Mpenzi wangu anataka kuniacha kisa siwezi kazi

Mpenzi wangu anataka kuniacha kisa siwezi kazi

tupendane1

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
11
Reaction score
8
Ndugu wana JF,Naomba msaada wenu wa mawazo katika hili.
Mimi ni kijana mwenye miaka 28.Kwa bahati nzuri au mbaya nimekuwa busy sana na shule na sasa nikahic nitafute mwenza wa kuweza kuishi naye.Bidii hizo zikazaa matunda karibu mwaka mmoja uliopita.
Mwezi uliopita akaja kunitembelea na katika kupiga piga story tukajikuta tunaanza mambo yetu (kitandani) japo ni dhambi kabla ya ndoa,kilichonishangaza na kunistua kwa afya yangu ni pale ambapo kale ka kwanza hakakumaliza hata dakika moja,na uume haukusimama tena kwa zaidi ya masaa mawili.Na nilikuwa natokwa na jasho jingi sana.Jamani mnanishaurije jamani.Mara nyingi huwa napata maumivu ya mgongo.
Naomba msilete utani hapa,mnishauri vizuri kama ni dawa za kienyeji au za kizungu au mnamfahamu daktari wa kunitibu tatizo langu mnisaidie kunielekeza.Mpenzi wangu ananipenda nami nampenda sana lakini kasema kama ni hivyo watoto watapatikanaje,ni heri arudiane na mpenzi wake wa zamani maana yeye hakuwa hivyo.
Natanguliza shukrani zangu kwako wewe utakayenipa mawazo ya kunijenga,nilitamani mwishoni mwa mwaka huu twende nyumbani kwao kujitambulisha na mwisho wa siku tufunge ndoa takatifu
 
Pole sana, saa nyingine ni hali ya kawaida kama ni mara yako ya kwanza na inahitaji counselling tu kutibu tatizo lako au maelekezo ambayo ni ngumu kuyaweka hapa. Ila kama si mara yako ya kwanza, nakushauri nenda kaonane na madaktari wanaotambulika na si waganga wa kienyeji maana hao utaalamu wao hauna vipimo na unaweza kuhatarisha afya na maisha yako kwa ujumla.
Pole.
 
Hahaaa. Was this your first time? Huo unaitwa mchecheto tu. Kwanza jiamini, relax.
Kimsingi hiko siyo tatizo. Viumbe wengi wameumbwa hivyo...kuku, ng'ombe na viumbe wengine ukiacha mbwa tendo ka ndo huchukua sekunde tu. So long as unaweza kusimamisha na kuingiza ukamwaga ndani hapo inamaana waweza kusababisha mimba. Sasa sijui hiyo issue ya mtapataje watoto inatoka wapi?

Swala ambalo mnaweza kulijadili na huyo mpenzi wako ni namna ya kumfanya yeye afike kileleni au aridhike. Amini usiamini wanawake wengi hawafiki kileleni kwa kuingiziwa na kusuguliwa in out pekee. Waweza kufanya hata masaa lakini bado usimfikishe. Kuna njia nyingi za kufanya ili mfurahie uhusiano wenu. Kaeni chini mzungumze ni njia gani au mbinu gani au mchezo upi mtatumia kama fingering, kunyonya sehemu za mwili wake kama chuchu na sehemu za siri, zote kwa pamoja etc.

Mwisho unahitaji kula vizuri na kufanya mazoezi. Kula vyakula vyenye vitamin E na K na matunda kwa wingi.

Jiamini 200% you are normal. Next time usiwe na mchecheto. After all hata akikuzingua utapata mwingine tu....ambaye mtaendana naye. Maana kama kweli kakwambia atarudiana na mpenzi wake wa zamani, chances kwamba hutakuwa naye muda mrefu kwa sababu yoyote ile ni kubwa.
 
Ndugu wana JF,Naomba msaada wenu wa mawazo katika hili.
Mimi ni kijana mwenye miaka 28.Kwa bahati nzuri au mbaya nimekuwa busy sana na shule na sasa nikahic nitafute mwenza wa kuweza kuishi naye.Bidii hizo zikazaa matunda karibu mwaka mmoja uliopita.
Mwezi uliopita akaja kunitembelea na katika kupiga piga story tukajikuta tunaanza mambo yetu (kitandani) japo ni dhambi kabla ya ndoa,kilichonishangaza na kunistua kwa afya yangu ni pale ambapo kale ka kwanza hakakumaliza hata dakika moja,na uume haukusimama tena kwa zaidi ya masaa mawili.Na nilikuwa natokwa na jasho jingi sana.Jamani mnanishaurije jamani.Mara nyingi huwa napata maumivu ya mgongo.
Naomba msilete utani hapa,mnishauri vizuri kama ni dawa za kienyeji au za kizungu au mnamfahamu daktari wa kunitibu tatizo langu mnisaidie kunielekeza.Mpenzi wangu ananipenda nami nampenda sana lakini kasema kama ni hivyo watoto watapatikanaje,ni heri arudiane na mpenzi wake wa zamani maana yeye hakuwa hivyo.
Natanguliza shukrani zangu kwako wewe utakayenipa mawazo ya kunijenga,nilitamani mwishoni mwa mwaka huu twende nyumbani kwao kujitambulisha na mwisho wa siku tufunge ndoa takatifu
Pole sana mwayego,kama ni mara yako ya kwanza kufanya hicho kitu basi itakuwa ni uoga tu unakusumbua,ila kama ni mzoefu kwenye hiyo mavituz utakuwa na tatizo na ujaribu kuwaona wataalam mahospitalini au wamasai wauza dawa wengi wanafahamu dawa za hayo matatizo.
 
