Good and Bad or Best and Worst ?

Good and Bad or Best and Worst ?

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,609
Reaction score
1,738
Ni heri kuwa na mtu anaye-bring the good and bad in you or the best and worst? Ukilinganisha na bad, worst ni chungu kama shubiri! Best, ukilinganisha na good, ni tamu kama asali! Heri uchungu na utamu uliokolea kama chumvi na sukari au wa kawaida tu?
 
Mmh kaka huko ulikoamkia sasa! Well, ni vizuri kuwa na kiasi. Mtu ambae ana~bring out the worst in me nitakaa nae mbali sana. Mie mwenyewe najiogopa manake i have not yet seen my worst-so-help-me-God!
 
kwa hiyo unapenda u-ordinary tu ambao hupelekea kuchokana na kuboana hivyo kupelekea watu kutamani ama kutafuta extraordinary?
 
Id say i bring outvthe best in me. The other half can bring out the bad in me. The worst might be wayy too much bwana. Japo kwa mtizamo wangu hata the best inachokwaga tu. Mwanadamu hana formulae aisee, ndo maana wakasema ganda la muwa la jana chungu kaona kivuno.

you can't have your cake and eat it too - best goes with worst, good with bad
 
kwa hiyo unapenda u-ordinary tu ambao hupelekea kuchokana na kuboana hivyo kupelekea watu kutamani ama kutafuta extraordinary?
Motion: you are influencing her answer!!!
binafsi napenda risk. I like (and got) the one bringing the best out of me. Of course sometimes he digs up terrible things too, but it is part of the package. Ule uoga wa kuangukia chungu ndio unayoifanya tamu kua tamu zaidi.
Russian Roulette is not the same without a gun
And baby when it's love if it's not rough it isn't fun

- Lady Gaga, Poker Face
 
Hahahaha, reading this today nimejikuta shaking my head tu hapa.
 
Back
Top Bottom