mbota
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 1,072
- 641
Ndugu zangu leo ni siku muhimu sana kwangu, Namshukuru Mungu kwa pumzi hii aliyonipa maana kama si yeye nisingeweza jambo lolote. katika miaka hii niliyoishi hapa duniani kuna mengi mazuri nimeyapitia pia kuna magumu nimeyapitia. Wana JF jambo la muhimu sana napenda kuwaambia siku hii ya leo usiangalie vikwazo unavyopitia leo vikawa ni sababu ya wewe kutofikia malengo yako. KARIBUNI SANA WANA FAMILIA TUSHEREKEE.
