Mkisikia mwanamke huyo kauwawa msishangae.

Mkisikia mwanamke huyo kauwawa msishangae.

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,048
Reaction score
13,495
Npo kwenye basi naingia jijini dar. Pembeni yangu kuna jamaa anaongea na demu wake hapa. Anamuwakia sana na kasema akirudi tu nyumbani huyo mke aondoke lasivyo anamuua. Mke anabisha anasema haondoki, jamaa anasema mke aombee apate ajali afe
 
Kasema tena kuwa shoga zake ndo wanamkuwadia kwa wanaume so nao watamtambua pia huyo mwizi wake. Kesho anatoka dar anaelekea mtwara so kama una ndugu yako pande zile na anamzingua mume wake kaa tayari kwa lolote. Jamaa kapania si mchezo
 
Hahahahahahah mweeh ngoja nirud kwetu mahenge
 

unadhani nilikumbuka hata kurekodi? Jamaa yupo serious sana,anasema huyo mwanamke aombee apate ajali njiani lasivyo atamuua na haogopi kulala polisi. Halafu huyo mwanamke anamjibu kunya mshkaji
 
Lafudhi ya wapi machame, marangu, rombo au, km si ya huko basi utani tu huo
 
Npo kwenye basi naingia jijini dar. Pembeni yangu kuna jamaa anaongea na demu wake hapa. Anamuwakia sana na kasema akirudi tu nyumbani huyo mke aondoke lasivyo anamuua. Mke anabisha anasema haondoki, jamaa anasema mke aombee apate ajali afe

samahani,hujasikia anataja jina la ubini wake kama vile massawe,mushi,mrema,kivuyo,maleare au munishi?
 
samahani,hujasikia anataja jina la ubini wake kama vile massawe,mushi,mrema,kivuyo,maleare au munishi?

huyu jamaa ni wa ntwara ana sura ya kikauzu kinoma. Tumetoka naye songea then kesho anaenda ntwara!!
 
Basi nzima tulikua wapolee na jamaa inaonekana anamaanisha. Akishtukia napost info zake anaweza anza na mimi ngoja nkaushe
 
huyu jamaa ni wa ntwara ana sura ya kikauzu kinoma. Tumetoka naye songea then kesho anaenda ntwara!!

Bachi tuchiwe na wachiwachi....maanake uchawi wa ngende wanatengeneza wenyewe.....watamalizana bila chikendo kubwa.....Tuombe mwanamke akachanje chale mapema tu.
 
^^
JF kwa habari tu... Ambao hawajajiunga wajiunge!
^^
 
Npo kwenye basi naingia jijini dar. Pembeni yangu kuna jamaa anaongea na demu wake hapa. Anamuwakia sana na kasema akirudi tu nyumbani huyo mke aondoke lasivyo anamuua. Mke anabisha anasema haondoki, jamaa anasema mke aombee apate ajali afe

Ndio umeandika nini?
 
Jamani tufike mahali tujifunze. Watu siku hizi hawatanii! Hasa kwenye masuala ya mahusiano.
 
Ndio umeandika nini?

yani hujaelewa peke yako tu? mbona unakuwa kama mwanaasha yami wenzie wote wamefaulu yeye kapata ziro!! hebu soma vizur post ya kwanza na ya pili.
 
asante kwa taarifa deo, kwahiyo sasa hivi upo wp nikapige cha mwisho kisha nikimbie nirudi lindi, teh teh. siku hizi mapenzi nouma mbona miaka ya nyuma haikuwa hivi?
 
Back
Top Bottom