Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,702
- 19,610
Wakuu,utapeli umetamalaki sana mjini. Demu alikosea namba,mimi nikaunga nae kumtongoza, akakubali ikabidi nimpime kwa takribani 4 months. Sasa nikaona nimtumie nauli kwa ajili ya show 35k.
Si akaanza safari ya kuja,tunawasiliana,imefika mahali akaniambia gari limeharibika, kukaa kidogo simu ninayoipigia imesitishiwa huduma natuma text zinaenda ila hazijibiwi.
Nimechanganyikiwa nifanyaje? Holoholo Jr kwa sasa Tunis Tunisia