Muhurumieni huyu alileta mapenzi kwenye maeneo ya kazi live kweupeeee mbele ya ze boss of the bosses

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
2,157
2,000
HII POST NIMEIKUTA KULE KWENYE UZI WA MASUALA YA AJIRA, AKATI INAHUSU MAPENZI, NIKASEMA NI VEMA NA HERI IJE HUKU MMU, KULE WATU WANA STRESS ZA AJIRA HAWATA ITENDEA HAKI KABAISA... NAOMBA PIA ASAMEHEWE KWA KUCHANGANYA MAPENZI NA KAZI.. ILA SIO KOSA LAKE "MAPENZI KIZUNGUZUNGU" C MNAJUA....... HUTU JAMAA ANAJIITA "GOD KNOWS" MADA YAKE ILIKUA INASEMA "Mhhhhhhhh! Kwa penzi hili nadhani karibu nanyoosha mikono juu!"Mhhhh! Baada ya kuwa mpweke kwa muda mrefu, uzalendo ulinishinda nikaamua angalau na mimi nitafute binti wa kuniliwaza. Mchakato huu ulianza kwa binti mmoja ambaye tulikutana kwenye dala dala tukitoka Posta kuelekea Mwenge. Nilivutiwa na mwonekano wa Binti huyu nikaamua niombe namba ya simu.

Mungu si athumani alitoa namba bila hiyana! Kutokana na furaha ya kupewa namba sikuweza kuongea chochote siku hiyo kama mtu aliyewekewa matambala ya nguo mdomoni hadi muda wa kushuka Mwenge ambapo tuliagana tu na nikamuahidi kumtafuta. Kwa mwonekano, binti huyu ni mwembamba, ana baby face, mweupe wastani pia ni mrefu kidogo. Alikuwa na SmartPhone ya Nokia ambayo gharama yake nakisia sio chini ya Laki Tatu!

Pia alikuwa amejitupia micheni siku hiyo, cjui ya madini gani mshamba mie. Msije Mkaniomba Picha! Sina. Tulianza mawasiliano ya hapa na pale huku nikijaribu kumuonesha kwamba najali. Urafiki wetu ulidumu kwa muda kama wa mwezi mmoja ndipo nilipoamua kumtamkia wazi kwamba ……………….!

Katika urafiki wetu nilipata kujua kwamba binti yule alikuwa anasoma Procurement kwenye chuo Fulani hapa hapa Mjini. Nilizungushwa kukubaliwa ombi langu kwa muda kama wa mwezi mmoja. Sikukata tamaa kwa sababu nawajua watoto wa kike: Kwanza kukubali moja moja ni udhaifu na pia mapozi kwa mtoto wa kike ni ya muhimu kama ilivyo tendo la ndoa kwa walio oana. Baada ya kubembeleza sana ombi langu lilikubaliwa na nikawa rasmi mpenzi wa Fulani.

Kukubaliwa huko kulileta Joto na Raha ndani ya moyo wangu! Kusema kweli nilifurahi wiki ya kwanza huku nikishindwa kujenga taswira kwenye ubongo wangu siku ya kugegedana itakuwaje?????????!!!!. Kitumbua kiliingia mchanga baada ya kuombwa Laki Moja ili aongezee kwenye ada alipe chuo. Nilijiuliza maswali mengi ambayo yalikuwa hayana majibu. - Kwanza kwa nini asimuombe mzazi wake. Mi sio mzazi!!!!! - Miaka yote nani alikuwa anamlipia ada? - Kama mimi nisingekuja kwenye maisha yake, nani angelipa hicho kiasi cha ada! Na mengine mengi. Labda wana MMU mnisaidie kumjibia. Nilitoa laki moja kwa shingo upande. Baada ya hapo nimekuwa mtu wa kupigiwa simu, mara dia sijala, mara dia naumwa naomba hela niende hospitali.

Nimegeuzwa ----- mie kila siku natoa hela tu. Siku alipokuja kunichosha ni pale aliponiambia kwamba SmartPhone yake imetumbukia kwenye maji na imezima kabisa haitaki kuwaka kwa hiyo kwa sasa ameweka kadi ya simu kwenye simu ya mwenzake. Kama umesoma “Critical Thinking and Argumentation” inabidi uwe umeshatambua kwamba nilitakiwa kukununua SmartPhone nyingine labda ya gharama Zaidi kuliko ile aliyokuwa nayo mwanzo.

Nikijiangalia mwenyewe natumia Nokia tena yenye tochi – gharama yake haizidi elfu hamsini. Hata hiyo SmartPhone sijui una-touch vipi kwa sababu nahisi siku nikipewa itanishinda kutumia. Nipo hapa hapa mjini ila mshamba haswa wa mambo hayo! Muda huu nilimwambia kwamba sina hela ya kumnunulia simu hiyo. Ila siku hizi huwa namkuta na Samsung Galaxy S3 Mini. Baada ya kumkatalia kumpa hela ya simu, kwa sasa tunaendelea na mizinga midogo midogo.

Papuchi sijapewa hadi leo. Nikimwita Faragha nijibiwa “Akhu”- msamiati ambao nilikuwa sijawahi kuusikia kabla isipokuwa kwa huyu binti. Penzi letu limekuwa la kukutana pale Mwenge – New Jamarat na kunywa Juisi. Sijawahi hata kugusa kalio mie. Natamani kuachana nae ila roho inaniuma – hela zangu.

Wana MMU naomba mnisaidie kwenye mazingira haya manake naweza nikafa mawazo– angalau nipewe papuchi tu na moyo wangu utapona.
 

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,221
2,000
afu huyu kweli mburura kiasi achunike anaandika mmu wakati yupo jukwaa la nafasi za kazi tenda.
:faint:
 

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
wivu sina ila roho inauma---- ooh sorry, wewe kwako ni wivu unao na roho inauma!!!! hahahahaaaa!!!!!

mkuu nimecheka mwanzo mwisho!

mapenzi ya dar bwana, hadi raha!

mtoto kanunuliwa samsung na fisadi lingiiiiine, we upo tu unaitwa fulani (jina lako kamili), hamna baby hapo!!!!

mkuu tafuta saiz yako!! tafuta anaetumia nokia ya tochi kama wewe!

boooo!!
 

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,806
1,225
kwan nn?! haaaaaa......

Mpe appoinntmen ya hotel fulan, akija mbake"
hayo ya kukutana RESTAURANT mmmmmh
 

Me370

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
987
0
Tatizo investment ushaifanya na hapo uko nusu, Ukiacha ulichowekeza ndo kimeenda na ukiendelea huna hata uhakika wa kupata faida. Huyo mwanamke anajua kabisa kuwa akikupa K ndo mwisho wa kula pesa yako. Atakuwa keshapitia situation nyingi kama zako. Cut your loses bro and say goodbye.

Mimi ningekuwa ndio wewe nampigia simu na namchana Live kwamba natamani kukuhudumia zaidi, mwambie unatamani kumnunulia hiyo Smartphone na ahadi nyingine kibao za uongo, tatizo anakukatisha tamaa kwa kuwa huduma unatoa wewe tu alafu yeye hatoi. Muombe akupe K na wewe muahidi utamtimizia shida zake zote kama atabehave kama mke wako mtarajiwa. Muahidi dunia kijana kama atakukubali kama mpenzi na sio rafiki. Alafu ukila mzigo aingie kwenye Blacklist fasta tena baada tu ya kumlowanisha.

Natamani nikuandikie mengi ila kuna report ya offisi naimalizia. Goodluck
 

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,230
2,000
hahahaha ndio maana ninapoanzisha uhusiano huwa ninamchokoza sana mwanamke ili nijue hapa ni k na hela au tunatafuta relationship
 

dist111

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
3,347
2,000
Mwambie atangaze ndoa, na ikiwezekana akatambulishwe ukweni! then akila mzigo anapotea! mambo ya kuingizana hasara kirahisi rahisi hayafai haya,

ila ni vzr, hapo mtu anafundishwa ujanja, akiwa mjanja wadada watamkoma!
 

promiseme

JF-Expert Member
Mar 15, 2010
2,709
1,195
Sasa Huyo jamaa anasubiri binti amwambie Leo ndio siku yakuvunja amri Sita au? Alizotoa zinatosha mwambie hata roho ikiuma, chezea watoto wa mjini wana mbinu zakutafutia pesa hasa kwa watu domo zege Kama Huyo jamaa.....
 

cj21125

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,042
2,000
Du huyo atakuwa cd. Wanafunzi wa IFM, CBE, ni wachunaji mabingwa. Mkuu hiyo laki moja ungeenda nayo pale Maasai clb ungepata mzigo bomba na chenji ingerudi. Ukizidi kuzubaa utazidi kukatwa na hela yako ya mawazo.
 

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
8,206
2,000
!
!
anko hapo unatakiwa. kufanya kitu kinaitwa technical retreate,unasimamisha kila kitu halafu unajitafakari kuanzia leo kurudi nyuma mpaka siku ya kwanza utajua tu uliteleza wapi au kama hukuteleza utajua utumie mbinu gani kumgegeda.
zipo mbinu nyingi,unaweza elekeza nguvu zako kwenye udhaifu wake,au ukaelekeza katika kuleta mabadiliko,au ukaelekeza katika anayopenda yeye ....
 

PSPA Pure'12 udsm

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
780
500
Ndo maana hua sifanyi makosa ya kuhonga mwanamke kabla sijaona Tundu....

Hapo brada ndo Ushakatwa na K utaisikia tu kwa jirani.
 

ze jackal

JF-Expert Member
Nov 13, 2013
529
0
Let him tell her the truth that it is his time to be happy too.Na akiendelea kubana fanya umconvince kwenda kutalii elsewhere this holidays nje ya Dar for just two days huko lazima umgegede hata kwa nguvu mkuu.
Mwanamke gani hana hata aibu bwana! Mizinga bila nyapu wapi na wapi?
 

unclerape

Member
Dec 16, 2013
17
45
hahaaa papuchiiiiii weweeeh papuchiii kwa hiyo humpendi ila shida papuchi ila kama vipi zipo mitaa ya buguruni zinauzwa bei pouwa
 

angelita

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
3,015
2,000
Chezea watoto Wa mjini wewe utaumia mwenyewe, wenzio wanatoa milioni wamekaa kimya we laki inakutoa povu tafuta Nokia tochi mwenzako.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom