min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,402
- 177,958
🤣🤣🤣mwaka jana nilikua kama wewe mkuu lakini mpaka muda huu ninajuta hapa nilipo napanga mbinu ili kuutafuta huo upweke
🤣🤣🤣mwaka jana nilikua kama wewe mkuu lakini mpaka muda huu ninajuta hapa nilipo napanga mbinu ili kuutafuta huo upweke
sio poa aisee nimesha wataarifu na wazazi ya kwamba nikifanikiwa kuchomoka hapa sioi tena
Imekuaje kwani kaka?sio poa aisee nimesha wataarifu na wazazi ya kwamba nikifanikiwa kuchomoka hapa sioi tena
Ukishajitibu utamrudisha tena? Angalia utakatika kiunoAta yey nmemtibu tena kwa sindano tano, hadi za kienyej dawa hazijafua dafu.
sema nmemrudisha ameniuz kusema alijua anaumwa na alijua mim haitanidhuru na aliogopa kusema akijua ntamwacha.
nikimwangalia yey anaenjoy afu mim napata maumivu asee napata hasira(wanawake wao hawanaga darir mbaya).
aniache nijitibie kwanza daah
hahahaha mkuu anatabia gan znazokusukuma umwache?sio poa aisee nimesha wataarifu na wazazi ya kwamba nikifanikiwa kuchomoka hapa sioi tena
weeee we arudi kufanya nin mwisho anipe na HIV.Ukishajitibu utamrudisha tena? Angalia utakatika kiuno
Nmecheka sana 😅😅😅!!! Aah watu mnapatana na majanga! Mtu una nia nzuri kumbe mtu ana Gono pole kijana ndo ukubwa usikate tamaa! Ila mabinti wa skuizi mmewafanya wawe malaya sana haya magonjwa sijui kama yataishaNi jambo jema ila hakikisha ukimpata kapime magonjwa ya zinaa yote.
Mwenzio hapa nilikua naham pia kama wew, mwez uliopita nikavuta jiko tukachukua kipmo cha VVU tukawa salama.
nikaanza kukifakamia kitumbua mda wote naotaka. wiki haikukata nikawa nakojoa mkojo wa moto na usaha pia
ila kumbe dem ana gono tena ya mwaka mzma afu dem nmemtoa kijijn, ila nmemrudisha kwao kwanza nijitibie. Unaenda kuisha mwez wa pili huu bila nafuu
sina aman hapa bdo sijapona japo had sindano nmepgwa Sion unafuu. najutaaaa
BORA PUNYETO utakua salama ila anaejua dawa msaada plz nawaza
yataisha endapo ke na me wakipoz hyo mambo, leo yupo na huyu leo na yule na kutembea kwa umakini.Nmecheka sana!!! Aah watu mnapatana na majanga! Mtu una nia nzuri kumbe mtu ana Gono pole kijana ndo ukubwa usikate tamaa! Ila mabinti wa skuizi mmewafanya wawe malaya sana haya magonjwa sijui kama yataisha
NI kweliyataisha endapo ke na me wakipoz hyo mambo, leo yupo na huyu leo na yule na kutembea kwa umakini.
huo hata c ujanja bali ni ulimbuken tu wanaume tunao.N
NI kweli
Sema sasa maisha saizi kubadilisha wanawake wanaume wameona ni ujanja
I think you really deserve to be my woman on this planet.Mmeongeza mpaka miaka 30 ila mmekuja tena na Degree! Nachoka mimi😅😅 ah
We all deserve a guy like you! Tubebe wote utufute machozi tu😎I think you really deserve to be my woman on this planet.
If you 're single and you mean it from your heart, I assure you that you won't regret for me to be your husband and dady father of your kids!
Or if there is any woman who is single and she is really interestd to get a "MAN OF HER OWN", then she should not be afraid to contact me.
I assure that woman won't regret to become a "WOMAN OF MY LIFE".
Warmly welcome.
Tofautisha kati ya kuwa lonely na kuwa alone nipe tofauti hapoKichwa cha habari hapo juu cha husika.
Maisha ya upweke ymenichosha hivyo nahitaji mwanamke wa kuishi nae maisha ya kumpendeza Mungu.
Sifa kubwa awe na uhitaji wa mume kweli na pia awe mwanamke mwenye maono kuhusu maisha na awe mwanamke anayejitambua.
On top of that, elimu yake isipungue Bachelor degree ila inaweza kuwa hiyo au zaidi ya hapo sio tatizo. Awe amezaliwa kati ya mwaka 1990 hadi 2000.
More importantly awe mwanamke mwenye uwezo wa ku-handle mwanaume kama anayeongelewa kwa video hii hapa chini, maana nahisi nipo hivyo na kwa muktadha huo nahitaji mwanamke mwenye mawazo positive ili aweze kunifanya ndoto ninazofikiria kufikia tuweze kuzifikia kama familia na hatimae tuwe na mji bora na kuheshimika katika jamii itakayotuzunguka.
NB: Ukijifanyia tathimini na kuona upo tayari kuishi na mume wa aina hiyo na kweli una uhitaji wa mume wako, then usisite kunitafuta kwa ajili ya mazungumzo ya awali na kufahamiana zaidi.
KARIBU SANA 🙏 😘