Natafuta mchumba awe mwafrica mwenzangu na awe anaishi UK ili tuweze kuonana maana sitaweza long distance, alieko tayari tuwasiliane tuone tutafika wapi, mimi ni maji ya kunde, mrefu wa wastani...
Kwa maombi yenu nitasimama, kwa maombi yenu nitafanikiwa na kwa ushauri wenu nitapona, poleni na majukumu yenu ya kila siku.
Mwezenu leo inabidi niseme kwani hii hali imenichosha sana, takriban...
tuna jirani yetu ambaye ana urafiki wa karibu na dadaangu ni dada wa umri kama 29-32 nina kawaida nikitoka job napitia kuwasalimia. jana kama kawa tupo kwenye mgao wa umeme kama saa 7:45 usiku...
Nimefanya uchunguzi nikagundua
1.wanawake wengi wanaofumaniwa live wanagegedwa na mijaa husamehewa na waume zao na wanaendelea kuishi vizuri tu katika ndoa zao.
2.wanawake wengi wanapogundulika...
Wana jf nishaurin hili dada mwenye nyumba kaonyesha kudata na mim tatizo ni kwamba nina mchumba naye huja nyumbani kwangu kila mwisho wa wik nifanyaje na huyu dada na ametamka yupo tayar ku share...
Mahusiano ya wapenzi au wachumba kuna mambo muhimu kuwa makini kwetu sote iwe wanaume au wanawake na pengine uwazi ni kitu muhimu, kwani wengi tuna mazoea ya kutokusema ukweli, na ipo siku mambo...
wasalaam ndugu zangu wakristo na watukufu waislam,,,,,,,,,,,,
kwa mda mrefu nimekuwa ni mpenzi wa nyama ya nyiongeza au kisamvu cha kopo almaarufu 071,,,,,,,,,
kwa kweli nimeona ni maisha ya...
1 KOR. 6:18-19 Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la...
Jana kijioni jioni napita maeneo ya bar ya Makuti navutiwa na kukata kiu na ka Mountain dew kamoja! Wakati nakaribia kumuita mhudumu, pembeni namuona rafiki yangu wa tangu chuo akiwa na jimama...
Haipendezi kwa mwanaume kum-beep mkewe/girlfriend. Ni bora Mwanamke/girlfriend akafanya hivyo. Kama mwanaume huna salio la kutosha basi bora ukampigia wife/girlfriend kidogo ukimuomba akupigie...
…...
Hebu leo tujadiliane Usongo wa Mawazo katika MMU. Tangu zamani pamekuwepo na matukio ya Mauaji ya kimapenzi, ama kusikia Mwanaume au Mwanamke amejiua kutokana na "wivu" wa kimapenzi...
Ni zaidi ya miaka 25 sasa tangu kondomu ilipoingia kwa mara ya kwanza nchini, mengi yametokea kuhusiana na hii kitu mfano zimeuwa watoto waliizichea na kuzimeza kwa bahati mbaya, waume kufumaniwa...
ilikuwa jana mwenzenu kazi zangu ni za ucku nilichomoka kwenda kazini nikasahau simu nyumbani asubuhi nilipofika home nimekuta missed call tisa za namba ngeni hapohapo nikakutana na msg kwa mbona...
Salam wakuu,
Habari za mchana? Haya,
Katika hizi siku za karibuni matokeo ya watu kutendwa na wapenzi yameongezeka kwa kiasi kikubwa for both genders na imefikia hatua mbaya mpaka ya watu...
Mungu alimuumba Adam na Hawa. Ina maana katika vizazi vyao kuna watakaokuwa na jinsia ya Adam na kuna watakaokuwa na jinsia ya Hawa. Sasa shoga amechukua jinsia ya yupi kati ya hao? Kama watasema...