima ya ndoa mtakayokuwa nayo..


Hapa ndipo pabaya, utahudumia, atakuriwaza, utakupa maneno mrua lakini anajua kuwa hana la kufanya na wewe maana yupo anayemtegemea, labda tu kama akikosa huko ndio atarudisha mategemeo kwako.


Usiamini sana hawa watu, hapa sina ushauri...waweza kumvumilia maana unampenda, ila kama una ndoto ya kumpata binti asiye na kidume si rahisi, maana wanapata wachumba wakiwa form 2, imagine....
 
Ukimegewa demu wako nawe tafuta mnyonge ummegee/haipunguzi maumivu ila inarudisha hadhi ya kiume_mwanafa
 
Ndio maana huwa tunasema ukiwa na demu hakikisha unamkamua, wewe unalinda shamba wenzako wanakula. Aisee me ningekuwa wewe ningeumia sana. You know what, mwanamke ukimlala hata wakichukua inauma but sio kana hukumla. Next time make sure unatia tatoo on that P
 
Mimi ni kijana
mwenye umri wa miaka ishirini na sita sasa nilikuwa na rafiki yangu wa
kike yaani mchumba tuna mwaka na nusu lkn sijawahi kukutana naye kimwili
maana nilitaka awe mchumbawangu hivyo nilihitaji kwanza tuchunguzane
tabia lakini cha kushangaza demu kumbe ana kajamaa kingine siku moja
alikuwa naye nikapiga simu naye akampa raiki yake aongee nami
anidanganye hayupo , nikaja kupata fununu kuwa ana kajamaa kingine
nikaomba namba yake nikaipata tukaongea jamaa akakubali kwamba ni kweli,
basi mimi nilichofanya ni kumpigakibuti maana ni mwizi au mnaonaje
wanajamvi
Sasa unataka sie tuonaje? kha, nachokaga mie!
 
Wewe mzima kweli?
Mwaka mzima mnapimana eti huzami bichi!
...
Miaka yako 29 unaact kama 19 yrs!
...
Mimi ukinikubalia napima tabia lakini si sababu nisipime papuchi!
...
Hihihihihiiii!
Dah! Sasa vipi ulikua unatoa matumizi au?
 
Wakat ww unasoma tabia wenzako wanagonga.......endelea na tabia yako yakusoma tabia!!!
 
Usimpige kibuti kwanza,Mwiingize King ummege na wewe hata mara Moja ndio umuache,nazani ndio busara zaidi
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka ishirini na sita sasa nilikuwa na rafiki yangu wa kike yaani mchumba tuna mwaka na nusu lkn sijawahi kukutana naye kimwili maana nilitaka awe mchumbawangu hivyo nilihitaji kwanza tuchunguzane tabia lakini cha kushangaza demu kumbe ana kajamaa kingine siku moja alikuwa naye nikapiga simu naye akampa raiki yake aongee nami anidanganye hayupo , nikaja kupata fununu kuwa ana kajamaa kingine nikaomba namba yake nikaipata tukaongea jamaa akakubali kwamba ni kweli, basi mimi nilichofanya ni kumpigakibuti maana ni mwizi au mnaonaje wanajamvi

Fait accompli!
 
Wee pedeshee unamita mwenzio kajamaa wakati amepindua serikali
 
Wewe mzima kweli?
Mwaka mzima mnapimana eti huzami bichi!
...
Miaka yako 29 unaact kama 19 yrs!
...
Mimi ukinikubalia napima tabia lakini si sababu nisipime papuchi!
...
Hihihihihiiii!
Dah! Sasa vipi ulikua unatoa matumizi au?

teh si ndo anajiita pedeshee,kakutana na watoto wa mujini wakamuweka sawa
 
wanawake wa siku hizi wanataka mtalimbo kaka...wee ukiwa nae mgegede mpaka mwenyewe aombe pooo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom