Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Najua kua ni maumbile lakini inachukiza kuona janaume linakua na wowowo kizembe kizembe wakati ukikomaa na zoezi zigo linapotea kabisaa,au mnapenda kushindana na madada zetu? samahani kama nimewaboa.