Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,657
729,768
ac412600c0593a1fbaa930735731ae9e.jpg

naweka hii post hapa kama ahadi kwa mdau mmoja aliyefuatwa pm na picha za kutisha za mwanaume mwenzake aliye uchi huku kajibinua makalio akimuomba jamaa amshughulikie.

Huyu ndugu siku yake iliharibika kabisa na akaona kama ni mkosi na nuksi kubwa kabisa kuombwa na mwanaume mwenzake amuingilie.

Wazungu ni washenzi sana hii kitu waliipenyeza kidogo kidogo tukapinga na kuikataa kwa nguvu zote lakini taratibu tunaishiwa na pumzi na kuanza kuona kama ni kitu cha kawaida vile.

bc8edd11b145bc63a9c83b21c2465055.jpg
Kuna vitu vyenye kuacha maswali mengi siku hizi lakini hatuvikemei tenan. Vijana wa kiume kubusiana hadharani. Vijana wa kiume kusuka nywele tena Mitindo

Vijana wa kiume kuvaa nguo za kike. Vijana wa kiume kutoga masikio na kujikwatua kama wanawake huku wakitumia kwa sehemu kubwa vipodozi vya kike. Vijana wa kiume kuvaa mapambo ya kike nk nk

Hakuna dalili njema hapa wazungu wameharibu wa kwao sasa wamekuja kuharibu na wa kwetu...kuna baadhi ya nchi za ulaya sasa hivi kuna uhaba wa watoto wadogo au wanawake wajawazito...nani atawapa mimba?wakati fashion siku hizi ni ndoa za jinsia moja.

6abb0b33340a8ad552147e17d6cc3878.jpg
Huko mbeleni malezi ya mtoto wa kiume yatakuwa na changamoto kubwa zaidi ya mtoto wa kike na sidhani kama tutaokoka na hii laana

1457182321390.jpg

 
Afu sikuizi yapo mengi kwenye mitandao ya kijamii yanatunyemelea PM kimyakimya
Especially kama yakiona mtu unaonekana ni pendapenda waschana
Nayachukia haya balaaa
Sodoma na Gomola yaja kwa kasi,safari hii yaja dunia nzima
 
Ifike kipindi tuache kulaumu wazungu , tujilaumu sisi Kwa kushindwa kukataa ...!
 
Back
Top Bottom