maoni yenu wapendwa

maoni yenu wapendwa

sablack

Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
89
Reaction score
19
utafanyaje ikiwa anayestahili kukufuta machozi ndiye anayesababisha ulie?
 
mi mwanaume huwa silii ila ikitokea nimelia ntalia sana na ntahakikisha hatosababisha nilietena.
 
utafanyaje ikiwa anayestahili kukufuta machozi ndiye anayesababisha ulie?

kama wewe ni wakiummeni basi unajinyetukia zako safi kabisa mikono huwa haisaliti hata siku moko..
 
Inabidi kulia tu mpaka machozi yaishe, Hutakua na haja ya kusubiri kufutwa tena

Dunia uwanja wa mapambano
 
Unampiga risasi tu, huo ndiyo utaratibu mpya siku hizi hapa Bongo.
 
niku mu 44444 saro!!! ndo tiba!!!
NB: don't try this
 
Hivi kumbe kuna watu wanalia wakitegemea wafutwe machozi...hehehe!!!
 
utafanyaje ikiwa anayestahili kukufuta machozi ndiye anayesababisha ulie?

Kwani Lazima uwe nae ?watu Mnapenda stress.He she is a psychopath she get pleasure Alkikuona unalia .Huyo hata mapenzi anataka violence .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom