Baada ya siku ya ndoa yangu

Baada ya siku ya ndoa yangu

kibebi

Senior Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
111
Reaction score
267
Nimekulia malezi ya Dada yangu, Mama yetu alituzaa watoto 4, kaka zangu 2, dada yangu na mimi, mimi ni mtoto wa mwisho kwa wazazi wangu, Baba yetu baada ya kuamua kuoa mke mwingine mama alitulea kwa shida na taabu nyingi mno, Lakini nashukuru Mungu kwani tulikua vyema, Hata hivyo baada ya baba kuoa na mwanamke wake kutokuzaa baba aliamua kurudi kwa mamayangu, lakini mama hakuwa tayari kumpokewa baba kwa kile alichodai ni kuonewa, na hivyo baba aliamua kuondoka na kurudi kwa wakwe zake, yaani kwa wazazi wa mkewe, na huko aliteseka sana ba baadae alifariki dunia na hakuna aliyeweza kwenda kumuona baba licha ya kumzika.
Nimekulia malezi ya Dada yangu, Mama yetu alituzaa watoto 4, kaka zangu 2, dada yangu na mimi, mimi ni mtoto wa mwisho kwa wazazi wangu, Baba yetu baada ya kuamua kuoa mke mwingine mama alitulea kwa shida na taabu nyingi mno, Lakini nashukuru Mungu kwani tulikua vyema, Hata hivyo baada ya baba kuoa na mwanamke wake kutokuzaa baba aliamua kurudi kwa mamayangu, lakini mama hakuwa tayari kumpokewa baba kwa kile alichodai ni kuonewa, na hivyo baba aliamua kuondoka na kurudi kwa wakwe zake, yaani kwa wazazi wa mkewe, na huko aliteseka sana ba baadae alifariki dunia na hakuna aliyeweza kwenda kumuona baba licha ya kumzika.

Asubuhi ya siku hiyo nimechukliwa na dada, Nakumbuka tukiwa sebuleni, Dada yangu alimwambia mumewe, Mume wangu mpendwa, ninaomba Sheila aishi na sisi ili atusaieid kulea watoto na kunisaidia kazi za ndani na gharama za msichana zipungue kwani atafanya kazi zote za ndani kikubwa tu akae hapa... Shemeji yangu alinitazama kwa huruma mno kisha akanishika kichwa na kusema kaa hapa usijali wala hutakaa kama msichana wa kazi ila kama moto wetu. Dada yangu alilia kwa uchungu na machozi yakimtoka na kisha kumwambia mumewe, Mungu akubariki mno mume wangu na akufanikishe mno mume wangu mpenzi, asante sana Mume wangu.. Dada kwa shukrani hizo alinifanya na mimi machozi yanitoke.
Dada alinifuata akaniambia, Sheila mdogowangu, wewe ni kama mwanangu sasa naomba niheshimu kama mama yako na shemeji yako mheshimu kama baba yako, uwe na adabu unaona baba wa watu kaamu akukukubali naomba usiniangushe, uwe na heshima mdogo wangu ili ufanikiwe, Mume wangu atakusaidia sana nakuomba tafadhali,kila nitakachokueleza nisikilize, nikikukosea vumilia mdogo wangu ili upate maisha, sawa mama? Alinieleza kwa kunibembeleza maneno hayo,, Nilimtazama dada yangu na kumhurumia kwani alikuwa akitaka nipate maisha mazuri na alikuwa tayari mimi nifanye hata kazi za ndani ili mradi tu niishi naye kwani mateso kwa kaka zangu hakuyapenda hata kidogo.

Nikiwa na miaka 15 baada ya kumaliza darasa la saba, nilikuwa mchapa kazi, dada yangu anaishi mjini, kuna kila aina ya starehe, Mume wa dada anafanya kazi kwenye kampuni kubwa serikalini wana maisha mazuri mno, hivyo nilijua kuishi kwa adabu ndiko kutanifanikisha kimaisha. Na mimi niliamua kuvumilia na kuishi kwa adabu ili niweze kufanikiwa, Nilifanya kazi kwa bidii zote na wala sikujali kwani nilijua kufanya kazi kwangu ndiko kutanipa heshima na kupendwa zaidi. Asbh niliamka na kuwaandaa watoto 3 wa dada yangu kwa ajiali ya kwnda shule, nilifnaya usafi nyumba nzima na kufagia nje, na ilipofika saa 2 kamili asb nilikuwa nimemaliza kila kazi. Dada na shemeji walinipenda mno, wengi waliamini kwamba mimi ni msichana wa kazi hapo mtaani, lakini ukweli nilikuwa mdogo kabisa wa dada yangu.

Maisha yaliendelea hivyo na siku moja nikiwa sebuleni nawasimamia watoto wa dada yangu wale chakula Shemeji yangu alinitazama nilivyokuwa nawasimamia watoto kwa upendo, kisha alimuita dada yangu.. MAMA WATOTO,,, Dada yangu aliitika,, Abee mume wengu.. kisha akawa anakuja sebuleni akitokea chumbani huku anasuka mabutu nywele zake tayari kwa kulala kwani ilikuwa ni usiku.. na mara nyingi husuka nywele zake mabutu alalapo... Alifika alipokuwa shemeji na kisha akamwambia ona watoto wetu walivyo na furaha na mama yao mdogo! Dada aliwatazama kisha akatabasamu na kuniangalia na kusema Sheila anawapenda sana watoto.... Shemeji alimtazama dada na kusema je unaonaje kama tukimtafutia Sheila shule kwa kazi nzuri aliyoifanya? Dada yangu amejaliwa kushukuru,, alimtazama Mume wake na kumwambia,, Mume wangu,, nitakushukur zaidi ya kukushukuru asante kumsaidia Sheila ... Shemeji alinitazama kisha akaniambia utaweza kusoma? Nilimjibu ndio shemeji nitaweza kusoma... kisha Shemeji akamwambia dada kwamba kesho nikiwa ofcn usisahau kunipigia simu kunikumbusha juu ya swala hili ili nilishughulikie.

Wakati wote huo kaka zangu walijua naishi kwa dada yangu, na saa wakaanza kuingiwa na wivu kwa nini ninaishi kwa dada badala ya kwa kaka? awalianza maneno ya kichini chini na kuanza kumchukia dada yangu. Wifi yangu wa kaka mdogo alimueleza dada yangu maneno ya umbea na kumwambia kwamba huenda ninatembea na shemeji yangu ndi omaana shemeji yangu ananisomesha, maneno yalikuwa makubwa mno, lakini dada yangu aliniambia KAMA HUFANYI USIJALI, Na kweli sikuwa nafanya hivyo wala sikujali, na dada alinitia moyo sana, ,, Nilikuwa nina heshima mno, nilimpenda dada yangu sana, nilimheshimu mno, alinipenda na kunijali.... Nikiwa sekondari mwaka wa pili kidato cha pili wakati wa likizo niliporejea nyumbani, kaka zangu walikuja kwa dad ayangu na kunitaka kurudi nyumbani yaani kwa mmoja wa kakazangu, roho yangu iliniuma mno, na waliniambia kwamba watanisomesha wao na hivyo siruhusiwi kukaa kwa dada yangu, niliumia sana kwani pia walimurushia shemeji maneno ya kejeli na kumwambia kwamba mimi nina mahusiano ya mapenzi na shemeji yangu niliumia sana na sasa ilikuwa ni lazima niondoke. Usiku huo nilianza kufungasha nguo zangu na kuwaaga dada na shemeji na sasa nilikuwa naelekea kwa kaka yangu kuishi naye huko.

Maisha ya kwa kaka yalikuwa magumu, kaka alikuwa haeleweni na mkewe, hiivyo mudamwigni walikuwa hawana furaha wala maelewano, nilijiahidi kufanya kazi kwa kumaanisha lakin hawakuridhika,,, Kaka alinitafutia shule ambayo waliweza kumudu kulipa ada na ilikuwa ni shule ya day wkwani shule ambayo nilikuwa nasoma ambayo dada na shemeji walinilipia ilikuwa ya gharama kiasi kwamba kaka wasingeweza japo uwezo walikuwa nao. Nilikaa kwa wifi lakini kwa mateso makubwa mno, nilitukanwa, nilidharuliwa lakini sikuwa na laa kufanya. Wifi yangu alinichukia mno lakni hakuna kibaya nilichofanya. Mateso yalipozidi ikiwa ni pamoja na kufungiwa nje mara nichelewapo kurudi nyumbani kutokana na usafiri,, kwani kulala nje ilikuwa ni kawaida, mara nichelewapo hakuna aliyefungua mlango niingie ndani, sio kaka wala wifi, hivyo nilikuwa niliilala nje kila mara ,, Nilipoenda kumueleza dada dada aliumia sana na aliniahidi kwamba kama nina moyo wa kujitolea kutengwa na familia basi niondoke na nisijali kwani watakataa kulipa ada ya shule ... na dada alinaimbia kwamba mume wake aliogopa kueondelea kunisaidia kuotkana na kejeli za kaka zetu.. Niliwaza sana je niendelee na mateso ili nilipiewe ada ya shule ama nikose shule na kutafuta maisha mengine? nilikuwa kwenye wakati mgumu mno.

Mateso yaliendelea kwa kaka na mwisho wa siku wifi na kaka walienda kunishtaki shuleni wkwamba nina tabia ya kulala nje,, niliumia sana na waliniita malaya.... Nilimfuata mwalimu mkuu wa shule, na kumueleza kisa halisia, na kwamba hizo tabia sina, mwalimu aliniangalia na kusema anaamini kwamba sina hizo tabia lakini walezi wanalalamika juu ya tabia hizo na wamesema hawatanisomesha tena,,, niliumia mno, nilipenda shule, nilitamani kusoma ili niweze kufanikiwa maishani mwangu, niliamini elimu ni ufunguo wa maisha,,, Kaka na wifi waliapa kutonilipia ada na waliondoka,, mwalimu mkuu alinitazama na kunihurumia,, sana na akasema hana uwezo wa kunisaidia kwani ni lazima niwe na ada ndipo nipate Elimu. Wifi na kaka waliondoka na kuniacha shuleni nikiwa nalia.. Jioni nilielekea nyumbani, nilipofika kaka alinipokea kwa matusi na kuanza kunipiga sana kwa kudai kwamba nina wanaume, alinipiga mnonilimuomba msamaha lakini wifi alionekana kushinikiza nipigwe, niliumiamwilini kwani kaka alinichapa na mkanda,,, Baada ya kipigo hicho niliwaza nifanyeje? Niliondoka nakuelekea kwa dada yangu,, nilipofika nilimkuta amekaa sebuleni na mumewe na watoto na msichana wao wa kazi,, walinipokea na kuniuliza kulikoni? niliwaeleza hali halisi. Dada yangu aliumia sana na kujaribu kumuelewesha mumewe kwamba anisaidie tu kunilipia ada kwa siri mimi nikae shule ya boarding,, alimbembeleza mno. Usiku huo shemeji yangu alihofia mimi kulala ndani kwani nilikuwa nimepigwa mno na kuvimba na kuvilia damu, hivy alimshauri dada yagnu anipeleke hospitali. nilipelekwa hospitali na kutibiwa nakupewa dawa za kutuliza maumivu. kisha nikarudi kulala, nililala siku nne nikiwa hoi ndani naugulia maumivu. Kaka yangu hakunitafuta wala wifi , isipokuwa walimueleza kaka yangu mwingine kwamba nimetorokea kwa mwanaume.

Fuatana nami kibebi msimuliaji katika simulizi hii ya kusisismua


 
Baaada ya wiki, tayari shemeji yangu alifanya mpango nikapata shule nzuri na kupelekwa huko tena nje ya mkoa, huko niliweza kutulia. Kaka zangu walipogundua niko huko walijaribu kunidurisha lakini kwa vile nilikuwa nimeshakomaa na kujua nia yao sikukubali kabisa na tayair uongozi wa shule ulishapewa taarifa juu ya kaka zangu kupiga elimu yangu. Dada yangu alionekana kunipa kiburi lakini hakujali, alisema tuko wasichana wawili na wao wvulana wawili sisi tushikamane,, dada yangu lainipenda mno na kunihudumia sana. Hata nilipoishiwa na pocket money sikutaka kuwasumbua kwani niliona ninawapa shida, hivyo niliridhika kwa kila kitu changu nilichokuwa ninacho na kutumia kwa kubana matumizi. Muda ulienda sana, na nilikuwa nikisoma kwa style hiyo miaka yote 2 iliyobakia, tena nilikuwa nikichukua likizo naena kijijini kwa shangazi kukaa huko kwani dada aliogopa mimi kukaa mjini kwa vile shemeji aliwaogoka kaka zangu.
Nilisoma kwa juhudi zote kwa kumaanisha, niliwez akufanikiwa katika masomo yangu vyema, wakati wa mtihani wa kidato cha nne kumalizika, nilikuwa na mawazo mengi, nilijiuliza nitakaa wapi? kwani maisha ya kijijin ni magumu, na kwa shemeji anaogopa kaka zangu, na kwa kaka nimateso niliwaza mno. Rafiki yangu Raheli nilimueleze kinaga ubaga, akasema kwao ni mtoto pekee na hivyo ataongea na mama yake ili nikaishi naye huko, nilimuomba niwe ndugu yake wa hiyari.. Baada ya kumaliza mitihani na kufanya mahafali ya kidato cha nne, siku ya kuondoka Raheli alimuomba mama yake na baba yake tuondoke wote, mama yake alikubali na tukaondoka wote,Niliishi kwa kina raheli kwa muda wa wiki moja tu, maisha yalikuwa mazuri mno, kisha Mama na baba raheli wakataka nirudi nyumbani, kweli niliumia walisema hawewezi kukaa na mtoto wa mtu, safari ya kurudi kwa dada ilianza, nilienda mpaka kwa dada, dada aliniambia nikae kwake kwa kujiiba. Nilkaa kwa dada muda wa mwezi, kisha nikaanza kuona dada na mumewe hawaelewani, nkwani kaka zangu walimtukana sana shemaji na kumlaumu kwamba anataka kutoa wote kwa nini ananing'ang'ania? shemeji aliumia kwa maneno hayo na lijaribu kumuelewesha dada, dada alionekana kunitetea lakini kila aliponitetea niliwlez akuona hakuna maelewano, dada hakunieleza il iniona mwenyewe, Na kwa vile tayari nilikuwa na miaka 19 nilijua fika hakuna amani na ni mtu mzima hivyo niliamua kujiondokea na kurudi kijijini kwa shangazi yangu.
Shangazi alianza kupewa maneno ya uongo na kaka zangu, shangazi nilimueleza hali halisi, akaniashauri ni bora niolewe niwe na kwangu kuliko kusumbuka hivyo, na akasema anawajua kaka zangu ni wajeuri mno. Kuolewa bila kazi sikupenda kabisa, niliumia mno, shangazi nilimuelezea kwamba natamani kujua matokeo ya shule kwanza kama nitafaulu basi nitaendelea na shule kama nikifeli basi nisisome tena niolewe maana nilishaona ugumu wa maisha... Shangazi aliniambia kwamba nikakae kwa kaka yule mwingine kwani wameshaanza kumsumbua sana, Nilijiuliza kwa nini kaka zangu wananichukia hivyo sikupata jibu. Nilijiuliza je ni wifi wanawashauri? wakati huo dad ayangu hakuwa anasalimiana na wifi zangu wala hakuwa anaenda kwao, hata wakipata misiba, magonjwa wala sherehe daa yangu aliwachukia mno kwa sababu ya kunitesa hivyo mawasilinao yalikuwa kabisa na wao. Niliumia mno nikawa nasononeka nitaendaje kuishi nao? shangazi akanisihi niende tu . Sikuwa na mtetezi, nilitamani kwenda kushtaki mahakamani lakni wikuwa najua nishaakije na nimshtaki nani. niliumia sanakukosa faraja. NILIMKUMBUKA MAM AYANGU MZAZI, NILIKUMBUKA UPENDO WAKE, NILIKUMBUKA KILA KITU CHAKE CHEMA KWETU, NILILIA SANA, Asubuhi na mapema niliammka na kuswaki, kisha nilijitupia kanga na kuelekea kaburini kwa mama, nilifika na kpiga magoti,, nilimuita mama,,, " Mama yangu mpenzi, mama uliyekuwa nguzo yangu,,,, mbona umeondoka u kaniachia taabu nyingi hivi? mama yangu nifanyeje? mbona ninatengwa na jamiii/ ndugu zangu wa damu wananitenga niende wapi mama?ni bora uniite nije nikae na wewe kaburini nipate amani kuliko kuwa hai na kukosa amani,, mama yangu weeee, mamaaaaaaaaaaaaa" Nililia lakini sikusikia sauti ikinijibu... Nilitulia kwa muda kisha nikasikia sauti ikinsema kwa upole,,, Sheila, Sheila, Sheila.... Niliamini ni mama ananisemesha, sikufungua macho ili nimsikilize zaidi, kisha nikamwambia niambie mama yangu nakusikiliza,, .. Kisha nikahisi mtu ananishika mabegani mwangu,,,, Sheila, sheila huku akivuta makamasi kuonyesha na yeye analia, bado sikufungua macho nikiamini mama kuna anachotaka kuniambia................... Alinikumbatia na kusema usilie inatosha,,,, usilie Sheila......... nilichukua nami mikono yangu nikamkumbatia bado nikiwa nimefumba macho.. na kuendelea kulalama mama nichukue nife na wewe nichukue mama.....................
