Habar wana JF.! Kna msichana ambaye tunapendana sana na tushahaidiana kuoana.. kipindi nko nae tulikua tunapendana sana lakin badae yy alienda mwanza kwa wazaz wake sasa yapata miez tisa...
Najua kua ni maumbile lakini inachukiza kuona janaume linakua na wowowo kizembe kizembe wakati ukikomaa na zoezi zigo linapotea kabisaa,au mnapenda kushindana na madada zetu? samahani kama nimewaboa.
TAKRIBANI wiki tatu nilikuwa nafuatilia mkasa wa dada Easter Deo. Hakika mkasa huo ulinigusa sana nami nikashawishika kusimulia yaliyonikuta katika maisha yangu.
Naamini kuwa kuna baadhi ya watu...
Hbr za leo ndg zangu wana JF!
Nilikuwa na mpenzi ambaye tulikuwa ktk uhusiano kwa takribani miaka 5 hivi. Nilkuwa tayari nshakuwa na maamuzi ya kumfanya kuwa mke wangu kwa kufuata taratibu zote...
Nimekua na uhusiano na mdada mmoja kama miezi sita hivi, lakini tatizo lake ni kuwa hataki kabisa niwe na contacts za mashost zake.Sometime nikimpigia anasema niwasalimie ,yaani akiwa na rafiki...
Kuna Wanaume mnaachika sio kwa sababu hamna hela,au mna tabia mbaya,ila kwa sababu mkoo too serious, not romantic at all na ratiba zenu sio za kimapenzi hata kidogo.
Muda wote mnawaza...
MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Mahango kata ya Madibila wilayani Mbarali mkoani Mbeya aliyefahamika kwa jina la Jitihada Mamga(20) ameuawa kwa kuchomwa kisu na mumewe aliyefahamika kwa jina Gervas...
Hiki nikipindi cha mavuno!tumtolee mungu dhabihu za kweli zitako mpendeza machoni pake::;tuwe kama HABILI nasio kama KAINI,((( MWANZO 4:3-7 ))) NA ((( WAEBRANIA 11:4 ))) Neno la Mungu liwe taa ya...
Nilitakiwa kingia kibaruani saa 18:00, na sikuhiyo pia nilikuwa ninamiadi ya kukutana na mdada m-moja niliekuwa nimemtingoza kwa muda wa kama miezi 3 mfululizo pasipo na mafanikio.
Siku mbili...
Habari wana MMU,
Nimesikia na kushuhudia mengi na kupokea ushauri juu ya kuyumba kwa ndoa yangu lakini napenda kukiri kua wengi wamekua wakinikatisha tama na kunitaka nijiengue .hivyo naombeni...
Nimekulia malezi ya Dada yangu, Mama yetu alituzaa watoto 4, kaka zangu 2, dada yangu na mimi, mimi ni mtoto wa mwisho kwa wazazi wangu, Baba yetu baada ya kuamua kuoa mke mwingine mama alitulea...
Kuna ----- mmoja alitoroka kazini wakati bosi wake hayupo ofisini,alipofika kwake kamkuta bosi akiwa na mke wake (huyo -----),----- alirudi mbio ofisin huku akisema namshukuru mungu maana bosi...
cha usiku nala mie!!!!
habari zenu wana mmu.
swala ambalo kwangu limenipa wazo la kuwazia ni kuhusu hii tabia yetu vijana kama inavyoelezwa na physicians,
" shake well before use ". kwanini...
Npo kwenye basi naingia jijini dar. Pembeni yangu kuna jamaa anaongea na demu wake hapa. Anamuwakia sana na kasema akirudi tu nyumbani huyo mke aondoke lasivyo anamuua. Mke anabisha anasema...
Nimegundua kwamba mwanamke mwenye mafanikio na mwenye kupewa heshima kubwa kutokana na mafanikio yeke, hawa olewi katika muda muafaka, au hawa olewi kabisa. Kutokana na maelezo yao wanasema...
Wivu siku zote hauzuiliki,mimi naamini ukishakuwa kwenye mahusiano tu, naweza kusema wivu ni chumvi kwenye relationship, apa naulizia tu kama ni kawaida mtu kumuonea wivu mke/mme wa mtu,je ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.