Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimechelewa kuamka mgongo unauma sana Mbaga Jr ninafuata ushauri wako ni kuwala tu 😀 Baada ya mechi ya ureno nikawa na mademu tumezoena sikutumia hata mia Jana wao ndo walinunua, wakanipa na...
4 Reactions
13 Replies
394 Views
Watu wengi huamini kuwa kutongoza ni kitu cha kuzaliwa nacho — kwamba lazima uwe handsome sana, uwe na pesa nyingi, au ujue mistari migumu ya mapenzi. Lakini ukweli ni kwamba confidence...
4 Reactions
69 Replies
1K Views
Inanitafakarisha sana hii Yaani huwa najiuliza maswali mengi sana nikiona mwanamke wa hivyo miaka 40, 45, 47, 49, 50 huna mume na hujawahi hata kuolewa hata mara moja yaani hata mara moja kwenye...
28 Reactions
179 Replies
4K Views
Salaam wakuu, mimi ni mwenzenu ila account yangu sijui imefanyaje na ile email walihack ila nimefungua account mpya. Sasa ndugu zangu mimi nina 38 sasahv na ndio naingia kwenye ndoa, huyu binti...
3 Reactions
9 Replies
184 Views
Sisi huwa tunatumia hiyo number 3,9 na 13.
2 Reactions
6 Replies
240 Views
Toka zamani nilikuwa najua wanyama wote hufanya tendo la ndoa kwa ajili ya kuzaliana tu. Kumbe si kweli. Tafiti zinaonyesha kuna baadhi ya wanyama kama dolphins na sokwe ambao pia hufanya tendo...
3 Reactions
7 Replies
301 Views
Msisimko wa kingono husababisha kutolewa kwa homoni kama vile dopamine na oxytocin. Mara tu baada ya kilele, viwango hivyo hupungua, na ile sehemu ya ubongo inayohusika na mantiki (logic) na...
8 Reactions
20 Replies
335 Views
Habari zenu wakuu.. Duniani hapa kuna mambo ya kustaajabisha sana. Huenda labda kwakuwa kila mmoja na hulka yake ndio maana mambo ya kustaajabisha yanazidi kutokea kila uchwao. Nina huyo wife...
14 Reactions
113 Replies
2K Views
Sion faida ya kuwa kwenye mahusiano bora kuwa single tu.kwa kwel nmeumizwa sana enough is enough!.....
3 Reactions
21 Replies
194 Views
Hbari Sio mishangazi, , Kuna Ile unakuwa na mahusiano na mwanamke wa makamo Yako then ikatokea ukamuazima pesa alishawahi kukupa laki na kuendelea je hakukudai hiyo pesa au ajakusimanga Kwa...
7 Reactions
36 Replies
370 Views
Zama za kusubirishana Gizani kusubiri reply zimepitwa na wakati! Sasa we Endelea kutongoza unadhani utafanikiwa bila Pesa ! Kwa sasa kupata mwanamke 1. Kuwa na Pesa 2. Cheo 3. Kipaji 4. Muongo...
8 Reactions
86 Replies
783 Views
Eti ukubwa wa lips za mdomo wa mwananamke ni sawa na Uke yake.Kuna yoyote amewahi kufanya utafiti huuu?
8 Reactions
54 Replies
780 Views
Ni sahihi mwanaume kutongoza kwa show off ? Je hata ukimkubalia atakuwa na upendo wa kweli ? Au atakuwa anaona kama vile we ni wa kununuliwa tu?
4 Reactions
28 Replies
287 Views
Yaan zama hizi si za kupenda mtu! Nipe nikupe baasi, Hakuna ku attach hisia zako kwa mtu, katika kazi unazofanya hakikisha kipato chako unakigawa hivi Let say unapata 20,000$ monthly Kwanza...
8 Reactions
74 Replies
946 Views
Kuna demu hapa mtaani black ana sura ya kawaida sana ila ukimtongoza anaweza kukupiga hata kofi anakwambia hataki mambo ya kijinga wahuni wote mtaani wamegonga mwamba tusema hawana mpango nae hata...
10 Reactions
99 Replies
1K Views
Habari zenu baada ya kuruka ruka sana hapa na pale nimeamua nioe, hivyo nilipopata karikizo kadogo nikawa nimeshapanga na mdada rafiki yangu wa karibu wa zamani kwamba namuoa. Akakubali, Tatizo...
14 Reactions
103 Replies
10K Views
Nipo kisiwa cha unguja Bado sijapata direction, ni sehemu gani hapa naweza nunua potassium, please isiwe shamba, naombeni maelekezo hususani hapa mjini magharibi
0 Reactions
4 Replies
150 Views
Mwaka ule ule napata connection ya kisanga cha Mnyarwanda kabla ya hapo nawaleta kati Katika Uzi uliopita niliiongelea Vietbam nikasema itakuwa story ya siku ngingine Kifupi Vietnam nimeenda...
11 Reactions
114 Replies
2K Views
Katika maisha kila mtu kuna kitu ambacho ajawai kukifanya kabisa kwaiyo uwa anatamani sana kukifanya icho kitu kwa upande wangu mimi na umri nilionao nilikua tayari nimewai kufanya mambo mengi...
2 Reactions
5 Replies
208 Views
Wanipe premium membership Ntaweka heshima sana Nttatoa Pesa kwa kwa wahitaji Ntaweka kila jambo Sawa Heshima Muhimu
9 Reactions
21 Replies
251 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…