Wanafunzi walio wengi hapa vyuo vya dar,wameishiwa pocket money,nawaomba wazazi na walezi wanaowasomesha hawa wana wao,wawatumie pocket money kwani maisha yao yako hatarini,wanagawa mbunye kama...
Wanajamvi
Umofia kwenu.
Mie hakuna jambo ninalopinga kama kuitwa na mpenzi baby au hata kusikia rafiki yangu mpenz wake anamwita baby au ndugu yangu.
Watu wanaokubali kuitwa baby na wapenzi...
Jesma makasi alikuwa anasoma mbinga day tulikutana kwenye umiseta mimi nikiwa ruhuwiko secondary 1998 na 1999.
Gervas komba tulikutana futureworld njombe 2001 yeye akisoma motor vehcol mi...
Hey guys... Warrraap!
Katika stories za love relationships and sexlife za hapa na pale,...
Swali likaja...
When making Love... What Goes Through Your Head While Giving/getting a Blowjob...
Ni miez 6 imepita tokea nilipoachwa na mpenzi wangu.nimehangaika sana kutafuta mwingine mimeambulia maumivu tu.nimetumia na hata hela zaid laki 2 lkn hamna kitu.nami nashindwa kukaa hivi najisikia...
Ndg zangu naamin hata Kahama wapo wana JF .Kama upo ntakuwa kahama kesho nikitokea mkoa jiran ntapumzika hapo kabla ya kurudi Dar er Salaam-
-----Asanteni----
Wanabodi, leo nasheherekea miaka 13 ya ndoa yangu. Ndani ya kipindi hiki kuna mazuri na mabaya niliyokutana nayo.
Nimekuwa nikijuliza maswali kwa nini watu wanaoana? kwa nini wengine hawaoani? ni...
habari
wakuu, natafuta mwanamke ambaye napenda sana tuishi pamoja, anionyeshe
upendo wa dhati hasa kipindi hiki niko jobless. sifa zake awe
ameajiriwa, mfanyakazi au hata jobless kama mimi...
THE 10 COMMANDMENTS OF LOVE
Love is not just about finding the right person, but creating the right relationship. It is not about how much love you have in the beginning, but how much love you...
Habar zenu wanajukwaa,na2mai mu wazima mimi pia mzima,kuna jambo limejtokeza apa mtaani kwetu sijui uko kwenu kama nako hali iko kama hii ya uku kwetu,mtaan kwetu hapa bhana kuna jambo nimejaribu...
Kama wanaume tungeacha ulevi na uzinzi, Maana yake starehe upande wa maisha yetu yangekuwa bora zaidi sana. Kila mwanaume angekuwa na uwezo wa kuhendesha familia yake vizuri! Kwa mfano wale ambao...
Habari ya mjini ni kwamba wanawake waliondani ya ndoa tena watumishi walioajiriwa!!! wana staili mpya sasa hivi, Mwanamke anakuwa anamiliki simu ambayo mume wake haijui, Na hiyo simu anakuwa...
Nanukuu; "Nilimshika mkono na kuondoka naye hadi nyumbani kwangu na njiani hakuna aliyemuuliza mwenzake wala kumwambia tunakwenda wapi na kufanya nini, kimya kimya hadi nyumbani na hadi leo ni mke...
Wana jamvi habari za mchana. Wandugu uwanawaheshmu sana kwa ushauri mnaotoa. Kwani nimekwisha nufaika na ushauri wenu.
Leo ninajambo ambalo naliona kama si lakawaida kwa mke wangu. Jambo lenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.