i am a moderately black six feet man, aged 30-35, and moderately black colored, i am a little thin . I am a tanzania of certain tribe(only the interested will get to know),i am a committed...
Faida ya kuoana ni pamoja na kuunganisha familia za pande mbili za upande wa mwanaume na mwanamke; Hii ina maana kwamba mnaongeza wigo wa kusaidiana katika kazi na maisha kwa ujumla. aidha, ni...
JF na hasa MMU Hamyambo?Msikie mtoto huyu wa kiume wa miaka mitatu tu
Mtoto akimweleza mama yake;
Baada ya kuingia chumbani kwa mamaye
Na kukumkuta akiwa uchi wa mnyama.
Mtoto alimwambia mama...
Habari zenyu binafsi,
Mimi na mchumba wangu tumedumu katika mahusiano kwa takribani miaka miwili sasa, ndani ya huo muda kumekuwa na mitafaruku ya hapa na pale ila tumesolve na tunasonga...
Nimechoka, na sasa niwakati muafaka wa mimi kuwa na familia, ninatafuta mchumba ambaye atakuwa mume wangu wa maisha nae anawe na sifa zifuatazo:-
1. Awe anajiheshimu
2. Awe anatumia dume
3. Awe...
Nashindwa kujua ni sababu zipi zinawafanya wanawake wengi kuwakubali wanaume wanaowatongoza kwenye simu bila kuwaona wala kuwajua??
Hebu wanajamvi naomba mnijuze...
Ilinitokea mara ya kwanza sikujali, ikaja nitokea mara ya pili nikapuuza, imenitokea mara ya tatu imebidi nisituke. Kwanini mimi na kwa nini suala hili linajirudia kwangu. Nilipopewa miadi ya...
Sijui kwa nini hii nyimbo huwa inapendwa sana
watu wengi mno wameirudia ...kuanzia Michael Jackson,Boyz 2 Men
na wengineo...
iliimbwa na The Beetles first...enjoy....wana MMU na labda...
Haya sasa; kuna habari hapa mjini dodoma yakwamba yule nabii anayefanya shughuli zake za kinabii maeneo ya jamatini karibu na stendi ya daladala, kamtia mimba mwanafunzi. Nikipata mda mzuri...
Enzi za nyuma kabla ya Smartphones ilikuwa mnatoka Posta kuelekea Kimara mwanaume unaendesha wife au girlfriend amekaa pembeni mnapiga story, mnacheka, mnasimuliana udaku na vituko vya maofisini...
Asalaaam wana jf.kuna kitu kimoja huwa kinanishangaza sana,mimi naishi dar city,nimeajiriwa serikalini,na huku dar,ninaishi mimi kama mimi,sina ndugu jijini hapa zaidi ya jamaa na marafiki,na...
Hi! Jf, swali kwa wanajua tu.leo nmempeleka mchumba wangu hospital amepima amekutwa ana mimba ya mwezi mmoja,, bt ameingia period leo, je mtu anaweza kuingia period while yuko mimba ya mwezi...
wanawake wengi wa saivi pesa kwanza mapenzi baadae....sasa kuna haja gani ya kuwa na mwanamke huyohuyo kila siku wakati unatumia pesa kuwa nae?...y not changing them kama nguo?...me naona kuna...
Habari zenu wana MMU.?
Nakuja mbele yenu kuleta ombi toka kwa rafiki zangu 10 toka Russia,ambao watakuja mwanzoni mwa mwaka ujao 2014 kwa ziara ya mwezi mmoja nchini Tanzania/Zanzibar.
Wameniomba...
NAONGEA NA WEWE;
Uwe wa kike au wakiume........................
Mpaka lini tutaendelea kusema au kusikia maneno ambayo hayana ukweli hapa kidogo..............
Mim leo ntawaambia moja kati ya...
natafuta mwanamke wa kuoa kwa ndoa nikipendana nae nikiamini kuwa Mungu atanisaidia Sifa zake: awe mweupe, miaka 18 hadi 23, mwenye elimu kuanzia O-level, au aliyeajiriwa, mkatoliki...
Jaman dunia inaelekea mwisho,mwanamke asiyefahamika kajifungua mapacha wa kiume na kike na kisha kuwatupa hapa kituoni kimara baruti kwa bahat mbaya tumeshuhudia tayari vishakufa.polisi bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.