Ukiwa mzuri, ukisema upo single watu hawaamini kabisa

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,566
Reaction score
3,833
Kuna mtu ameniangaliaa akaamua kusema " We ni mzuri ila usiringe", nikamwambia naringaje wakati niko single, bas hajaamini kabisa.

Yani kutokana na muonekano wangu, ni ngumu sana kueleweka kua niko single na sina mtu, kumbe hawajui kuna wati mtu unaamua kua busy na mambo yako na kutulia.

Ukiwa mzuri halafu unajiamini, unakua hubabaishi hata watu wakikushobokea, mana unajijua ni mzuri na uko busy na mambo yako.

Kwa sasa nimeamua kuwaringia tu, yani sina habari kabisa.
 
Screenshot_2026-01-29_195847.jpg
 
Hili nalo ni tangazo kwa mlango mwngine.

Wanakuja ila usikaze sana maana muda sii mrefu utaanza kutafuta mwanaume yoyote, sifa kuu; Awe anapumua.

Wanawake mna vituko sana.
 
Back
Top Bottom