Siku ya 5 hii nipo South Africa.... Daaaah.... Kuna mitoto imeumbika huku wallah.... Ina neema za Allah... Yaani nikitembea shingo feni macho mia mia. Wallah mabata ushungu...! Nlitamani niishi...
Katika ulimwengu huu wenye kelele nyingi lakini uliojaa mioyo pweke, swali hili halitoki tu midomoni, bali linasikika kama kilio cha chini chini kutoka ndani kabisa ya roho inayotafuta makazi...
1. Katika harakati za utafutaji nilikutana na lishangazi la Kireno likiwa linafanya kazi kama Meneja Hoteli Dar (Masaki).
2. Aisee ana nundu sio poa. Nikajenga ukaribu akiwa bongo. Nikaanza...
Wakuu,
Sauti nzito zimekuwa adimu sana. Yaani wakaka tunashare nao tu frequency za sauti. Akiongea George kama kaongea Zurie na vice versa is true.
Mwanaume anakwambia kitu hata hakiingii saaana...
Kuna wanaume wanaosema “dini inataka mwanaume aoe bikira,” kana kwamba ubikira ni guarantee ya kupata mwanamke bora. Ni lazima tutenganishe fundisho la dini, preference binafsi na character ya...
Rafiki yangu ni mwalimu wa shule ya msingi ila kamchapa mtoto wangu wa darasa la pili matakoni hadi nguo yote imechanika kisa hajaspell the word spesho'. Mtoto kasema alitaja s> p> e> c> i> a> l...
Ndani ya kitabu hiki kilichosheheni ujuzi kuhusu ujana na ndoa, hakika utapata kuyajua mengi ambayo pengine awali ulitilia shaka, au hukuwa na hakika nayo. Kwa maelezo ya ziada karibuni DM
Wakati mwingine tunajidanganya kwa jina la 'uvumilivu' wakati ndani ya moyo tumechoka.
Kuridhika ni amani. Ni kula na kucheka na mtu kutoka moyoni na kulala bila mawazo.
..........Lakini...
🧠 SAIKOLOJIA YA MAHUSIANO; Kuelewa Hisia, Tabia na Mvuto wa Binadamu.
Kwanini unampenda mtu ambaye anakutesa?, Kwanini watu wazuri hujikuta kwenye mahusiano mabaya?, Kwanini baadhi ya mahusiano...
Kila mchepuko umetokea kutamani kuzaa na mimi
Hii imepelekea kukaribia kuwa na watoto 20, wengine wanahudumiwa na mama zao na mimi pia kuwapa ushirikiano kwa vitu vidogo vidogo ili maisha yaweze...
Wakati wa zoezi la kusaka mwenza, mpenzi, mke au mme huwa kuna mbinu mbalimbali hutumika, wengine hupeleka zawadi ili kuanza kuvuta ukaribu wa mazungumzo, wengine hutuma watu wawasemee, wengine...
Niliwahi kuleta mada hapa miezi kazaa nyuma wale kijana wa miaka 26 na mtu mpenzi mtoto ana miaka 29,
1.Sasa yule mdogo wangu anasema akijaribu kuingia kwenye mahusiano na wasichana wenye miaka...
Heshima ni zawadi kubwa kuliko vitu vyote vya thamani. Mtu anaweza kukununulia kila unachotamani, lakini akakudhalilisha mbele za watu, amepunguza thamani ya zawadi zake. Zawadi huisha, lakini...
Yaani unakuta binti anawaza kuolewa na mwanaume ambaye amemtengeneza yeye kwenye akili zake eti
Awe na Nyumba
Awe na gari
Awe na hela
Sawa na wewe unaolewa ukiwa na nini?
Kama hicho kiungo kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.