Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nina miaka 26 na nimeoa mwanamke wa miaka 36 na ndoa yangu haina tatizo naenjoy kinoma.Ningeoa 18 to 25 ningeisoma namba.
2 Reactions
23 Replies
248 Views
Ni mtoto wa miaka mi 5 kutotaka shule na ukimpeleka shule analia, na kusema siwezi kujifunza kitu hicho hicho kila siku Nilileta uzi hapa Wadau wengi walinishauri na nikachukua ushauri wao...
7 Reactions
57 Replies
741 Views
Mwisho wa thread hii kuna picha moja ni Criss brown na Rihana wakati wakiwa katika mahusiano kwa wakati huo walikua na miaka 19. Picha zingine mbili ni picha zao kwa sasa criss ana miaka 36 na...
64 Reactions
232 Replies
6K Views
Hivi unadhani utapendwa vile vile after 10years or 5 years? Hivi unadhani uzuri uliomchagulia utakuwepo after 15 years or 10 years. Hivi unadhani kuna atakaevumilia 6 years ya kupata sex sehemu...
4 Reactions
8 Replies
144 Views
Kama huyu mke wangu mama amina ananiheshimu sana maana mimi masta kitandani.huwa namshushia dozi vibaya mpaka anakiri kwel ww ni mwanaume sio bora mwanaume.
1 Reactions
25 Replies
501 Views
Wakuu, Habarini? Mimi ni mdau zaidi wa kusoma Nyuzi hapa JF kuliko kuandika Nyuzi. Lakini leo nimeona na mimi warau nivunje Ukimya, nipate kushuhudia jinsi Forum hii imenifungulia mlango...
68 Reactions
104 Replies
9K Views
Wana jf kuna mtu kaoa amekaa 4yrs bila mtoto, na rafiki yake ana watoto kadhaa. Sasa jamaa ashachoka kuitwa uncle na wale watoto wa rafiki yake anatamani na yeye aitwe baba cku moja. Jamaa...
14 Reactions
201 Replies
3K Views
Nimeanza ulevi ndugu zangu maana ndio option pekee ya kunifanya nijielewe mwenyewe kwa haya ninayopitia. Lakini nimejifunza kwa lugha ngumu sana kuwa kuishi na mwanamke mwenye Ego na kiburi ni...
4 Reactions
13 Replies
198 Views
Rais Yoweri Museveni ametoa wito kwa jamii ya Banyankole kurudisha madhumuni ya asili ya kiutamaduni ya sherehe ya Okuhingira, akionya kuwa matakwa ya mahari ya juu kupita kiasi na sherehe za...
0 Reactions
3 Replies
101 Views
Uweusi wao unapendeza sana nakuvutia sana.sio kama wanaojichibua ambao wamebabuka ngozi. Napenda sana wanawake weusi.
8 Reactions
24 Replies
432 Views
Mwanamke ni kiumbe mwenye uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 20-40 pasipokushiriki mapenzi kwasababu anamtafsiri Mwanaume kama mtu wa kawaida kihisia na wala hashawishiki na uchi wa Mwanaume ikiwa...
12 Reactions
48 Replies
2K Views
Msaada wakuu maana naishi mbali na huyu mdau tunaonana mara chache chache sana. Nahisi kuchanganyiwa madalanzi na malimao.
4 Reactions
25 Replies
356 Views
Kijana nakuandikia wewe wa mika 20 mpka 35 .... Ukiingia kwenye mfumo wa kuitwa kuhudumia na bado haujajipata kipesa ,umekwisha 🤗..... Kujipata naongelea wale watu wanaweza fanya hata maamuzi...
11 Reactions
37 Replies
423 Views
Ndo nimetoka kumtuma boda ampelekee shangazi yenu vizawadi vidogo muda huu kuadhimisha siku hii Wadada wa humu mshapokea zawadi? 👀 Au ndo kila kitu kheri? Natamani nione mchango wa Binti wa...
3 Reactions
20 Replies
298 Views
Wanawake ambao huwa wanatoa namba za simu kwa uchangamfu mkubwa tu baada ya kuombwa na wanaume kisha wakishaachana wanawapotezea (ghost) au kujifanya matawi huwa ni wapuuzi wakubwa sana. Kama...
14 Reactions
77 Replies
794 Views
Mimi ni binti Single Mother miaka 36,natafta mme awe muaminifu, Namba ni 0625221348
9 Reactions
136 Replies
3K Views
najua ni katikati ya siku ya kazi ila naomba unijibu hili swali binafsi naipa 60% hiyo ingine ndo vitu vingine kutoka kwa partner sababu:vitu vingine unaweza pata popote ila sex kama mjuavyo ni...
17 Reactions
105 Replies
1K Views
Kuna andiko nimesoma kwenye ukurasa mmoja mtandaoni, ukielezea changamoto inayowakuta wanaume wanaopenda mahusiano ya mteremko. Atakuja mdada, na atakuwekea mazingira ya kukutaka kimahusiano, na...
2 Reactions
65 Replies
793 Views
Kama nilivyolelewa na singo mother na mimi pia natamani kuwa singo father. Ninawatapeli wanawake kupitia hela, ananizalia mtoto akiwa na mwaka na mpokonya...
3 Reactions
15 Replies
198 Views
Siwez oa sitak mchumba mm n single mpaka kifo.uzur mm n msomi nimesoma had chuo kikuu udsm. Maisha yangu naitoa kuwaangalia wazazi wang...
13 Reactions
69 Replies
781 Views
Back
Top Bottom