Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwaka 2022 ni mwaka ambalo nilipoteza kazi biashara na uchumi kuwa chini sana. Tulikubaliana na wife ku-join moja ya kanisa kubwa lene matawi kote nchini. Nilianza kuona dalili mbaya kwa mchungaji...
19 Reactions
20 Replies
2K Views
Jana ndiyo nimeamini ni heri utupe nyavu halafu ukataliwe kuliko kuishi na majuto baada ya kutotupa nyavu. Jana nilikuwa nasafiri kutoka mkoa X kwenda Z kwenye basi nilikaa na binti mmoja alikuwa...
12 Reactions
47 Replies
3K Views
Kwa upande wangu sijawahi kutoka na mke wa mtu isipokuwa yuko mmoja ambaye alinisumbua sana, yaani ni yeye ndiyo alikuwa ananitongoza lakini nimekuwa nikitumia siasa fulani hivi kumkatalia...
11 Reactions
111 Replies
17K Views
Una mke na mtoto, siku tatu mfululizo rafiki yako wa Jf wa kike ambaye hamna mahusiano ya kimapenzi anakupigia simu saa 6 usiku, unajaribu kumuonya anasema she feels you, je utamfanya nini? Somo...
3 Reactions
116 Replies
7K Views
Kwa miaka ya hivi karibuni matumizi ya neno dear yameongezeka sana, zamani ukimuita mtu dear maana yake kuna mapenzi kati yenu Siku hizi dear linatumika kwa mtu yoyote yule hasa sisi wadada...
24 Reactions
219 Replies
6K Views
Jumamosi ahsubuhi tulipishana kauli na wife, ikawa ni ugomvi mkubwa sana kiasi kwamba nilipotoka kwenda kazini akaamua achukue watoto na kuondoka nao, Ameondoka na watoto wetu wawili kitu...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Mtu anayekupenda hawezi kunyonya uchi, hawezi kukubali kunyonywa uchi, Hawezi kukuingilia kinyume na maumbile, Hawezi kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile, Hawezi fanya kama anakomoa...
6 Reactions
44 Replies
1K Views
Nimegundua sababu ya wanandoa kutokuachana hata kama Wana ugomvi ndani,....ni mazoea. Ule muda wa amani kidogo tu,mkacheka pamoja na kujadili maendeleo ya familia pamoja....huo muda ni kumbukumbu...
13 Reactions
44 Replies
1K Views
Hii inakera sana na inanichukiza natamani niache kuingia social networks au kusikiliza main stream media au kuangalia main stream media kwa huu ujinga ambao unatrend yaani all the time and all the...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Rules of the game; 1. Never mention the exact number of men you slept with if that is necessary for you to provide the number, try to divide it by 10.:p 2. Never display your problems on the...
20 Reactions
125 Replies
9K Views
Yaani inakuwaje unatembea na mke wa mtu mpaka unazaa nae. Hili ni jambo hatari sana katika jamii yetu.
11 Reactions
37 Replies
2K Views
1. Wanaume wajeuri (wasio na kibri) hawa wanawake huwapenda sana hapa mjini. 2. Wanaume wapambanaji (lakini hawajapata) hawa wanapendwa sana na Ke zinazo jielewa na huishi na kupendwa kwa hope...
19 Reactions
57 Replies
6K Views
Kweli Hawa viumbe wa kuishi nao kwa akili. Katika kupiga story na mabinti kama watatu hvi kuhusu mambo ya relationship kila mmoja akasema anatamani kuwa ktk mahusiano na mwanaume mweusi japokuwa...
32 Reactions
205 Replies
11K Views
Kuna wanaume wenye tabia kama ya huyu wa kwangu? Siku nilipomfumania akipiga nyeto alijitetea kuwa alizidiwa na kujikuta akifanya hivyo. Nilimtaka aache mara moja hiyo tabia na ikiwa hawezi basi...
15 Reactions
147 Replies
8K Views
Kimtazamo unaweza kudhani ni kweli wanaume hatupendi Malaya! Lakini kiuhalisia sivyo kabisa! Leo nawasanua muelewe somo hili mjifunze! Asilia (Nature) haitaweza kubadilika kamwe! Mwanaume kaumbiwa...
29 Reactions
257 Replies
37K Views
sehemu ninayoishi kuna jirani ambazo ni familia 3. Kati ya hizo familia nimetokea kuzoeana zaidi na famikia 1 ambayo, ina mke, mume, mtoto wa kiume miaka mitatu na kuna wa kike ambaye anasoma...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu,kwa kautafiti nilikokafanya,nimegundua kwamba wadada wengi warembo hawapendi kabisa kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume ambao ni walimu!hvi ni kwa nini?
1 Reactions
123 Replies
18K Views
Hivi kwa nini mwanaume akiwa play boy kinadada mnampenda sana? Na akitongoza huwa hamruki? Utakuta mwanaume mstaarabu lakini wanawake wanamkimbia wakati ndo ingebidi wamkimbilie yeye. Kwanini...
18 Reactions
223 Replies
32K Views
Kuna jamaa mmoja huwa naishi nae yaani asione sketi imepita yeye ni halali yake, ni mtu mwenye wivu sana coz ameshanichonganisha na mpenzi wangu ili yeye ampate, anapenda hadi shemeji zake sijui...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Nina rafiki yangu mmoja ambae tumesaidiana mambo mengi hasa kielimu takribani miaka 6, hasa hasa amenisaidia ishu za financial (loan) coz kwao wapo vizuri kidgo, sasa ishu inakuja wapi huyu jamaa...
3 Reactions
61 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…