Mpenzi wangu hataki nichukue namba za simu za rafiki zake

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
623
Nimekua na uhusiano na mdada mmoja kama miezi sita hivi, lakini tatizo lake ni kuwa hataki kabisa niwe na contacts za mashost zake.Sometime nikimpigia anasema niwasalimie ,yaani akiwa na rafiki yake nikiongea nae lazima anipe niongee naye.Ila nikisema nipe namba yake anakua mkali sana na anakasirika , sasa sijui anafikiri nini? simuelewi hata kidogo
 
Unahitaji hizo namba kwa ajili ya nn? Zina umuhimu gani kwako? Ni nini ulazima wake?
 
Nimekua na uhusiano na mdada mmoja kama miezi sita hivi, lakini tatizo lake ni kuwa hataki kabisa niwe na contacts za mashost zake.Sometime nikimpigia anasema niwasalimie ,yaani akiwa na rafiki yake nikiongea nae lazima anipe niongee naye.Ila nikisema nipe namba yake anakua mkali sana na anakasirika , sasa sijui anafikiri nini? simuelewi hata kidogo

Kha!Sasa na ww unataka namba za marafiki zake za nini? Hata mimi ningekataa!
 
Nimekua na uhusiano na mdada mmoja kama miezi sita hivi, lakini tatizo lake ni kuwa hataki kabisa niwe na contacts za mashost zake.Sometime nikimpigia anasema niwasalimie ,yaani akiwa na rafiki yake nikiongea nae lazima anipe niongee naye.Ila nikisema nipe namba yake anakua mkali sana na anakasirika , sasa sijui anafikiri nini? simuelewi hata kidogo

Wewe unataka namba zao za nini?
 
Namba za nini wewe????? abilia anachunga mzigo wake...
 
Hujawajua madem wewe, tena mwambie na yeye asiwape namba yako.

Naona unataka kuvunja huo uhusiano wenu kwa kuchukua shemeji
 
Nimekua na uhusiano na mdada mmoja kama miezi sita hivi, lakini tatizo lake ni kuwa hataki kabisa niwe na contacts za mashost zake.Sometime nikimpigia anasema niwasalimie ,yaani akiwa na rafiki yake nikiongea nae lazima anipe niongee naye.Ila nikisema nipe namba yake anakua mkali sana na anakasirika , sasa sijui anafikiri nini? simuelewi hata kidogo

Unasoma darasa la ngapi vile?!!!!!
 
Tena usiendelee kuzitaka,ishia hapohapo. Baadhi yenu hamna dogo
 
Nimekua na uhusiano na mdada mmoja kama miezi sita hivi, lakini tatizo lake ni kuwa hataki kabisa niwe na contacts za mashost zake.Sometime nikimpigia anasema niwasalimie ,yaani akiwa na rafiki yake nikiongea nae lazima anipe niongee naye.Ila nikisema nipe namba yake anakua mkali sana na anakasirika , sasa sijui anafikiri nini? simuelewi hata kidogo
w
nashangaaa watu awaja kwambia kuwa unaumwa.
Hivi hizo namba mbona zina kuuma sana? hivi hizo namba ni muhimu kiasi hiki hadi una lia lia humu?
 
weeee!!! Mashaxizo dhubutu yake...kama skuhyohyo na mapenz hayajafa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom