Uanaume Si Kuvaa Suruali tu, Usicheke Badilika La Sivyo......

ludoking

Senior Member
Joined
Oct 5, 2008
Posts
124
Reaction score
71
Kuna Wanaume mnaachika sio kwa sababu hamna hela,au mna tabia mbaya,ila kwa sababu mkoo too serious, not romantic at all na ratiba zenu sio za kimapenzi hata kidogo.

Muda wote mnawaza kazi,mkienda outing unampeleka wapenzi wenu wakawaone shangazi zako na bibi, no shopping, no dinner together,no outing ku have fun...Na ikitokea siku mmekaa kuongea wewe unaongea kazi tu,oh my boss this, u know zis excel sheet is very cumbersome, u know ze board meeting this week is killing me.Sasa huyo mwanamke umemleta kwenye maisha yako umsimulie board meeting??

Msichana wa watu anaishia kutokuwa na hamu na wewe, wenzie huko wana have fun na wachumba zao, wewe umekazana na Board meeting, utaoa board meeting weee subiri!
Nimemaliza..hata ukinuna,if ur too serious to be in love please date the SOAP
 
imekaa shaghalabaghala haieleweki legho ni nini hasa,,,,,,,,,,,,,,,

ila maisha ya mapenzi ya kukaa kuangalia wenzako yanapoteza sana , hapo kuwa mwangalifu.........
 
Mapenzi hayalipi bills, ukikua utajua haya. Na romantiki ndio nini, yaani kutizama marichui moja tu basi imekuwa tabu. Tupishe sie tulokua tukae na hao baba zako.
 
Teh teh teh,,,mitandao ya kijamii hii ndo raha yake.
Respect
 
Mapenzi hayalipi bills, ukikua utajua haya. Na romantiki ndio nini, yaani kutizama marichui moja tu basi imekuwa tabu. Tupishe sie tulokua tukae na hao baba zako.

Kama story zake daily ni "Board meetings" ila bills zinalipwa hakuna tatizo,na tuzijadili tu January mpaka December. Tatizo wengine wako busy kuliko u busy wenyewe lakini daily wanalia shida mpaka unatamani umshauri apumzike tu nyumbani.
 
haya bana....mimi hata tusipoenda shoping mwaka mzima...mwanaume wa kweli unaprovide matumizi kwa familia na kuhakikisha kitandani unatenda haki...mambo mawili tu hizo nyingine ni sinema za govinda
 
Kuna Wanaume mnaachika sio kwa sababu hamna hela,au mna tabia mbaya,ila kwa sababu mkoo too serious, not romantic at all na ratiba zenu sio za kimapenzi hata kidogo.

Muda wote mnawaza kazi,mkienda outing unampeleka wapenzi wenu wakawaone shangazi zako na bibi, no shopping, no dinner together,no outing ku have fun...Na ikitokea siku mmekaa kuongea wewe unaongea kazi tu,oh my boss this, u know zis excel sheet is very cumbersome, u know ze board meeting this week is killing me.Sasa huyo mwanamke umemleta kwenye maisha yako umsimulie board meeting??

Msichana wa watu anaishia kutokuwa na hamu na wewe, wenzie huko wana have fun na wachumba zao, wewe umekazana na Board meeting, utaoa board meeting weee subiri!
Nimemaliza..hata ukinuna,if ur too serious to be in love please date the SOAP

Je, kila akitoka board meeting na sitting allowance ya 230000 akakupa 40 percent?
 
Ungemalizia uanawake Siyo kumiliki papuchi peke yake pamoja na kulipa bills ningekugongea big like
 
Kuna Wanaume mnaachika sio kwa sababu hamna hela,au mna tabia mbaya,ila kwa sababu mkoo too serious, not romantic at all na ratiba zenu sio za kimapenzi hata kidogo.

Muda wote mnawaza kazi,mkienda outing unampeleka wapenzi wenu wakawaone shangazi zako na bibi, no shopping, no dinner together,no outing ku have fun...Na ikitokea siku mmekaa kuongea wewe unaongea kazi tu,oh my boss this, u know zis excel sheet is very cumbersome, u know ze board meeting this week is killing me.Sasa huyo mwanamke umemleta kwenye maisha yako umsimulie board meeting??

Msichana wa watu anaishia kutokuwa na hamu na wewe, wenzie huko wana have fun na wachumba zao, wewe umekazana na Board meeting, utaoa board meeting weee subiri!
Nimemaliza..hata ukinuna,if ur too serious to be in love please date the SOAP

Tukipata points anaglau mara 10 kwa wiki midume ya humu JF itabadilika!
 
Mhh wewe uliyeleta hii mada lazma utakuwa ni jinsia ya KIKE tuuuu.
Kama mtu unataka akupende wewe wakati wote hizo hela za ku have fun wakati wooote zitatoka wapi?
Kama wewe unataka ku enjoy basi lipia wewe hayo ma hotels au Holidays alafu niambie mimi mwanaume nije ni have fun umenialika uone kama sitokuja.
 
Mapenzi hayalipi bills, ukikua utajua haya. Na romantiki ndio nini, yaani kutizama marichui moja tu basi imekuwa tabu. Tupishe sie tulokua tukae na hao baba zako.

Usi mshangae, akikuwa ataacha.
Bado ni msichana sio mwanamke.

Msichana wa watu anaishia kutokuwa na hamu na wewe, wenzie huko wana have fun na wachumba zao, wewe umekazana na Board meeting, utaoa board meeting weee subiri!
Nimemaliza..hata ukinuna,if ur too serious to be in love please date the SOAP
 
Kwa hiyo mtakula romantiki?

Inabidi aelewe kuwa kuna ada ya shule, kuna kuugua au kuuguliwa, kuna kodi ya nyumba, kuna kujenga, kuna misiba, na dharura zingine , mambo ya romantic yatakuja baada ya kukamilisha haya any way sijajua mtoa mada kama ni responsible adult .
 
Back
Top Bottom