Kisha nikahisi mtu ananishika mabegani mwangu,,,, Sheila, sheila huku akivuta makamasi kuonyesha na yeye analia, bado sikufungua macho nikiamini mama kuna anachotaka kuniambia................... Alinikumbatia na kusema usilie inatosha,,,, usilie Sheila......... nilichukua nami mikono yangu nikamkumbatia bado nikiwa nimefumba macho.. na kuendelea kulalama mama nichukue nife na wewe nichukue mama..................... Alinikumbatia kwa upendo haswa, wakati wote nilikuwa naamini ni mama yangu mzazi amefutuka kaburini, taswira yote niliivuta nilijua ni mama,, nilipofungua macho sikuamini kuona ni dada yangu,,,, amesimama pembeni na ananiambia Sheila mdogo wangu, hongera umefaulu unatakiwa kuendelea na elimu wala usilie tena mamiii, usilie kabisa mdogo wangu,, alinifuta machozi na tukaondoka kuelekea kwa shangazi..... tulifika kwa shangazi na tuliongea mno, Shangzi alionekana kuna jambo analo kichwani mwake lakini aliogopa kusema mbele ya dada. Hivyo dada alipoondoka na kuniahidi kuja kunichukua na kunipeleke shule,, ... Shangazi alipata uhuru wa kuzungumza na mimi. Shangazi yangu ni mwanamke mchapa kazi anayejiamini mno. Aliniita na kuniambie nisogeze mkeka. Nilivuta mkeka na kukaa karibu kabisa na yeye, huku namfumua nywele zake. Shangazi alianza kunielezea nilivyo mrembo, mzuri na mwenye mvuto na mwenye adabu, akanieleza jinsi ambavyo wanaume wenye pesa zao wanavyonitamani, na aliniambia kwamba endapo nitamkubali mmoja wa wanaume ambao anawafahamu tutaweza kuwa na maisha mazuri mno kwani tayari ameahidiwa kupewa shamba la hekari 4 lililopo kando kando ya mto mkubwa kijijini hapo na akaniambia kwa jinsi alivyo shujaa na mahiri wa kilimo ana uwezo wa kulima misimu 5 tu na ksha kuwa matajiri mno hapo kijijini mpaka kila mmoja awashangae. Kisha akanielezea kuwa kuna ufugaji wa kisasa wa kuku na ng'ombe wa maziwa ambao anauwezo wa kupewa ng'ombe 5 kwa mkopo na kuanza kufuga na kila ng'ombe akizaa anakamuliwa lita 10 mpaka 15 kwa siku, Alinisihi sana juu ya hilo kwamba ni mkubali mwanaume huyo ambaye anaonekana kunipenda na kutoa kiasi kikubwa cha mahari ambacho kitatusaidia. Niliwaza sana na kwa vile niliona nimekuwa nikionewa na kaka zangu na shangazi kunieleza adha yote naipata kwa vile sina kwangu basi ni kubali na niwe huru.... Usiku wa siku hiyo niliwza mno mno mno,, sikupata usingizi kabisa,, nilitamani sasa kumiliki mali hizo kama shangazi alivyonielezea, Na niliamua kwa moyo mkunjufu kabisa kukubaliana na shangazi kuolewa na huyo mwanaume ambaye anamuamini yeye.
Asubuhi na mapema shangazi alikuwa keshaamka na kuelekea shambani kwake kwa ajli ya kumwagilia na siku ihiy ilikuwa ni zamu yake, Niliamka na kufanya kazi za ndani kama kawaida yangu, nilipmaliza nilianaa kifungua kinywa, Siku hii ni siku ya kwenda mnadani kwani kuna mnada mkubwa kijijini, niliangalia mezani na kukuta pesa ambazo shangazi amekuwa akiziacha hapo kwa ajili ya kufanyia manunuzi ya sukari, mafuta , sabuni, samaki na nyama za kukausha, nazi na viungo vingine vya mboga mboga,,, nilijua fedha zile ni kwa ajli ya manunuzi, hivyo sikuwa na wasi wasi, nilijiandaa tayari kwa kwenda gulioni, Niliitisha baisikeli ya kuniendesha kwani ni umbali wa km 4 kufika gulioni. Nilifika na kufanya manunuzi yangu kama ilivyo kawaida na nikiwa njiani nilikutana na kijana mmoja ambaye alionekana kuvutiwa na mimi mno . alinihoji maswali mengi na kusema amewehi kuniona mjini kwa dada yangu... nilimueleza ni kweli nilikuwa nikiishi na dada yangu ila sasa naishi na shangazi yangu. Alisema yeye kijana ambaye kwa sasa anasomea mambo ya Sheria kwa elimu ya juu kabisa, na amekuja kijijini kuhani msiba wa mjomba wake. kijiji cha jirani na kijiji chetu. Nilimfurahia kwa jinsi alivyokuwa akiongea na hivyo tulikaa mahali tukawa tunakunywa soda ambayo ni yeye alininunulia.Alinihoji kuhusu elimu yangu, nilimueleza kwamba nimechaguliwa kujiunga na kidato cha sita,, alifurahi sana na hakuamini, alinieleza umuhimu wa elimu, faida zake na kwamba ni kitu ambacho ni cha muhimu sana, Alinieleza kwamba, UJUZI HAUZEEKI, alinisifia sana na kuniahidi kunisidia kwa hali na mali kupata uhamissho wa shule nzuri endap nitahitaji, aliniachia mawasiliano ya namba zake za simu na kuniambia nisisite kumpigia wakati wowote kwa gharama zozote zile. Kisha aliniomba tuende naye mpaka nyumbani kwetu kwa shangazi ili akapafahamu kwani ingemsaidia kunitafuta na kutaka kujua maendeleo yangu. Ni kijana mzuri, mwenye mvuto na mwenye kuongea kwa upendo mno. Sikuweza kumkatalia ila nilimuomba mara tukapofika karibu na nyumbani nitamuonyesha nyumba aione kisha aondoke kwani nilihofia shangazi anaweza kunipiga kwa mimi kumpelekea kijana huyo. Tulitembea kwamiguu kwa mwendo wa kim 2 kisha tukapanda baisikeli kila mmoja na ya kwake hadi tulipofika karibu na nyumbani, , nilimuona shangazi akipepeta mchele kwa nje kisha nikamuonyesha wka kidole kwamba pale ndio nyumbani na kumuacha yeye arudi na mimi nikaelekea ndani. Shangazi alinilaki kwa furaha na kunifurahia mno kwa ni aliniamini kwa jinsi nilivyokuwa najituma.
 
Heeehh kama mmeipenda niendelee, mbona kimya? basi ngoja niache tu
 
daaah!!! peleka bongo movie!! utapata hela
 
Nikiwa jikoni napika chakula, nilijkuta nikikumbuka maneno ya Mudy, kijana ambaye alinielezea umuhimu wa elimu na faida zake, niliwaza sana na kujikuta ninakuwa na pingamizi mbili,, kukubali ushauri wa shangazi ambao una maanikio makubwa sana kwani niliamini shangazi akipata mashamba hayo kama alivyoahidiwa basi tutakuwa matajiri kijijini pale, kwani kwa heka moja na nusu tu ya shangazi aliyopewa urithi na marehemu babu yangu iliweza kumfanya akaonekana mwanamke mwenye pesa nyingi mno na kumudu maisha, hivyo niliamini endapo atapata hekari hizo 5 tena zilizopo kando kando ya mto basi tutakua matajiri wa mwaka... kisha nilikumbuka ushauri wa mudy wa kuniambie UJUZI hauzeeki,, niliona umuhimu wa elimu na faida zake, nilifurahia kuona wanawake viongozi wanaoendesha magari ya kifahari na kusafiri nchi za nje kwa sababu ya elimu zao, niliona ushauri wa Mudy ni wa msingi,, lakini na ushauri wa shangazi ni wa msingi pia............. Sheila unajenga gorofa? Sauti ya shangazi ilni kurupua mawazoni... a wapi shangazi basi tu nawaza mambo yangu... nikiwa katika kuwaza mara nilisikia mlio wa gari ukikaribia kabisa karibu na nyumbani kwetu.. kisha shangazi akanisogelea na kuninon'goneza.. Sheila eee, huyo ndo mwanaume mwenyewe,, Utajiri mwanangu huuu sasa usikatae lolote tafadhali Sheila,,, usiniangushe mwanaume mwenyewe huyooooo.. shangazi alionekana mwenye furaha isiyo kifani,, tayari alijikung'uta vumbi na kuvalia kitenge chake kisafi na kuchukua kitambaa cha kichwa, kisha kufuta uso wake kwa upande wa khanga na kutoka nje..... Nikiwa dirishani nachukungulia bila u geni kuniona niliweza kuona vijana watatu watanashati wakishuka ndani ya gari ambalo wala sikuweza kujua ni aina gani ya gari, moyo wangu ulinidunga mno,, walikuwa wakishusha sukari, michele, unga wa ngano, mafuta, mikate na baadhi ya vitu ambavyo sikuweza kuviona na kujua ni nin,,lakini niliwezakuona mfuko ambao ulikuwa na kama si vitambaa vya nguo basi ni vitenge,, kila mara shanagazi alikuwa akiishukuru kwa kupiga goti na kusema asanteni sana, asanteni sana.... nilianza kuogopa na kuona je ninakubaliana na swala la shangazi na kupuuza ushauri wa Mudy? nilianza kupata hofu ya kushindwa kujitetea... Mara wageni waliingia ndani na kukaa sebuleni,, kisha shangazi akaanza kupiga hatua na kunifuata nilipokuwa nimekaa chumbani.
Shangazi alisukuma mlango na kunitizama nilipokuwa nimekaa kitandani. Kisha akanisogelea na kuniinua uso na kuniambi mwanangu bahati ya mwenyewe uaiilalie mlango wazi.Haya mama amka ukamsalimie mchumba wako. Ni aliyevalia shati jekundu ndiye mchumba mamii. Shangazi alinisogelea na kunitengeneza khanga vizuri asijue sina maamuzi ya moja kwa moja. Aliamini jambo hilo limenifurahisha sana. Huku akitabasamu na kunishika mkono alinitoa sebuleni. Tulifika na niliwasalimia wageni wote na walionekana kufurahia mno. Kisha shangazi alimhita nje kijana aliyevalia shati jekundu wakaongea kwa muda na Ndipo aliponiita na mimi na kutoka nje. Tulikaa pembezoni mwa nyumba tukizungumza Juu ya ujio huo. Kijana alisema ananipenda mno na anafurahia mimi kuwamke wake. Nilimambia kijana juu ya kufaulu kwangu mitihani na kuchaguliwa kuendelea na shule. Lakini shangazi alinikatiza maneno na kusema hayo hayahjsu hapo na aliyaka jibu moja tu la mimi kusema ndio na taratibu zingine ziendelee. Nikiwa naendelea khwaza shangazi alionkana mwenye kupandwa na hasira na alimuomba kijana aingie ndani ili aongee na mimi. Kisha alinitazama Kwa hasura na kuniambia wewe sheila una upunguwani ama? Unaogopa nini sasa? Nakuambia hivi kama hutaki kholewa hapa kwangu hukai. Hawa wakiondoka wakimaliza kona ya kilimani na wewe uwe ushamaliza kuungasha nguo zako na sijui utaenda kwa nani na ulivyo na nuksi ya karanga chungu isiyoonekana mpaka itafjnwe.....shangazi alinieleza maneno hayo kisha akaw anavuta hatua kuelekea ndani. Nilimvuta kutaka kumwambia jambo lakini aliupiga mn.kono wangu na kuelekea ndani. Sijui huko ndani aliwaeleza nini wale vijana ila waliagana naye na waliondoka huku nasikia akisema nitakujibuni mapema. Ugeni uliondoka na mimi nikiwa nawaza je nifanyeje? Nitaishi wpi ili hali kwa kaka hawanitaki kwa dada hapaendeki na shangazi hanitaki. Machozi yalinidondoka nikiwa sijui nifanyeje.
Haya wee usojua maana hayawani wa hedi wewe nipe jibu... una go ama unaolewa? Haya ndo maneno aloniambia shangazi aliyoniambia kabla hajaingia ndani. Alisimamam kwenye kizingiti cha mlango na kusema kama mimi o sgangazi yako nakwambia humu ndani huingii kama hutaki kuolewa. Nipe jibu hapa hapa ili nikuruhusubuingie tuishi ama nikuruhusu uingie uchukuw nguo zako... nilimtazama shangazi nikiwa naendeleabkutafakari. Nikikumbuka mateso ya kwa kaka heri niolewe. Lakini naolewaje na hawa watu siwajui? Lakini nikikumbukabpia ushauribwa mudy natamani kwenda kusoma kwani elimu ni ufunguo wa maisha. Potelea mbali .. nilikjvika roho ya kujitolea nikiwa sijui litakalo tokea mbeleni. Niliamu liwalo na liwe kwani mateso yameumbiwa mwanadamu. Nililia sana machozi na sauti kabisa. Shangazi hakuonekana kujali. Nilinyanyuka nilipokuwa nimekaa na kujivika ujasiri. Kisha nikampita shangazi mlangoni kwa kikumbo kilichojaa hasira. Ni kama nilitamani kumkata mweleka aanguke. Hakuamini kwa mwendo kasi ule niliompita nao. Na tayari nilikuwa ndani nafungasha nguo zangu. Alinifuata na kuniuliza ndo unafanya nini wewe? Sikumjibu lolote ila nilikuwa naendelea kufungasha nguo zangu na kuzitia kwenye bagi langu. Machozi yalinitoka mno nisiweze kuyazuia. Nilipomaliza kufungasha nguo zangu nilitoka kwa mwendo kasi ule ule. Tayari ni majira ya saa kumi jioni. Nilielekea tena kaburini kwa mama kumuaga. Nilifika na kupiga magoti. Kisha nikamuita mama na kumwambia.a.a. mama najua unanisikia ila huwezi kusema. Najua unaniona ula huwezi kunisaidia. Mama yangu nakuaga naondoka. Sina ndugu nitafutie wewe unielekeze....