Mjomba wewe sio mgonjwa una tatizo la kutojiamini... Acha kusikiliza maneno ya mtaani. Wana sayansi wamekiri kua goli 1 ni sawa na mtu alotembea kilomita 7. Hapo unategemea nini??

Pumzika , kaoge then endelea kupuliza upate la 2.

*** by the way acha kuzini katoe posa uchukue jumla jumla kie kie kie kie


Sent via EyePhone
 
usishangae kijana wale usipate wasiwasi hiyo ni hali ya kawaida......unachotakiwa kufanya ni kumuandaa sana yeye ili walau awe tayari kabla yako ili umridhishe maana inaonekana jamaa wa kwanza alikuwa anasugua sufuria hadi linatoa cheche
 
pole sn ila ucjal kumbuka bnadam tumeumbwa lkn hatujakamlka inatakiwa msaidiane ktk masuala yote zaid zaida ktk mapenz inatakiwa akutie moyo cyo anakuvunja moyo n hapo anaposema anaweza kurudiana na mpenz wake wa mwanzo huku n kuvunjana moyo,ushaur wng mwombe sn Mungu uckate tamaa unaweza kuwachek hata madaktar ipo cku naamn utafankiwa jiamn ucwe mwoga mkaka hayo n mambo madogo tu amboyo soon yatakwsha.
 
Pole mkuu..tatizo lako ni la kisaikolojia zaidi..nachokushauri kama wewe ni mwanaume na una roho ngumu kama yangu jaribu kutoka nje utafute kidemu cha pembeni ufanye fanye kwa muda mpaka pale utakapozoea gemu na uwoga utakapokutoka...then nenda kagonge shughuli ya hatari kwa SHEMEJI yetu mtarajiwa...
 
Kudadadekiiiiii .. Huu ushauri wako mkuu iMind sipati picha leo wakipita hapa wale watoto wanaotorokaga darasani mie simoooo.

Ndukiiiiiiiiii

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wana JF,Naomba msaada wenu wa mawazo katika hili.
Mimi ni kijana mwenye miaka 28.Kwa bahati nzuri au mbaya nimekuwa busy sana na shule na sasa nikahic nitafute mwenza wa kuweza kuishi naye.Bidii hizo zikazaa matunda karibu mwaka mmoja uliopita.
Mwezi uliopita akaja kunitembelea na katika kupiga piga story tukajikuta tunaanza mambo yetu (kitandani) japo ni dhambi kabla ya ndoa,kilichonishangaza na kunistua kwa afya yangu ni pale ambapo kale ka kwanza hakakumaliza hata dakika moja,na uume haukusimama tena kwa zaidi ya masaa mawili.Na nilikuwa natokwa na jasho jingi sana.Jamani mnanishaurije jamani.Mara nyingi huwa napata maumivu ya mgongo.
Naomba msilete utani hapa,mnishauri vizuri kama ni dawa za kienyeji au za kizungu au mnamfahamu daktari wa kunitibu tatizo langu mnisaidie kunielekeza.Mpenzi wangu ananipenda nami nampenda sana lakini kasema kama ni hivyo watoto watapatikanaje,ni heri arudiane na mpenzi wake wa zamani maana yeye hakuwa hivyo.
Natanguliza shukrani zangu kwako wewe utakayenipa mawazo ya kunijenga,nilitamani mwishoni mwa mwaka huu twende nyumbani kwao kujitambulisha na mwisho wa siku tufunge ndoa takatifu

chapa mwendo hakuna mwanamke hapo!
 
Pole mkuu..tatizo lako ni la kisaikolojia zaidi..nachokushauri kama wewe ni mwanaume na una roho ngumu kama yangu jaribu kutoka nje utafute kidemu cha pembeni ufanye fanye kwa muda mpaka pale utakapozoea gemu na uwoga utakapokutoka...then nenda kagonge shughuli ya hatari kwa SHEMEJI yetu mtarajiwa...

mmmh jamani????
 
