Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimekutana na hii kitu jumamosi. Nilikamata mtoto mmoja wa chuo niliyekuwa na msaka kuanzia mwaka huu ulipoanza achilia mbali gharama za pesa za mizinga na mafuta ya kumzungusha mjini pia nusura...
2 Reactions
319 Replies
86K Views
Huo ni msemo wa Ki-Zanzibari, ukimaanisha kwamba, ukifanya jambo lolote baya mwishowe utaumbuka. Naomba mfuatilie hii video niliyoiweka hapa. Kwa wale wasiweza kufungua video na kuangalia...
8 Reactions
34 Replies
8K Views
Ndugu wana JF,Naomba msaada wenu wa mawazo katika hili. Mimi ni kijana mwenye miaka 28.Kwa bahati nzuri au mbaya nimekuwa busy sana na shule na sasa nikahic nitafute mwenza wa kuweza kuishi...
1 Reactions
51 Replies
8K Views
Habari wa ndugu: Naomba kufahamu kwa mwanaume mwenye tatizo la premature wakati wa kufanya mapenzi ,hii hali husababishwa na nn ? na ufumbuzi wake ni nn ? Asante.
0 Reactions
17 Replies
9K Views
happy birthday to me..... i love me....... thanks GOD for another year.... let celebrate friends:::Simplicity,asporo Dj mat donlucchese,'Valentina',mwekundu Daud omarWashawasha nanjilinji...
6 Reactions
122 Replies
7K Views
Habari, Naishi na mume wangu kwa muda wa miaka saba sasa. Mume wangu hajatulia, kuna nyumba yetu tunajenga na ndio tumepiga bati. Nina uwezo wa kuiendeleza ka sasa, na hapa tunapokaa tunalika...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Nimekutana na mdada hapa mitaa ya Stand Arusha ni hatari sana, hiyo shepu(hips, makalio, kiona chembamba) ni shida, watu wanapishana tu kugeuka kila mtu kwa muda wake, kuna wazee wamekaa dukan...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kijana wa kimakonde akiandaliwa kwenda kuoa.. Taratibu za kumwoa binti wa Kimakonde hazipo tofauti sana na sheria za kuoana baina ya makabila ya kibantu. Wamakonde, kama ilivyo katika makabila...
23 Reactions
78 Replies
21K Views
unapendeza sana please naomba ujilinde unijali babe naitaji pendo lako sina mwingine nimeshiba penzi lako unaposhika shikilia usiachie nahaidi kukulinda,kukutunza nijukumu langu mimi nakutazama...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
This research has actually taken me and my crew 5 years to arrive at these findings. 1. High chances of her cheating on the husband 2. Lack of respect for the husband...
6 Reactions
179 Replies
24K Views
hamjambo wanaJF? Leo nimeona niwaletee maneno haya yaliyopata kusemwa na watu tofauti katka maisha yao, ila kwa7bu nao ni binadamu pengne nawe pia yakaweza kukugusa kwa namna moja au nyingine,hebu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii itakuwa post ya mwisho kwa mwaka huu inayohusu mapenzi: Mapenzi ni kazi...kwa hiyo fanya kazi acha utani. Ukiifanyia mzaha itakutoa usaha. Ila pia kitabu cha Maombolezo/Mhubiri (kama...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Habari zenu wanajamvi.mwenzenu nimetokea kupendana na Kijana mmoja mtanashati na uhusiano wetu ina miaka 3. Tumejaliwa mtoto wa kike (12months old). Majuzi nimegundua bwana huyu ana katoto kamwezi...
1 Reactions
65 Replies
6K Views
Huyu mpenzi wangu ana fantasy ya ajabu kweli, mimi ni mwanaume lakini kila mara tunapokutana na mpenzi wangu ili kubanjua amri ya sita huwa anapenda kuweka muziki kwanza na kuniambia nicheze kwa...
3 Reactions
156 Replies
17K Views
ivi kufanya mapenzi mbona kuna anza mapema sana napia imewekwa kwenye amri kumi zamungu tusi zini sasa kweli kwadunia hi kijana ukishabalehe yani mule mule unawaza mgegedo achalia mbali kama...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Wadau kwenye form unazojaza wakati unatua nchi mbali mbali au hata ukiwa unajaza personal information kwenye form yeyote duniani kuna kile kipengele cha marital status huwa sikielewi vizuri...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
The bible says thou shall not commit adultry BUt very few people are living by the bible these days I was a strong believer But from now your gonna hear me say Im gonna love Somebody else's...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana MMU, nawatakia mwisho wa mwaka mzuri. Pia msherekee kwa amani mwaka mpya, nitakosekana kwa siku 2 tatu hapa jukwaani. Kwa kuwa naenda kuzisaka za kuanza kutumia 2014. Advice: dont...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa heshima na taadhima.........naomba nisogee mbele yenu.....(kwa niaba ya Arusha Wing).......kwa masikitiko......kuwaeleza wale wote waliokuwa wanatutarajia wageni wao kutoka Arusha kuelekea...
14 Reactions
68 Replies
7K Views
Back
Top Bottom