Kutoka kijinini mpaka stendi ya mabasi ni mwendo wa km 9, kutoka kijijin kwetu mpaka kijijini kwa kina mudi ni mwendo wa km 5, Niliwamua kumfuata Mudy kwani aliniahidi kunisaidia. Nilianza kutembea mwndo wa kasi, shangazi alikuwa akinifuata kwa nyuma huku akiongea kinyumbani nisiweza kumsikiliza wala sitaki kumsikia, alikuwa akisema u naniachia laana mwenye laana ni wewe, umeenda kunisemelea kwa mama yako na laana haitanishika,, unaenda wapi wewe mtoto,, mimi nikiulizwa nitasema nini,, alinisindikiza kwa umbali wa km 2 lakini kwa vile ni m nene hakuweza kunifikia kwani nilikuwa nikivuta hatua kwa haraka na wakati mwingine nilitumia njia za short kati kupita ili kumpotea asijue niendeko... baada ya muda kama wa nusu saa sikumuona alipopitia na tayari nilikuwa nimeshafika kijiji jirani cha kina Mudy. Nilianza kuulizia nyumba iliyokuwa na msiba kwani Mudy alinieleza alienda kuhani msiba wa mjomba wake. Nilifanikwia kupapata kirahisi. Nilikaa kwenye kona ya kibara bara kidogo huku naulizia Mudy,, nilifanikiwa kumuona kijana mmoja na kumuliza.
Aliniambia kwamba anamfahamu Mudy na anajua anapoishi na nimsubiri pale pale kwani anaenda kumuita na punde atakuwa karejea pale. Nilikaaa pale kwa muda wa dakika chache sana na ndipo nilipoinua macho yangu na sikuamini kumuona Mudy na yule kijana wakitembea mwendo wa kazi kunifuata,, aliponiona alistaajabu sana na kuniuliza kulikoni? NIlimwambia ni story ndefu ila naamni kwamba yeye ndiye atanisaidia kuliko mtu mwingine yeyeote na moyo wangu umeamua kumueleza yeye tatizo langu.. Mudy alinichukua na kunisaidia begi langu na mfuko mdogo wa maliboro niliokuwa nimeutia nguo zangu mbichi nilizokuwa nimeloweka ili kuzifua.. alinichukua na kunipelekea mahali ambapo kulikuwa kumetulia na tulikaa hapo. Ni dukani kwa kaka mmoja waliyekuwa wakimuita MZUNGUUU.... kwa weupe wake. Mzunguu alitupa viti na tulikaa pembeni na ndipo nilianza kumuelezea Mudy historia yangu. Mudy alisikitika mno na akaniahidi kunisaidia. Aliniambia atanisaidia wala nisihofu. Ila aliniambia kwamba msaada wake unahitaji kuwa na maelezo yanayotoka kijijini na barua ya kijijini kuonyesha kwamba ananisaidia na uongozi wa kijiji ukubaliane na yeye na kumpa kibali kwani asingeweza kukaa na mimi bila kuwa na kibali cha kijijini. Saa mbili kamili alinichukua na kunipeleka kwa balozi na kuniacha huko nikiwa nimelala huko na kuniambia asbh angenifuata kujua ninaendeleaje na aanza kushughulikia barua za kijiji kuomba ruhusa ya kunisaidia. Nililala kwa balozi usiku huo. Balozi na mke wake walinihurumia sana, Wliniambia kwamba wanamfahamu shangazi yangu na hana historia ya sifa mbaya isipokuwa ni tamaa tu lakni ni mwanamke anayejulikana ni shupavu kijijini kwao hivyo kama ningekuwa nataka wangeenda kumueleza shangazina anirudishe nikae nyumbani. Niliwaomba kwamba siwezi kukaa kwa shangazi tena kwani siwezi kuishi naye ili hali tumeshakwaruzana.
Asbh sana Mudy alikuwa ameshawasili kwa balozi na barua mbili, moja kutoka kijijini na ingine kutoka kwenye ubalozi wake, zote zikimtaka kupewa kibali cha kunisaidia ili niweze kupata elimu. Kisha balozi alisaini barua ile iliyomhusu na sasa ilikuwa anapelekewa shangazi barua hiyo kupewa taarifa juu ya mimi kutautiwa msaada wa kielimu zaidi kutokana na yeye kunifukuza. Niliumia shangazi yangu kushitakiwa lakini sikuwa na jinsi kwani tayari mambo yalikuwa ni magumu na mazito kwa upande wangu. Baada ya muda kidogo waaliotumwa kupelekea hizo barua wali rudisha majibu na shangazi alikataa kusaini barua zile isipokuwa alikuwa akinitaka nirudi nyumbani. Nilimuomba Mudy simu yake ili niongee na dada yangu.. Mudy alinipatia na nilimuelezea dada yangu kila kitu juu ya yaliyotokea. Na dada alikuwa ananigombeza akisema aeelezwa kila kitu kwamba nimekimbilia kwa mwanaume na sio kutaka msaada ila anasikitika kwamba kwa nini nimechukua maamuzi ya mimi kuolewa mapema vile? nilimuelewesha dada yangu kwamba sio kwamba nimekimblia kuolewa ila ni msaada tu niliokuwa nautafuta. Dada hakunielewa kabisa na alikasirika mno na kuniambia kwamba nimemuangusha mno kwani alinitegemea mno. Mudy aliumia baada ya mimi kumuelezea hayo aliumia sana na aliniambia kwamba atanisaidia mpaka mwisho. Mudy alinichukua na kunipeleka kwa wazazi wake. Wazazi wa Mudy ni watu wanaopenda dini yao sana. Walinipokea kwa amani na furaha na kunifanya kama mtoto wao na kuniahidi kunisaidia pia. Hivyo nilikaa kwa kina Mudy kama mtoto wao kabisa, Nilifanya kazi kwa moyo na kujituma mno. Mama yake Mudy alinishangaa kwa jinsi ambavyo nilikuwa chapa kazi. Kwa vile Mudy aliishi mjini aliweza kufuatilia shule niliyochaguliwa na kulipia ada na kila kitu. Kisha alirudi na kunieleza kwamba nijiandae kwenda shule. mama yake Mudy ndiye aliniyenipeleka shule kwani Mudy alikuwa kazini na kubwana na shughuli za kikazi. Nilienda shule na nilijiahidi kusoma kwa moyo wangu wote. Nilisoma kwa moyo wangu wote na kila likizo nilikuwa naitumia kwenda kumsalimia kaka zangu na dada yangu japo walionekana kutoniamini na dada yangu aliniambia kwamba ninasomeshwa na wazazi wa Mudy lakini ni kweli na nisikatae kwamba Mudy ni mpenzi wangu.. Jambo hili liliniuma mno kwani sikuwa na upenzi na mudy hata kidogo na wala Mudy hakuwahi kunielezea jambo la kimapenzi kabisa.
Ndugu zangu wengi waliamini kwamba Mudy ananisomesha ili niwe mkewe hapo baadae. Kila mmoja hata wanafunzi wenzangu walinieleza hivyo. wakaniambia mara nimalizapo masomo nijue Mudy atanioa tu wala sina ujanja kwani ameonyesha moyo wa hali ya juu. Nikiwa nimekaa nilitafakari mno, lakini nikasema potelea mbali ili hali amenifadhili kwa miaka miwili hii hata akitaka kunioa sina neno na anioe. Niliporudi likizo kwa wazazi wa Mudy walinipenda mno na kunifurahia sana, kwa adabu, utulivu lakin na juhusi za masomo, zaidi sana urembo wangu nao uliwafurahisha mno. Wakati mwingine mama yake Mudy alinitania na kuniambia mwali wangu wewe. nilicheka kwani sikuona hasara ya kuw amke wa Mudy, mudy alinipenda mno na kunithamini sana. Alininunulia nguo nzuri za thamani na alinipendezesha na kunishauri nisome kwa bidii, na aliniahidi endapo nitafaulu kidato cha sita atanipa zawadi nzuri mno mno mno . hivyo nilifanya bidii sanadarasani kwangu na niliweza kufuatuli vyema mno. Siku ya mitihani Mudy alikuja na rafiki zake kunitakia heri ya mitihani mema. Aliniletea zawadi na kunishauri ni fanye mitihani yangu akili ikiwa imetulia kabisa. Wasichana wengi waliamini ni mpenzi wangu niliwakatalia lakini hawakuamini kabisa, wakaniambia Mudy anasubiri nimalize shule ndipo aniombe upenzi... Siku hiyo aliweza kuonana na mkuu wa shule na mkuu wa shule alimueleza juhudi zangu darasani. Mudy aliweza kumuachia mkuu wa shule simu nzuri ya gharama na kumwambia mara nimalizapo mitihani basi simu hiyo mwalimu anikabidhhina awasiliane na mimi kwani atakuwa amesafiri nje kimasomo ila atataka kuwasiliana na mimi zaidi na zaidi. Nilifurahia sanaa simu ile. Kwa vile mwalimu alikuwa akiniamini na kunipenda mno alinikabidhi na kuniambia nisiitumie hadi nimalizapo mitihani hivyo niihifadhi. Nilichukua na kuihifadhi na Mudy aliniaga na kuniambia atarudi baada ya miezi sita hivyo niwaangalie wazazi, na mimi pia nijitunze. Alinikumbatia na kuniaga. Mwalimu pia hakuamini alijua kuna agenda ya siri. Mudy alipoondoka mwalimu alinihoji mno juu ya mimi na Mudy,, nilikaa chini na kumuelezea yote mwanzo hadi mwisho, mkuu wa shule alinihurumia mno na kunitaka nijitahidi kufanya vizuri kwenye mitihani yangu ya mwisho.