Hii hutokea sana ikiwa ni mara yako ya kwanza,

H
ivyo chakufanya ni kujiamini na kuamini kwamba unaweza kwenda hata mizunguko mingi zaidi(bao zaidi ya moja) kwani ukiendelea kujidharau na kujiona hauwezi utakuwa
unatengeneza kitu katika mfumo wako wa akili hivyo utajikuta umeathirika kisaikolojia,
muda mwingine utashangaa ukiwa hauna mechi unasimamisha ila wakati umepata mechi ngoma haisimami.

Hivyo amini unaweza na pia jaribu tena kwa mara nyingine huku ukiwa umeyaondoa yale mawazo ya kwamba hauwezi.
 
Vipi mbona kama wasikitika vile mkuu???

hapo tu ulivyomwambia akajaribu nje kwanza,. sasa kutokana na upya wake huo sasa si ndo ataparamia kabisa huko, na magonjwa na mafumanizi??? labda ungempa hiyo janja...lol
 
chapa mwendo hakuna mwanamke hapo!

lakini kumbuka wana mpango wa kufunga ndoa, sasa kutakuwaje na ndoa pasipo tendo la ndoa....lazima ajihakikishie ndoa bwanawee:becky:
 
Pole mkuu..tatizo lako ni la kisaikolojia zaidi..nachokushauri kama wewe ni mwanaume na una roho ngumu kama yangu jaribu kutoka nje utafute kidemu cha pembeni ufanye fanye kwa muda mpaka pale utakapozoea gemu na uwoga utakapokutoka...then nenda kagonge shughuli ya hatari kwa SHEMEJI yetu mtarajiwa...

Sasa mkuu akifanya hivyo si yatakuwa yale yale kwani hajazoea na inampa wakati mgumu.
Huko atakapo kwenda si ataambiwa the samething.
 
Uume wako umekushitukia kwamba hujamaliza shule ndo maana umegoma au kwa lugha nyingine kende na uume wako vina mgomo baridi na karibia vitaandamana,So maliza shule kwanza au sio?
 
Nadhani una tatizo la mchecheto tu na kutojiamini..
Kuhusu watoto hata kwa bao lako la sekunde moja wanapatikana tu
Kumtia mtu mimba haihitaji sana kukaa kifuani masaa kadhaa..the issue is 'sperms count ratio'
Kuhusu kuboresha kiwango..yes, ni muhimu sana ukaimprove game yako hata kama sio kwa huyu wa sasa!
Naomba nikuitie magwiji snowhite , gfsonwin na bro MziziMkavu ..nadhani hawa watakusaidia sana...
Otherwise remember it takes two to tango...your partner should also be part of your help in this saga (sio akutishie kuwa atarudi kwa wazamani wake)...
 
Last edited by a moderator:
Pole kawaone madactari kwa ushauri zaidi na tiba imara
 
Duh,huyo demu wako vipi mbona anakuwekea mikwala mapema hivyo! Gemu ndio mara ya kwanza alafu anachonga si ndio anazidisha kukutia unyonge.
Mambo ya kimapenzi ni ya kushilikiana wote wawili,inabidi yeye pia aelewe hivyo!sio kwa sababu wewe ndio unaingiza na yeye anaingizwa akafili jukumu lako peke yako,hapana yeye pia muhusika.Inabidi muongelee hili swala,kwa mwanamme hilo sio tatizo kuwahi kufika na usikimbilie madawa! Utajilemaza bure.Inachotakiwa ni kuhakikisha yeye anafika kabla yako,tumia mda mwingi kumchezea yeye,kuna mtu hapo juu kaiandika hii habari vizuri tu.pia ukiweza hakikisha mzuka haupandi kisaana!sijui unanipata,usiwe na papara ya kuparamia.Tumia condom ata mbili zinasaidia kipunguza utamu!.Jaribu ku relax ubgekuwa mtaaramu ungejaribu kupunguza sh...wa kabla demu hajafika kwa hiyo akifika we uko fit na tumia mda mwingi kwake yeye ili aridhike kwanza.
LAkini zaidi demu akikuelewa atakusaidia tatizo hilo,wanawake ni smart sana wakiamua kuwa na mtu, kitu kama hiko sio tatizo sana kwao,lakini ndio inabidi umpate mwanamke anaeelewa sion mapepe.na huyo wako wala simfagilii wala nini,kumbe kamuweka bwana wake wa zamani 'stand by' .Anyway,uwe mwangalifu na huyo bibie kama kashaanza kukukosoa,kukulinganisha na kukutishia kuwa na mwengine kama hutoweza basi huwe makini sana siku za usoni.Good luck!
 
Back
Top Bottom