Nimemaliza mitihani salama. Muddy katoka ulaya, kaniletea zawadi nyingi mno na kunifurahia kwa kumaliza mitihani yangu. Anafanya kazi na anapata pesa nyingi mno na anasaidia wazazi wake, na kujijali pia yaye. Mudy ana marafiki wenye heshima na adabu na wenye kujijali. Mudi ana heshima sana na kusifika kil mahali, hali kazalika na marafiki zake pia wanasifika......................................................... Ni usiku saa nne na nusu. Tuko hotelini. Sijawahi kufanya mapenzi na mwanaume yeyote yule tangu nimezaliwa. Kijana huyu ananipenda kwa dhati, nimejaribu kumueleza heshima yangu, na uvumilivu wangu juu ya kuogopa kutendwa na kutamani mwanaume ambaye atanioa ndiye nimpe heshima ya kunivunja bikira kwani nimeitunza kwa miaka mingi mno.... Kijana anaonekekana kubeza na kucheka,, ni kweli ananipenda ila ni kama aaona namdanganya.. ninamuapiia nyapo zote lakini haamini.... Ananigusa maziwa, ananishika kiuno ila nakazana kubana miguu, naogopa,, kweli naogopa..... Sheila please naomba niruhusu nitakufanya pole pole,, niruhusu mpenzi wangu,, tafadhali niruhusu..... ananishika kwa nguvu na kujaribu kunipanua miguu ili aweze kuingiza lakini ninapata hofu.. ninamsumbua zaidi ya masaa mawili nikiwa chumbani tunavurugana... Ni kama haamini,, amechoka.. hamu aliyokuwa nayo ni kukbwa mno, mwili wangu ulioombika vyema unamvutia mno,,,,ananiangalia anaishia kunishika maziwa na kunichezea makalio yangu.. Sheila tafadhali naomba usininyime.... Ninaogopa ninaogopa... Haina neno niruhusu tafadhali.. niruhusu.............. Tumesumbuana zaidi ya masaa matatu sasa. Ananiruhusu niondoke, tena ana hasira hasira zisizo kifani.. Ananiambia kwa nini unajifanya mtoto? kipi cha ajabu usichokijua msichana mzima wewe? kwa nini unanifanyia hivi mpenzi wangu? Ninalia na kumhakikishia kwamba ninaogopa kwani sijawahi kufanya jambo hilo tangu kuzaliwa,,, machozi yangu namampandisha nyege, sasa ananifuata na kuniambia kwamba atafanya pole pole kabisa na sitaumia, naananiambia kwamba nikijibana ndio nitaumia ila nijilegeze... jilegeze.. mara tayari naona umbile lake limeshasimama tena wima,, na kuniambia hembu ona unavyoniumiza mamii, niruhusu tafaddhali nitafanya pole pole...... Ninamtizama kwa huruma anavoomba na ninamuomba afanye pole pole....... Ninapenda kitandani tena,, na kutulia na kufuata masharti yake.... pole pole ananipanua miguu,, anatumia vidole vyekakuchezea kisimi changu huku akinibusu na kunitekenya bara bara... kidole chake kidogo kiko ndani ya uke wangu na kidole cha gumba kinasugua kisimi changu nimeshalegea na ananiomba aingize.. Sheila naomba niingize.... kwa vile nimeshalegea sasa namruhusu aingize ila namuomba aingize pole pole... anapanda kifuani akiwa kanipanua miguu yangu anashikilia uume wake na anauingiza pole pole kwenye uke wangu, anaingiza pole pole sana,, ni kama anashindwa kuingiza... Dah! Anastop kwa muda na kujilaza pembeni,,, Sheila ni kweli? ar u virgin? ameingiza uume wake akakutana na kizingiti.. haamini... Sheila imekuwaje? hembu nielezee vyema,,, ninasikia furaha ya ajabu,, mwanzoni sikuamini,, tafadhali naoomba unielezee vyema umejitunzaje hivi kisha nitakuoimba kwa heshima nikuingilie kwa Heshima isiyo kifani Sheila,, ur such a darling,, sheila wewe ni msichana mrembo, msomi, na mwenye heshima,, nakupenda,,, Aliniketisha kitandani akiwa ananisifia maneno yote haya.. kisha akapiga simu ya mezani kuagiza maji na kinywaji nilichokihitaji cha juice... baada ya muda wa dakika chache maji na juice viliwasili,,,,.............
 
Kesho nitaenda kijijini kumsalimia mama, ninapenda kukaa kijijini zaidi kuliko kukaa mjini, huku sina marafiki, ila kijijini napenda kukaa na Sauda, Rehema na Zaituni, ni marafiki zangu na ninawapenda sana hivyo naomba nauli kesho niende..... Sheila anamuomba ruhusa Mudy... Mudy anamwambia asiondoke mpaka jumamosi kwani naye ana safari ya kwenda kijijini jumamosi hivyo wataongozana. Sheila yuko kwenye mapenzi mazito na ya nguvu... anamfurahia mpenzi wake mno, mpenzi wake naye anamfurahia sana. .... Baada ya kumaliza kufanya usafi Mudy akiwa kazini,, mara geti linafunguliwa,,,, anaingia Roby akiwa na furaha mno na kashikilia mfuko wenye zawadi kem kem.. Anamuita Sheila................ Sheilaaa.. Sheila anahamaki ni Roby,, haraka anachukua kanga yake anaigesha vyema kiunoni kisha anaenda kumlaki Roby... Zawadi zako hizi hapa mamiii............... anamkumbatia na kumpa denda la haja..... anamnyonya denda na kumnong'oneza... Sheila mpenzi wangu.... nakupenda mno,, wewe ni mwanamke jasiri, mwenye heshima na unayejiheshimu,, nakupenda sana mke wangu mtarajiwa,, nakupenda mamiii.... Roby anaendelea kumtomasha SHeila mpaka hamu yake inaisha... kisha anamuaga na kumuachia zawadi kem kem na Roby anaondoka na kumuaga Sheila...... Sheila anafungua ile mifuko anakuta kuna zawadi nzuri kem kem,, nguo, viatu, khanga, taulo na pesa taslimi lakini mbili,, haamini,, anachkua simu yake na kumpigia Roby.. asante sana Roby mpenzi wangu nakupenda asante kwa zawadi... Roby anamwambia Sheila,, ... Sheila nakupenda endelea kunihifadhia bikira yangu,, napanga siku ya kuiondoa... napanga siku ya kuondoa mpenzi wangu, take care...... Roby anafurahia kukutana na msichana mrembo, msomi na mwenye bikira,, tangu ujana wake hajawahi kukutana na mwanamke ambaye ni bikira sasa amempata Sheila mdogo wa rafiki yake Mudy,, anampenda Sheila anataka sasa awe mkewe.... Roby anashindwa kuvumila anaamua kwenda ofcn kwa Mudy kumuelezea kila kitu juu ya Sheila na kumuomba amtunzie Sheila kwani atamuoa na kumshukuru kwa kumuunganishia kwa Sheila..... Anaendesha gari yake kwa speed akiwa na furaha mno... kisha anapaki nje ya jengo la ofc anako fanyia MUDY... Haraka anapanda ngazi na kuingia ofcn kwa mudy moja kwa moja....... anamkuta Mudy anajiandaa kutoka lunch,,, Ahaaaaa.. bwana kaka.. nimekuja kwako mkwe wangu wewe,, kukupa pongezii na shukrani... Mudy anapenda utani, anacheka cheka na kumwambia umekiona kifaa eeee. mimi bwana nikikushauri sikosei,, yule ni mdogo wangu namjua mimi bwana,,, hahaha, wote wanacheka na kugongeana mikono. .. kisha Roby anamueleza Muddy kwamba kuna jambo ambalo ni very serious anataka kumueleza Mudy ili amsaidie kwani sasa ameamua kuwa na maamuzi ya kiutu uzima, wanashauriana kutoka na kulelekewa mahali ambapo watazungumza huku wanapata lunch......................

USIKOSE KUJUA NINI KITAENDELEA KWA KUFUATANA NAMI KESHO.........alamsiki
 
Nina aleji na sled ndefu msaada wa samari please
 
Dah story nzuri ila font size ndogo na hao kaka zako wamenitia hasira sana, dada na yeye dhaifu anashindwa kumtetea mdogo wake! Endelea mamii kutuletea uhondo
 
Aaaaaah,malizia story bhana...! Sio siri story yko imeniteka ufahamu!!!
 
Back
Top Bottom